Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.
Zipo NI heka sita
-Kila heka bei NI M1.2
-Linafaa Kwa mazao yote ya ukanda wa njombe
-Linamaji ya misimu wote
Unapanda parachichi,viazi,mahindi,maharage na mazao mengine yote yanayoota ukanda wa njombe
Usafiri unafika adi shambani
Na pia ukitaka pia heka Moja Moja na kata
Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe
-Awe anajituma
-Mwenye kufanya kazi Bila kutumwa
-Awe mbunifu na kujiongeza
Tabia njema na uaminifu
-Awe ametoka na...
Wale, jamaa ambao mlikuwa mnatafuta shamba boy .
Amepatikana tayari yupo anasubiria simu ili aende sehemu husika.
Ana umri 28
Hana familia
Elimu darasa la saba
Uzoefu wa kulima , kuangalia bustani , pamoja na mifugo anao wa kutosha
Waweza mpigia hapa
"0696999965"
Wakuu habari,
Tunamuomba rais, aweze kushirikiana vyema na kitengo cha hali ya hewa Tanzania, Ili kuweza Kupunguza ukali wa jua la hapa dar. Hapa dar jua ni Kali sana na linachoma angel zote za mwili.
Tutamshukuru rais kama atafanikiwa kupunguza au kuzuia kabisa uwakaji wa jua. Maana wananchi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es salaam Ndugu Elihuruma Mabelya amekabidhi pikipiki 25 kwa Maafisa ugani wa Kilimo Jijini Dar Es salaam, akihimiza kutumia pikipiki hizo katika kuleta tija kwenye sekta hiyo muhimu kwa uchumi wa Tanzania.
Leo Ijumaa Disemba 06, 2024 wakati...
Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine hasa zenye baridi. Ukanda huu una joto hivyo mifugo haikubwi na milipuko ya magonjwa. Ukihitaji...
Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine hasa zenye baridi. Ukanda huu una joto hivyo mifugo haikubwi na milipuko ya magonjwa. Ukihitaji...
Habari ya asubuhi wakuu,kwa mwenye uzoefu nimelima shamba ekali 3 za hatua 70*70
Nililima mapema sana mwezi wa 10 sasa majani yameota mengi sana kabla sijapanda mbegu kiasi kwamba nikipanda itakuwa hasara .
Nimeamua kuja na hiyo njia ya kupulizia kiuagugu Niue majanj ndiyo nipande mbegu...
Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
shamba lina kilimo na ufugaji. kilimo ni mahindi, alizeti na mpunga, mifugo ni ng'ombe na mbuzi.
makazi ni shambani hapo hapo.
shamba liko kigoma
wafanyakazi waliopo shambani kati ya 20 hadi 30.
kwa mwenye uzoefu wa usimamizi mashamba makubwa
akiwa na taaluma ya kilimo na mifugo au Agro...
Ukweli ni kwamba maisha tunayoishi leo ni matokeo ya maandalizi ya Jana, Tulichokiishi Jana ndio kina aksi maisha ya leo.
Ni ukweli kwamba kile tunachokiita laana na Dhambi kubwa kufru na ushetani hakijaibuka from no'where na kuchipua kwa kasi hadi kufikia hatua ya kushangaza, Bali ni matokeo...
Habari,
Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo.
1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini
2) Ukubwa? Ekari 100+
3) Umbali toka barabara kuu: 5km
4) Hali yake: halijalimwa mda kidogo
5) Bei?...600k kwa ekari 1 na linauzwa lote kwa pamoja sio kwa ekari moja...
Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu,
Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
Habari zenu wana Jukwaa, kijana wenu nina uhitaji wa msimamizi wa shughuli zote za shamba, kuanzia kilimo mpaka usalama wa shamba. Shamba liko Mkuranga, Kimanzichana eneo lina Ekari 6, kilimo kikuu kitakuwa ni mboga mboga (Bustani).
Bajeti yangu ni 120,000 kwa mwezi pamoja na Unga kiroba kimoja...
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi na Uchindile, Mlimba.
SIFA ZA MBAO
Mbao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.