sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Terminal ya SGR kuwa katikati ya jiji

    Habarini wana jamvi. Wakati ujenzi wa reli ukikaribia kuzinduliwa kwa route ya Dar es Salaam - Dodoma Hivi ulishawahi kujiuliza wasomi wetu waliwaza nini kutengeneza daraja kubwa kuanzia vinginguti mpaka posta? Unaweza piga hesabu pesa kiasi gani imetumika ili treni ifike tu posta...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba Benki ya Exim China kusaidia fedha za ujenzi wa SGR

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za TRC Mpya zisiwe za ubabaishaji!

    Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?” Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji ukimya wa Serikali kuhusu fidia ya waliopisha Reli ya SGR Tabora

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR kuchelewa kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, Mbunge wa Igagula, Venant Daud Protas amehoji juu ya hatma ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuwa serikali ya Tanzania imeishiwa pesa na kuongeza wasiwasi wa kukamilika kwa SGR huku kukiwa na ahadi za uongo

    Safari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama. Kipande cha Mwanza-Isaka kilitakiwa kukamilika May 14 mwaka huu, huku Maendeleo ya kukamilika yakifikia 54.01...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali yashindwa kulipa wakandarasi, mradi wa SGR Mwanza wasimama

    Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama mpaka serikali itakapolipa.
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya: Wananchi wa Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa SGR wafike ofisini

    Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR. Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kenya na Uganda wakopa Exim kujenga SGR mpaka Malaba mpakani

    Nimepitia taarifa inayosema Kenya na Uganda zimeingia makubaliano ya kujenga SGR kutoka Kenya hadi Uganda hatimaye Rwanda na DRC na Sudan Kusini. Reli hii ikikamilika italeta ushindani mkubwa na SGR ya Tanzania ambayo nayo ina malengo hayohayo ya kuhudumia Uganda,Rwanda,Burundi na DRC. je hali...
  11. JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la China (SINOSURE) kuisaidia Tanzania kutafuta Fedha za ujenzi wa SGR Lot 5

    Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

    ====== UPDATES ======= Habari zinazosambaa Mtandaoni zikidai Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu si za Kweli kwani Treni ipo kwenye Majaribio.
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Santiel Kirumba Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga

    MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga Swali la Mhe. Santiel Eric Kirumba, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga aliyetaka kufahamu, Serikali ina mpango gani kutatua changamoto ya ajira kwenye Miradi ya Kimkakati...
  14. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tutakayo: Bei ya nauli ya SGR izingatie hali halisi ya uchumi wa wananchi

    Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: SGR kukuza uchumi wa nchi, kupunguza ajali barabarani iwapo bei za nauli zitazingatia vipato vya wananchi

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili ya kuzalishia umeme sababu umeme tuliokuwa nao usingetosha kwa matumizi na kwa ajili ya kuendeshea...
  16. JamiiForums Tanzania Reli ya SGR itakidhi mahitaji ya baadaye?

    Nikiangalia ujezi wa reli ya SGR naona una track moja tu inayotoka Dar es Salaam mpaka Dodoma na ujenzi wa kwenda maeneo mengine kama Mwanza na Kigoma ukiendelea. Kuna matarajio makubwa sana kwenye reli katika usafirishaji wa abiria na mizigo. Swali langu la msingi ni hili. Kama track ya reli...
  17. JamiiForums Tanzania SGR yetu waweke Polisi au JKT chooni!

    Huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta. Na atakayechafua aidha asafishe mwenyewe au apigwe faini ndefu. Bila ya hivyo itakuwa SGR ya kichocho na kipindu pindu baada ya safari ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hii ni Off show au itaendelea kudumu?

    Wale wa kwenye ndege wanabeba mabegi makubwa na hawa wababeba madogo kama haya. Swali hii show itadumu au ni kwa ajili ya kupigia picha.
  19. JamiiForums Tanzania Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO SGR LOT 5 Hali ni tete. Wafanyakazi zaidi ya 200 wasimamishwa kazi

    Habari Wana JF, Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC. Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji mradi, wamepunguza wafanyakazi zaidi ya 200 na bado wanaendelea kupunguza. Aliye karibu na Mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…