sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Treni zote za SGR Kupewa majina ya Viongozi

    Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA WALA HALITOSAIDIA CHOCHOTE Majina ya viongozi yabaki kuwa mali ya familia zao kwa faida ya koo zao...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Responded Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?

    Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje? Pia soma: TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu
  3. JamiiForums Tanzania Semeni mtakavyosema, ila ukweli ni kwamba SGR bila Nguvu ya Hayati Magufuli na Uthubutu wake leo tusingeifurahia tusimbeze hata kama Kalala mazima

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania SGR haijangolewa kiuhalisia

    Labda baadae waboreshe, ili watu wasafiri wanaokaa mbali na hiyo railway line wasogezwe labda kituoni pugu, Chalinze, kariakoo. Tofauti ya nauli ya basi na Hilo SGR ni aftatu dar Moro, Sasa sisi wa mpiji magohe ambao tumeshatengwa na Bashungwa na mbunge wake anaitwa kama sikosei mtemvu si Bora...
  5. JamiiForums Tanzania SGR Dodoma -Dar yaanza rasmi leo 25 July 2024 usiku huu

    Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar. Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia. Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania SGR ingekuwa Vyema Ingepita Chalinze na Kibaha

    Hii Treni ya Sgr ingepita Karibu na miji Midogo ya Mdaula, Chalinze, Mlandizi na Kibaha Ingekuwa fursa kubwa sana kiuchumi na Watu wengi wangeishi katika miji hii na kufamya shughuli zao Dar es Salaam kwa Urahisi sana Sijui kwa nini Wenye maamuzi hawakuliina hili Hii tabia ya kupitisha treni...
  7. JamiiForums Tanzania SGR: Dar mpaka Moro na Moro mpaka Dodoma masaa mangapi?

    Wakuu mimi nipo Bariadi mitaa ya Gamboshi huku. Ningependa kujua kwa mlio tumia SGR by experience Dar to Moro na Moro to Dodoma ni masaa mangapi? Na nauli ni Tsh ngapi ? Watu wa Mwanza Bariadi Shinyanga na Musoma safari ya kwenda Dar ni mateso huwa tunafika usiku mnene Napenda kujua ili...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  9. JamiiForums Tanzania Je, kuna sera madhubuti za kuilinda SGR na Rapid trani?

    Serikali imejiandaa vipi dhidi ya wahujumu uchumi na mali za shirika la reli Tanzania? Kama tunavyojua treni zinaweza kuwa mbadala mkubwa wa mabasi ya mikoani DAR TO MORO na wamiliki wa mabasi hawatokuwa nyuma kuhujumi uchumi wa shirika. walamsiki
  10. JamiiForums Tanzania SGR kuziba njia za watu bila kuweka utaratibu mbadala Dodoma mjini

    done
  11. JamiiForums Tanzania SGR hodi hodi Dodoma, masaa matatu unusu umefika

    Shirika la reli nchini, Tanzania Railways Corp limefanya kweli kwa kutoa ratiba ya safari za treni Dar-Dom zitakazoanza Julai 25 na sasa kwa treni ya mwendokasi utaweza kusafiri kwa masaa 3.25 kutoka Stesheni, Dar es Salaam mpaka Dom. Usafiri wa mabasi ya mikoani kawaida hutumia masaa nane...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Responded Wananchi tunateseka kupita kwenye Kalavati kuvuka eneo la Reli ya SGR Mitaa ya Banana

    Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR). Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni ya SGR

    Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
  14. JamiiForums Tanzania SGR fanyieni kazi changamoto hizi

    Kwa sasa treni inasafiri kati ya Dar na Moro. Ni vizuri wahusika wakafanyia kazi baadhi ya mambo kabla usafiri haujatanuka kufikia maeneo mengine. Baadhi ya changamoto ni hizi hapa. Kwenye stations maeneo ya kukaa abiria ni finyu hii inasababisha msongamano mkubwa ya watu. Kwenye stations kuna...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

    Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai. Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki. Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why Tanzania is Constructing The Longest SGR Railway in Africa

    Wakenya Tazameni mzigo huo. https://youtu.be/_FanqniVtDU?si=SkAADV35PT1FZ7ma
  17. JamiiForums Tanzania Vichwa vya treni ya SGR kupewa jina la "Samia Express", Watanzania tumekwama wapi?

    Salaam Wakuu, Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli. Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
  18. JamiiForums Tanzania Mabegi ya 'shangazi kaja' marufuku kwenye kwenye treni ya SGR

    Upande wa wanyama naelewa, ila hapa kwenye shangazi kaja haijaingia akilini kabisa! Kwamba anayetumia begi/mfuko wa shangazi kaja, huo mfuko unahesabika kama silaha? Au mtu akibeba shangazi kaja anakuwa halipi nauli? Yeye siyo mlipa kodi ambaye pesa yake imechangia kwenye kukamilisha ujenzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

    Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja. Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu...
  20. JamiiForums Tanzania Swali la Kimkakati: Kwanini Tanga Isiunganishwe na SGR?

    Hili jambo najiuliza sijui kama kuna sababu ya msingi ya kwanini Tanga isiunganishwe kwenye SGR. Kuna mtu yeyote au imeonekana haina faida kiuchumi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…