serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanahistoria Bingwa Dk. Francis Daud Aingia Serikalini

    https://youtu.be/lNfaO4GzyLs?si=6qu5q2OG6hJWL1dh
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

    Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga ina watu serikalini lakini inatoa boko

    1. Samia Yanga. 2. Ndejembi Yanga 3. Mwigulu Yanga 4. Mzabuni mkubwa wa nondo kwenye mradi wa SGR (GSM) Yanga. Tatizo liko wapi? Engineer jitafakari. Umetumia bilioni 15 kusajili, Simba wametumia bilioni 5 tena za mali kauli.
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu portifolio na interview ya serikalini

    Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu. Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za Systems Analysis. Kwenye baadhi ya nafasi hizo, moja ya vigezo vinavyotajwa ni mwombaji kuwa na...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania High Court Yabatilisha Mauzo ya 15% ya Safaricom kwa Vodacom: Shares Ziamriwa Kurudishwa Serikalini

    Mahakama Kuu imebatilisha mauzo ya asilimia 15 ya hisa za Serikali katika Safaricom kwa Vodacom, ikisema mchakato wa divestiture ulifanywa kinyume na Katiba na sheria. Uamuzi huo una maana kuwa hisa hizo, ambazo zilikuwa tayari zimehamishwa kwa Vodacom, zinapaswa kurejeshwa kwa Serikali ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Posho kwa Interns Serikalini: TTB & TANAPA

    Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA). Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
  8. JamiiForums Tanzania Kama unaona hutaweza kuwa mtiifu kwa viongozi wako wa chama achana na nia yako ya kutaka uongozi chamani wala teuzi serikalini

    Hili andiko haliegemei chama chochote. Uwe CCM au upinzani linakuhusu. Sio CHADEMA wala CCM ambako utavumiliwa ukianza ku-challenge uongozi uliopo. Yaani ukiwa kinyume na itikadi za chama jua kabisa wewe ni msaliti unapaswa kuchukuliwa hatua kali ya kufukuzwa chamani. Na unapotaka kupambana na...
  9. JamiiForums Tanzania Yule Wakili Ajuaye ni wakili wa Serikalini au Kishoka?

    Kkwenye kesi ya Lissu kuna Wakili anaitwa Ajuaye. Naye niliskia akihoji maswali ya dodoso. Nimeshangaa serikali kuleta wakili kama yule. Ina maana yale ndio majembe ya serikali au nu kishoka tu?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ajira za higher diploma kweli serikalini

    Wakubwa nataka kujua higher diploma huwekwa kundi lipi wakati wa kuomba ajira serikalini?
  13. JamiiForums Tanzania Nilikuwa sekta binafsi nimehamia serikalini, kuna namna naweza nikapewa michango yangu iliyopo NSSF?

    Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
  14. JamiiForums Tanzania Mtake ushahidi gani kuamini viongozi wengi serikalini hawajielewi?!

  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumelipia viwanja Vikonje 'BM' – Dodoma, kampuni iliyotuuzia imeingia mitini, tunaomba msaada Serikalini hatusaidiwi

    Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma. Malipo yalikuwa ni kwa awamu ndani ya miezi 24 na makubaliano...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi/Maofisa Serikalini muwe serious na kazi!!

    Kibosile wa Mamlaka ya Mbegu " akikagaua" mbegu huko Arusha. Jamani tuwe serious na kazi. Mtu anakagua kavaa suti ya ofisini Viatu si vya kwendea shambani Tai juu Mkononi simu Kwa watu tulio sekta za Field tunajua ukaguzi wa kina unahitaji nguo za Field, zinazoendana na hali hiyo. Hapo kama si...
  17. JamiiForums Tanzania NIDA yakabidhi kiasi cha TZS 61,053,535,363 Serikalini kwa maendeleo ya Wananchi

    Dar es Salaam, 1 Julai 2026 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni fedha za makusanyo yake katika kuunga mkono jitihada za Serikali ya Jamuhuriy a Muungano wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Simoni Sirro: Tunajisahau Sana Tukiwa Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Soma Hapa👉Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro amesema baadhi ya Viongozi wanapokuwa Serikalini hujikuta wakijisahau na kufikia hatua ya kujiona kuwa wao ndio kila kitu. Sirro ametoa kauli hiyo leo Juni 26, 2026 wakati wa kumuaga aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  19. JamiiForums Tanzania Mama serikalini,mtoto serikalini,ndugu serikalini na wewe babu bado unataka nchi.Embu kama mtu wako wa karibu ungemshauri vipi huyu babu na bibi kesho

    Kesho kuna kufa na mna kila kitu na kila mtakacho. Maana kuna watu dunia hii wanaona kifo sio seheemu yao. Hapa nauliza hizi familia duniani ambazo zinakufa kwa aibu au kuondolewa kwa lazima. Tujifunze maisha ya nyama na roho.
  20. JamiiForums Tanzania Nchini uganda ukiwa serikalini au polisi unaambiwa utapandishwa cheo ukideal na upinzani.

    Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda. Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani. Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…