serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Huu hapa ujanja wa kupata ajira serikalini kwa wasio na connection

    Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5 Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree basi utalia na kusaga meno Serikali haina Hela ko inaajili watu wanaolipwa kidogo ahsante
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Prof. Riziki Shemdoe anatumia uzoefu wake vizuri katika utendaji kazi Serikalini, nampongeza

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesifu utendaji kazi wa Mbunge wa Lushoto ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kwa namna anavyotumia uzoefu wake wa utendaji kazi Serikalini katika kuwahudumia na kuwaletea maendeleo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awakomba Maelfu ya Vijana Mitaani Na kuwapa Ajira Nono serikalini. Ni Tabasamu na Furaha tu kwa vijana na Wazazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika vijana wa Taifa hili wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia ,wana kila sababu ya kuendelea Kumuunga mkono ,wana kila sababu ya kumuombea Maisha marefu ,wana kila sababu ya kusema asante Mama kwa moyo wako wa upendo na huruma kwa vijana . Mama na Rais wetu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma wanazostahili - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 27, 2026...
  5. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Safisha safisha inaendelea huko serikalini, muda wowote kuanzia sasa Korogwe ataondolewa

    Ni kama kuna safisha safisha huko serikalini. Nineambiwa baada ya mapete sasa ni zamu ya Korogwe. Tega sikio…
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Panga pangua ya baraza la mawaziri ni ushahidi kuwa serikalini mambo si sawa

    Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri. Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua. Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa. Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama. Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama. Ukisifia, hauko...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo sasa njia za kuingia serikalini kuwa mbunge, diwani lazime upitie kazi za usanii na uchawa

    Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo. Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa. Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna kosa la Katiba ambalo Rais au kiongozi akimaliza muda wake anatakiwa kutokuwa Serikalini kabisa wala jambo lolote la Serikali

    Haya ndio matatizo ambayo Katiba iliyofanya yaani Rais kama kamaliza muda wake kutojihusisha na serikali. Leo hii tumejionea kwa Jakaya Kikwete yaani unaweza kusema bado yupo Serikalini na anafanya kazi kama Rais. Upande wa chama chao unaona kabisa kama ni mwenyekiti wa maamuzi...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Serikalini hakuna mwenye akili angalia Press ya Msigwa muda mchache ujao

    Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa. Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu. Tuhuma...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachoendelea Serikalini Muda huu. Tukisema tukafukue kusema hakuna miili wananchi watauliza mmewaweka wapi ndugu zetu?

    Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili. Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa. Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Binti chawa Jokate Mwegelo amelamba cheo gani ?

    Huyu Binti alijivika uchawa kiasi cha kuivuka level ya uchawa na kusimikwa rasmi kama kalikonji wa samia, alikua mstari wa mbele kumpigia debe samia, Nakuwapa vitisho waaandamanaji. Nataka kujua kama samia kamkumbuka katika serikali yake batili ya mpito
  12. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nimejiridhisha huko serikalini hakuna problem solvers

    Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile. Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..? Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
  13. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Nimekaa nimejiridhisha huko serikalini hakuna problem solvers

    Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile. Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..? Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Huyu Angela Kizigha ni nani hasa huko CCM au serikalini?

    Anaemfahamu kwa undani huyu mama tunaomba uzi wake hapa ! Katajwa san na inaonekana anamkaribia Rostam kwa Upigaji
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Polepole: Rostam alikuja na kamradi ka kusuka suka (Gesi safi) kakachomekwa Serikalini

  17. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuingia serikalini na elimu ya form 4 je muda gani unaweza kuongeza elimu yako

    Mfano umepata kazo ajira portal FORM 4. NA UNA CHET CHA DEGREE ILA HAUJAKIPANDISHA AJIRA PORTAL KUNA UWEZKANO WA KUONGEZEKA CHEO BAADA YA MUDA GANI
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli katika Serikali hii na kwenye CCM hii hakuna wazalendo?

    Japokuwa Serikali yetu haiongozwi na Malaika, lakini kusema kweli yapo mambo mengi yanayoendelea nchini yanayotia kichefu chefu, kukatisha tamaa na kusikitisha. Hali hii ya mambo imesababisha ukosoaji mkubwa dhidi ya CCM na Serikali yake kutoka kwa kada mbalimbali za wananchi na hata...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais samia alipotaka mifumo yote ya Tehama serikalini isomane ili kujua nani ni nani katika nchi hii

    Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu vyema raia na wageni wa nchi. Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
Back
Top Bottom