serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali mnaonaje mkiweka kodi za kuagiza magari ziwe kama mtindo huu

    Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million Hairuhusiwi kununua gari iliotengenezwa zaidi ya miaka 15. NOTE: Kutokana na kupungua kwa kodi, Idadi ya Watu...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon na Hizbullah wako pamoja kupinga vita vinavyoshinikizwa kwao na Israel

    Waziri mkuu wa Lebanon ambaye anaiunga mkono Hizbullah ameonya juu ya kuzuka kwa vita upya baada ya jeshi la Israel kushambulia maeneo kadhaa ya nchi hiyo na kusababisho vifo visivyopungua 7. Katika tamko jengine tofauti na la waziri mkuu,raisi wa nchi hiyo Joseph Aoun ammbaye ni mkristo...
  4. JamiiForums Tanzania Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

    Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
  5. JamiiForums Tanzania Wezi watakuja kuishika serikali na nahisi :Sio mimi ni socrate

    Nimeisoma hii hadi damu imenichemka. February 15, 399 BC alifariki na sasa watoto wao wanataka washike madaraka⁷
  6. JamiiForums Tanzania Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  7. K

    JamiiForums Tanzania NINA USHAURI KWA SERIKALI ZETU ZINAZOCHANGIA MAJI YA ZIWA VICTORIA

    Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji hutiririka kupitia Mto Nile hadi Mediterranean Sea. Maji yanayotoka Ziwa vcictoria hupita nchi ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya sera mpya ya elimu na wahitimu wa vyuo vikuu kwenda VETA ni kichaka cha serikali kujifichia au kukwepa majukumu.

    Kwanza kabisa niikumbushe serikali kwamba swala la tatizo la ajira nchi hii sio swala la ujuzi bali ni swala la DEMAND AND SUPPLY wale ambao wanaosemwa hawana ujuzi nadhani nimeeleweka kiasi chake. Pili Swala la tatizo la ajira ni kushindwa kutafsiri nganzi za elimu ndo maana kila siku...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chongolo aiomba serikali kujenga bandari kavu na soko la kimataifa la mazao

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini...
  11. JamiiForums Tanzania Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

    Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam. Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata. Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo. Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  13. JamiiForums Tanzania Mgodi unaomilikiwa na Wakinamama wachangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali

    MGODI wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na Wakinamama chini ya uenyekiti wa Asha Msangi umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025. Mgodi huo ambao kwa kiasi kikubwa unaendeshwa na wakinamama upo Kahama Kijiji cha Mwime Kata ya Zongamela ambao...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu 'Musukuma' akiwa sehemu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ameelezwa kufurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania WAZO: kwanini serikali isipunguze muda wa kustaafu kwa watumishi wa umma

    Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetenga Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa Kumi na Sita

    Serikali imetenga takribani Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa takribani Kumi na Sita iliyokuwa haina kampasi ya ya vyuo vikuu Akizungumza katika Kongamano la Dhahabu la miaka Minne ya Dkt Samia suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha nchi nzima...
  17. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji
  19. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…