serikali

  1. JamiiForums Tanzania Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuchukia Serikali

    Samia amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao. Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na Wakuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuichukia Serikali.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

    SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo binadamu walivyo na haki ya kuwa watu. Sisi sio Malaika na haitakuja kutokea tukawa Malaika. Hiyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ameigiza ila ndio uhalisia wa wa Kiongozi mmoja wa Serikali ambaye anapenda kuwadanganya watanzania

  6. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

    Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea...
  8. JamiiForums Tanzania Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  11. JamiiForums Tanzania Wamemzomea Naibu Waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo, Mwana FA alipotaja Serikali ya Awamu ya Sita, kwenye tamasha

    Aaaaaaah uyoooooooo aaaaaah shukaaaaaaaaa
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu?

    Moja ya vitu tuko nyuma Watanzania ni miundombinu kwenye makazi ya watu. Yeah baadhi ya neighborhood serikali imejitahidi kuweka miundombinu lakini kwa asilimia kubwa bado sana Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu? Kila siku mitaa mipya inajengwa...
  13. JamiiForums Tanzania Chadema njaa tayari, wanagombea maokoto; wanadai ruzuku ya 500m kutoka serikali wasiyoitambua

    Taaayari!!!! Jamaa wamezimana maokoto, Heche kawazidi wenzake ujanja, kala tonetone na za wafadhili walioingiza fweza kwenye account yake binafsi. Na Mnyika anadai wapewe ruzuku ya sh. 500m serikalini, serikali ambayo wanasema ni haramu na hawaitambui. Heche hajui kwamba chadema ni saccos ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kigaidi: Watanganyika Wameshuhudia Maana ya State Terrorism

    Natoa maana ya Serikali ya Kigaidi, ili kila mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kutafakari, aone, Serikali ya Tz inapungukiwa na nini ili kupata sifa ya kuitwa "Serikali ya Kigaidi": STATE TERRORISM: State terrorism refers to violent acts, threats, or intimidation committed by a government...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu atoze wenzake kodi kwenye ardhi ambayo wameikuta wote hapa duniani wakati hao watu hawaiitumii kwenye biashara ni makazi tu?

    Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia? Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi

    Kazi iendelee Kwenu Serikali, mliyempa kandarasi ya kujenga dalaja hilo tajwa hapo juu naomba mumshupalie alimalizie, na kama mnalirekebisha ninyi wenyewe naomba mfanye haraka kulimalizia, limalizieni au lirekebisheni haraka Kama wewe ni mkazi wa Kimara utaelewa nazungumzia nn! Simu yangu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mission za kuiua na kuifuta CHADEMA kisiasa zinafeli na kwanini Serikali inaambulia chuki kutoka kwa Wananchi badala ya mafanikio?

    Kumekuwa na kufeli kwa mission nyingi za kukiondoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uso wa siasa zetu, majaribio yote yameishia kuwa kituko cha awamu husika, propaganda za kitoto dhidi ukomavu mkubwa wa kisiasa ambao jamii yetu inao kwa sasa zimeisha kuwa chuki dhidi ya serikali. Baada...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawataki kulipia huduma za kuzaa na kwanini Serikali inakubali huu ujinga?

    Kwa nini wanawake wanaozaa huwa hawataki kulipa huduma za hospitali za kuzalishwa? Sababu hasa za watu kutaka huduma za kuzaa kuwa bure ni zipi? Kwa nini utake watu wagharamikie kuzaa kwako?
  19. E

    JamiiForums Tanzania Serikali Ishughulikie Malalamiko ya Wanaoitisha Maandamano, Sio Kupambana Nao

    Tishio la maandamano la hivi karibuni la Julai 7, 2026, limeibua mjadala mpana na mzito nchini kuhusu namna bora ambayo Serikali inapaswa kukabiliana na changamoto za kisiasa na kijamii zinazochochea wananchi na wanaharakati kutangaza maandamano. Badala ya kuwekeza nguvu nyingi na mabilioni ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wiki iliyopita niliingia kwenye ofisi moja ya serikali, huyo ofisa aliyekuwa hapo aliponiona akaanza kutabasamu na kunikaribisha kwa bashasha

    Wiki iliyopita niliingia kwenye ofisi moja ya serikali, huyo ofisa aliyekuwa hapo aliponiona akaanza kutabasamu na kunikaribisha kwa bashasha. Nikajua ni uchangamfu tu, nilipoketi ndiyo akaniambia "nakufahamu, huwa nakuona mtandaoni". Badala ya kunihudumia, akaanza kuniuliza, nawezaje kuishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…