serikali

  1. JamiiForums Tanzania Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
  2. JamiiForums Tanzania DAS Jacob Rombo: Watumishi Zingatieni Maadili, Serikali Inawaamini

    WATUMISHI ZINGATIENI MAADILI, SERIKALI INAWAAMINI : ROMBO Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na Serikali ili kufanikisha huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Kalenda Mpya ya Minada ya Dhamana za Serikali Yatolewa: Fursa kwa Wewe Mwekezaji!

    Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haiwajali wanafunzi Kama inavyowajali wafungwa?

    Ni jambo la kushangaza na kuumiza moyo kuona kuwa wafungwa walioko magerezani wanahakikishiwa huduma zote muhimu kama vile chakula, mavazi (mavazi ya gereza), malazi, huduma za afya na hata baadhi yao kupata fursa ya elimu. Hili ni jambo jema kwa kuwa hata mfungwa anastahili haki zake za...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ndo the best Mwanasheria/Wakili wa Serikali???? Sasa mbona hata kuongea tu ni shida?

    habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Ina maana hizi barua zote Samia na Serikali yake hawazioni au wanazipuuza

    Marekani imeonya. Nchi za Ulaya zinaonya. DUA-Africa inaonya. IDU-The International Democracy Union ilionya. Kwamba sisi ni special sana duniani au ni kibri na jeuri tu tuone watafanya nini. Yetu macho, Ila aonywaye mara nyingi huvunjika shingo.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kufika hospital ya KIBAHA ya serikali

    Habari za Asubuhi Naomba anayefahamu namna ya kufika KIBAHA hospital. Ni hospital ya serikali na kwa maelezo machache pia Ina madaktari wazuri wa macho. Binafsi natokea Tabata Kinyerezi na mpaka muda huu nimeshaanza safari now nipo Malamba Mawili so Maelekezo yaanzie Mbezi Stand Naomba...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna Kipindi kinakuja huko Mbele Serikali itasaka Watu wa Kufanya Kazi Serikalini Kwa TOCHI?

    Najaribu kujiuliza tu wakuu. Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk. Sasa katika maongezi na dodoso...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama wabunge wameanza kuorodhesha mambo waliofanya kwenye uongozi wao, sasa Rais Samia kafanya nini? Kwahiyo mama amejaa madeni?

    Ni swali tu mje kwa step msije mkajikwaa mkavunja miguu🤣🤣🤣 Ilikuwa kila unakopita mama kafanya hiki, mama kaleta hela zile, mama kanunua hiki, mama kasaidia wale, mama kajenga nini, mama hadaiwi.. mamaaa.... mamaa.... mamaaaa! Kinachoshangaza sasa hivi kila anayetetea nafasi yake anaorodhesha...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hili la wanaoandamana kwa ajili ya kufanya ibada serikali na wahusika wanaweza kulimaliza wakiwa mezani

    Naona kama huu mgogoro wa wanaondamana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada unaanza kuzoeleka.kitu ambacho kwa maoni yangu ni kuendelea kuiletea doa nchi yetu.Kwa nini serikali isikae ikafanya mazungumzo na kuwasikiliza hao waandamanaji na kuweka utaratibu mzuri wa kufanya hiyo ibada kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Doreen Kissia: Serikali ituletee umeme katika Mgodi wa Ikombo Hill - Kijiji cha Matonya (Mpwapwa) ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji

    Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya...
  12. JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Serikali haitachutama kukaa kimya kuhusu Utekaji kwa moyo wa dhati hizi ajali ni Gharika ya Mungu kwa Taifa za wanasiasa zinafuata

    Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
  14. JamiiForums Tanzania Wadau niambieni, nitapigaje kura wakati naidai serikali?

    Mimi nafanya kazi za serikali. Nalipa kodi zote, iwe za TRA, NSSF, WCF, OSHA,FIRE, WMA, Weights and Measures, Hali ya Hewa, City Levy, Achana na kodi za maisha kama Fuel Levies, Umeme, Kodi ya Majengo n.k. Wabunge wamepiga kelele kwa niaba yetu lakini ni kama kuongea na jiwe. Wakati huo huo...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    SERIKALI YAWAREJESHA WATANZANIA 42 KUTOKA NCHINI IRAN NA ISRAEL. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya warejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchi Iran na Israel

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yenyewe imekiri manyuklia yao yalipigwa na kuharibiwa mbaya mno, sasa mnaopinga humu mnatumia nini

    Serikali ya Iran imekubali manyuklia yamesambaratishwa, ila makobaz humu JF yameshupaza na kutokwa mishipa utosini yakipinga kwamba hamna kilichotendeka kwenye hivyo vinu.... Mkibisha sana tutarudi humo na kupiga tena, mjue kilichopo sasa hivi ni ceasefire, ifahamike ceasefire ni kusitisha vita...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mradi wa Dege Eco Village

    Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti...
  20. JamiiForums Tanzania Je ni lini serikali itatua kero ya mawasiliano kwa maeneo yaliyo pembezoni mwa nchi?

    Katika halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera vipo vijiji ndani ya kata za Isingiro,Kaisho,Rutunguru Rubwera nk Hizi ni kata ambazo zimepakana na nchi za Rwanda pamoja na Uganda Huwapo ndani ya hizi kata mitandao ya mawasiliano ya simu ni shida kiasi kwamba ukiingia tu unaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…