Habari za Asubuhi
Naomba anayefahamu namna ya kufika KIBAHA hospital.
Ni hospital ya serikali na kwa maelezo machache pia Ina madaktari wazuri wa macho.
Binafsi natokea Tabata Kinyerezi na mpaka muda huu nimeshaanza safari now nipo Malamba Mawili so Maelekezo yaanzie Mbezi Stand
Naomba kuwasilisha