serikali

  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima sisi Wakatoliki wala hatujakutuma Utuongelee na Utujumuishe katika Matatizo yako ya Serikali, Rais Samia na CCM

    Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini. Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

    Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
  4. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wasilisho kutoka kwa wataalam wa haki za binadamu - Umoja wa Kimataifa kwa Serikali ya Tanzania

    Hili ni wasilisho lenye maswali magumu yanayohitaji maelezo ya kiina kuhusu kukamatwa, kutekwa na kuteswa kwa @bonifacemwangi na Agather Atuhaire @un_sp_experts kupitia @unhrcommittee wanahitaji majibu kuhusu yafuatayo:(nimetafsriri) 👇🏾👇🏾 1. Tafadhali toa maelezo yoyote ya ziada na/au maoni)...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuna mikataba 43 ya Ubia Serikali imesaini bila kuipitisha Bungeni

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina anasema ‘’sasa hivi tuna mikatakata 43 iliyoingiwa na serikali bila kuambiwa Bunge na kama halijaambiwa Bunge, hawajaambiwa wananchi’’
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao Akizungumza na Walimu katika Mkutano Mkuu wa tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) katika Ukumbi wa Taasisi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa ukipata bilioni, kiongozi mzito wa serikali au idara wakitaka nusu unaweza kukataa ?

    Umefanikiwa kupata B ( Bilioni 1) Kiongozi mzito au idara ya serikali wanahitaji bilioni 1 nje ya mfumo rasmi . Unatoa wapi nguvu za kukataa ?
  8. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda. Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi. Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali inatengeneza maadui wa baadae-kupiga vijana bila sababu

    Vijana wengi wa umri huu watakuwepo Tanzania kwa miaka 40! Sasa serikali ikifanya hivi inatengeneza jamii gani kwa miaka 40 ijayo. Samia hazidishi miaka 5 anaondoka !! tafakari hili. Kuna ambao wataangalia rangi za shati pekee na kuishia hapo lakini hatujui miaka 40 ijayo kama hizi rangi...
  10. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

    Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dialysis hospitali za serikali almost 1,000,000 Tsh. Wanyonge wa Magufuli tukimbilie wapi?

    Nimeshuhudia mwenyewe initial costs nearing 900,000 Tsh. Bado vikoromboizo vingine. Kweli "wanyonge" wa magufuli wataweza? Main bussiness ni kukaa madarakani na Tupo Mlimani city kutakatisha fedha! johnthebaptist naomba maoni yako!
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watibeli tunaiomba Serikali kumuachia Tundu Lissu Septemba kabla ya Septemba 7

    Hamjambo wote! Tayari misukosuko imemtosha, tunaita ndio mambo ya siasa hayo. Tunaiomba serikali kabla ya septemba 7 iweze kumuachia Tundu Lisu. Hatusemi baada ya hapo ile Muku na yule aliyemuokoa na na lile shambulizi lilimnusuru roho yake ataingilia kati. Na haimaanishi kuwa hatujasema...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania ACT na Mpina Serikali 3 zitawachelewesha kama wenzenu

    Maalim Seif alikuwa na nguvu kisiasa lakini serikali 3 zilimzuia kwenda Ikulu hadi akaondoka zake. Nyie mna mikakati Gani tofauti na Seif? Kushinda sio kazi ila kazi ni kutangazwa, Shauri mjaribu kuhubiri serikali 1 au 2 hizihizi hadi hapo mtakapokwenda Ikulu kwa kutumia Katiba hiihii ya...
  17. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Kuna Mahoteli mengi na maghorofa mengi yamejengwa kwa wizi wa fedha za Serikali. Nikiapishwa yatakuwa mali ya serikali

    Mpina amesema kuna viongozi wengi Sana wa serikali wameiba vya kutosha hii nchi akiingia IKULU mali zote za serikali watazitapika mara moja mahoteli yao zitakuwa hospitali za umma
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wakurya ndo jamii duni sana ambayo serikali inabidi kuitazama

    Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence. Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
Back
Top Bottom