Habari ndugu,
Naomba kufahamu mifumo ya kutolea huduma za afya kwa mfano GOT-HOMIS na EHMS imewekwa kwa kufatana na hadhi ya hospitali?
Hospitali nyingi za wilaya zinatumia GOTHOMIS na huu mfumo naambiwa na watumiaji kwamba una mashetani mengi kiasi kwamba unapelekea baadhi ya huduma za afya...
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa.
Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi Barani Afrika, itabakia kuwa chama chenye heshima na kuheshimika Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake. CCM itabakia kuwa chama cha kuigwa Barani Afrika,itabakia kuwa chama kisichoyumbishwa wala kuyumba.
Uimara...
Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli.
Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?.
Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba...
Heshima yenu wakuu ,
Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena .
Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
Anonymous
Thread
likizo
pesa
serikali
taasisi
taasisi za serikali
tena
wake
watumishi
SIASASYRIA
Putin ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria
Bakari Ubena
01.08.20251 Agosti 2025
Rais wa Urusi Vladimir Putin amempokea kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Asaad al-Shibani na kumueleza dhamira ya Kremlin ya kuanzisha uhusiano na uongozi mpya wa nchi hiyo.
Siku ya...
UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko kuofungia kabisa?
Ukikaa ukatafakari kwa nchi masikini kama Tanzania ambayo sio tu ipo nyuma Ila imekwama kwa kila nyanja kuanzia kisiasa ,kiuchumi na kijamii.
Sasa kuna sababu gan ya kuwa na idadi kubwa ya wabunge ambao unasikia kuwa Kazi zao ni kuwawakilisha wananchi.
Mimi nimefatilia sana siasa Ila ukweli...
Chukulia tu, kesi inayomkabili Lissu ingalimkabili wakili wa Serekali, angalikumbuka angalau kifungu kimoja cha sheria kichwani? Nakusudia kwamba juu ya ubobezi wa sheria alionao, angalijiamini ajitetee mwenyewe na ateme vifungu vya sheria mahakamani?
erikali ya Tanzania imetoa kiasi cha shilingi bilioni 15 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa Mwenga Hydro Ltd uliopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
Hayo yamebainishwa leo Julai 31, 2025 wakati wa ziara ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ilipotembelea na kukagua mradi wa kuzalisha umeme wa...
Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu.
Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa hatulipi kitu na mfumo umejengwa na watanzania na tumesevu bilioni 90 kwa mwaka.
Leo tunazindua...
Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza.
Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
Watu wengi wakipata nafasi, wanaangalia zaidi namna ya kuinua familia / ndugu zao, si kwa maslahi ya taifa au jamii kwa ujumla.
Mradi mtu na familia / ndugu wake wako vizuri, basi huhisi nchi haina shida hata kama jirani anaumia, hata kama mfumo mzima unaporomoka, wao hayawahusu.
Hiki ndio...
Kiukweli suala la kukosa mitaala ya elimu iliyothabiti ni janga la Taifa,,, leo hii serikali na watendaji wake wakuu wanakurupuka kuanzisha mifumo isiyokua na Tija katika mustakabali wa taifa;
1. Mfumo wa ESS ulianzishwa kwa dhumuni la kupima utendaji kazi wa mtumishi baada ya kuondolewa mfumo...
Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe.
Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
NUKUU ZA LEO
A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela.
😎. "Uhalali wa kiongozi haupimwi kwa nguvu ya silaha bali kwa nguvu ya hoja na uwezo wa kuwaunganisha anaowaongoza" Mahatma Ghandhi.
C). "Uhaini si kuzuia...
Kufuatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoa orodha ya watia nia waliopita kuwa nia Ubunge hatua ya awali katika Majimbo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar, kumekuwa na sura tofauti za maoni kuhusu demokrasia ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, huku pia...
Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu
" Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.