serikali

  1. Kampuni ya uchimbaji dhababu ya Canada, Winshear Gold Corp kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa kukiuka mikataba

    Kampuni ya uchimbaji dhahabu kutoka Canada, Winshear Gold Corp imeitaarifu serikali ya Tanzania nia ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi ya kimataifa baada ya sserikali ya Tanzania kukiuka mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Canada. Kinacholalamikiwa hasa ni sheria mpya ya madini...
  2. GE2020 Kwanamna uchaguzi wa serikali za mitaa ulivyoendeshwa je ni halali kuendelea na katiba inayozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani?

    Kwakweli sielewi hiki kipengele kinachozuia matokeo ya urais kupingwa mahakamani kina Nia njema ipi. Yani katika mazingira ya Tanzania ya Sasa yenye uvunjifu wa sheria zote pamoja na haki za binadamu bado kipengele kama hiki tukione kina nia njema kweli? Nitakuwa was mwisho kuamini . Vyama vya...
  3. Wananchi wa Iran waandamana baada ya Serikali kukiri kuitungua ndege ya Ukraine

    Tehran. Muda mfupi baada ya Serikali ya Iran kukiri kuitungua ndege kwa bahati mbaya, kundi la waandamanaji nchini humo limejitokeza kutaka kiongozi wa juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao. Ndege aina ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la...
  4. Serikali iwapeleke A Level shule za vipaji maalumu wanafunzi waliopata division one kali kutoka shule za kata kwanza baadae za private

    Namaanisha mwanafunzi mwenye division one kutoka shule ya kata ni hazina ya taifa kama ataendelezwa kikamilifu. Hii ni kwa sababu anaweza kutumia mazingira magumu kama changamoto na changamoto hiyo anaitatua kikamilifu na kwa usahihi sana hivyo IQ yake ni kubwa mno tofauti na wa mazingira...
  5. Serikali toeni haki kwa Kampuni za wazawa watangaze mipira mbali mbali duniani nchini.

    Serikali ya Naijeria imethubutu kwa kutoa tamko kwamba wanakwenda kutoa ruhusa kwa makampuni ya vizimbuzi nchini humo kuwa na haki ya kumili ki maudhui ya urushaji Epl na Uefa na si DStv pekee Kama ilivyo sasa.Na sisi iwe hivyo tumepigwa vya kutosha jamani . Sasa hivi DStv wamepunguza Bei baada...
  6. J

    Mwita Waitara adai elimu bure maana yake ni wanafunzi kulipiwa ada na Serikali, mzee Mwamakula amshangaa na kusema mawaziri hawana maono

    Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali. Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
  7. E

    Wapinzani Tukipewa serikali tutaanzisha kodi mahususi kwa mambo mawili

    Mwaka 2020 wapinzani tukishinda serikali tunawaahidi watanzania kuanzisha kodi mbili mahususi 1. Kodi ya Kuboresha Elimu 2. Kodi ya kuboresha Makazi Kodi ya kuboresha Elimu Miaka ya 80, 90 ilikuwa kusoma shule za serikali ni ufahali na kusoma shule za private ni fedheha lakini leo hii...
  8. Watoto wa mitaani hawatendewi haki

    Watoto wa mitaani hawatendewi haki, walipaswa kuwa shule ila wanaachwa kuzagaa hovyo bila muelekeo. Watoto hawa wanapaswa kuwa chini ya uangalizi, RC yupo, ustawi wa jamii wapo, wanakula mishahara na kupishana chooni tu. Tunataka maelezo, mnakwama wapi? Napaza sauti kwa niaba ya watoto hawa...
  9. Serikali yetu ishirikishe wananchi katika kuamua Mipango muhimu: Huenda isiwe endelevu itakapotoka madarakani

    Ni kweli tunahitaji watoto wote nchini wasome wapate maarifa ya kulijenga zaidi Taifa letu. Ni kweli kuwa siyo kila mmoja wao atahitajika afike Sekondari ndio awe na maarifa ya kujenga Taifa. Msingi Mkuu wa kuingia Sekondari ni ufaulu wa kutosha wa mitihani ya kumaliza shule za msingi. Msingi...
  10. Hivi serikali inapata kodi kwa manunuzi ya nje ya nchi yanayofanywa na Watanzania?

    Nimetoka kulijadili hili na mtu hapa, kwa mfano, nikilipia kitu Google Playstore au nikifanya in-app purchase yoyote, serikali yangu inapata chochote mle? Na kama jibu ni hapana, serikali hawaoni kuwa wanakosa kodi kubwa sana huko? Kipi kifanyike?
  11. K

    Augustine Mrema aitaka Serikali kumlipa Tsh. Bilioni 2 kwa kusingiziwa kesi katika Serikali ya awamu ya tatu

    Mwenyekiti taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema ameitaka Serikali ya Tanzania kumlipa Sh2 bilioni kama fidia ya kesi alizowahi kusingiziwa chini ya Serikali ya awamu ya tatu ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa. Mbali na fidia pia amemuandikia barua Rais wa Tanzania, John...
  12. Dkt. Nchimbi acharuka, aja na kaulimbiu ‘Mshahara Wangu Uko Wapi?'

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi (pichani) amesema kuwa kila mtumishi wa serikali mkoani mwake, kuanzia mwaka huu atatakiwa kuonesha mafanikio, yanayotokana na mshahara anaolipwa na serikali, kupitia kauli mbiu iliyoandaliwa na mkoa ya “Mshahara Wangu Upo Wapi” ifikapo mwisho wa mwaka...
  13. Serikali yatoa ukomo kukaimu nafasi kwa watumishi

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwajelwa, alisema Serikali baada ya kugundua kuwapo kwa uozo kwa watumishi mbalimbali wanaokaimishwa nafasi waliamua kuja na waraka unaoelekeza kikomo cha mtumishi kukaimu katika nafasi husika. Dk. Mwanjelwa aliyasema hayo...
  14. Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22

    Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22, 2020 ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya amani. Mambo yanayoleta mvutano ni: majimbo mangapi yawepo na kuunganishwa kwa wanajeshi 83,000 kutoka vikundi mbalimbali. Swahili Times
  15. TCRA mulikeni Vodacom, wateja tunapigwa

    Kuna mambo hayako sawa: Naomba mchunguze haya: 1. Gharama za kutuma na kutoa fedha,ziko juu sanaa, ndvyo hivyo kama Serikali mlikubaliana? 2. Gharama ya kuhamisha miamala kutoka benki kwenda M- Pesa. Iko juu na hutozwa double! 3. Kukatwa fedha bila maelezo hasa unaporwcharge voucher! Mfano...
  16. J

    Mnyika: Ni wakati sasa Serikali ipeleke bungeni muswada wa sheria kuruhusu mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa

    Katibu mkuu mteule wa CHADEMA Mh Mnyika amesema msiba wa mama Erick Kabendera uwe ni somo kwamba kuna haja ya Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria utakaotoa nafuu kwa mahabusu kuwazika wapendwa wao pale wanapofiwa. Chanzo: ITV Habari Maendeleo hayana vyama!
  17. M

    Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu limefika kileleni. Serikali ichukue hatuna kuepusha matatizo ya kisiasa na kijamii

    Hili ni kwa serikali na watunga Sera wa Taifa hili. Kuna tafiti moja nilikuwa nasoma imefanywa na Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimeshangaa kuona hili tatizo lilipofikia. Sio kwamba nilikuwa sijui bali tatizo ni kubwa na vijana waliohitimu vyuo vya elimu ya juu kwa maelfu hawana...
  18. Serikali yasisitiza wasanii kujisajili BASATA

    Imesema endapo msanii yeyote atabainika anajihusisha na shughuli hizo bila kuwa na usajili, atachukuliwa hatua kali za kisheria. Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza, alisema hayo jana wakati wa ufunguzi wa kongamano la Fursa kwa Wasanii wa Wilaya ya Siha lililofanyika katika ukumbi wa...
  19. Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  20. Shule binafsi zinafanya vizuri sana, Serikali inakosea wapi?

    Kama ni walimu wote wamesoma chuo kimoja na wale wa private lakini matokeo tofauti. Tatizo liko wapi? Nashangaa sana jambo hili watoto wanafeli hakuna mfano. Mwalimu anafundisha Primary lakini mtoto wake yupo shule private, Mwalimu mwingine anafundisha Secondary lakini mtoto wake anasoma Feza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…