serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla: Serikali kuanza kutoa Leseni za bucha za nyama ya wanyamapori hivi karibuni

    Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla amesema Serikali imebadili sheria ya wanyamapori na sasa wananchi wataruhusiwa kufungua bucha za nyama za porini. Kigwangalla amesema Serikali itatoa leseni za mashamba ya wanyamapori ( ranchi) na wamiliki wa mashamba hayo wataruhusiwa kukata leseni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kilimahewa Wazo anusurika kupigwa na wapiga kura wake. Akimbilia karandinga la Polisi kuokoa maisha yake

    Hii ni kali wakazi wa Kilimahewa huko Wazo Tegeta wamemshambulia kwa kipigo Mwenyekiti wao wa mtaa ambaye alilazimika kukimbilia karandinga ya polisi. Mwenyekiti huyo anatuhumiwa kubadili mipaka ya viwanja vya wakazi hao kinyemela na baadaye kuwadai rushwa. Wakazi wamedai hawamtaki mwenyekiti...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwekezaji mkubwa wa kimkakati unaofanywa na Serikali ya awamu ya tano utaongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo ya watu.

    Serikali ya awamu ya Tano katika dhamira yake kuu ya kujenga uchumi wa kati wa viwanda, imekuwa ikijenga miundombinu wezeshi ya kufika azima hiyo. Kutokana na miundombinu hiyo ukuaji wa maendeo ya watu unafanyika.Mathalani Umeboreshaji wa sekta ya elimu kwa kuongeza bajeti ya mikopo kwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiwaambie wachungaji waponyaji wafungue ofisi hospitalini ili kusaidia Serikali matibabu

    Kama nilivyosema hapo juu, Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa. Hii itasaidia kufikisha huduma kwa...
  5. JamiiForums Tanzania I HAVE A DREAM: Paschal Mayalla kuwa msemaji wa Serikali kumrithi Dr Abbas

    Hizo ni ndoto nilizoota usiku wa manane ya tarehe 9/2/2020 ambapo Pascal Mayalla kuwa msemaji nilipoamuka sikushangaa maana mtu ninayemuongelea ana uwezo mkubwa sana na anastahili
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na serikali waziwazodoe na kuwasema mabeberu. CCM ikishinda tena uchaguzi wa 2020 ifanye mambo yake kimyakimya.

    Zile kauli za kwamba "wameichezea sana hii nchi", au "wametunyonya sana" au ziwe ni historia. Mabeberu wote wana tabia kubwa moja, nongwa. Ukisema kitu kimoja hadharani wao wanakirekodi na kukiweka ili kije kuwa ni kumbukumbu juu yako wewe mwenyewe. Hivyo jitihada zote za serikali ya awamu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wakazi wa Kunduchi kuandamana hadi kwa RC Makonda kupinga Serikali ya mtaa kuwachangisha 100,000/= kila mmoja kujenga mtaro!

    Wakazi wa Kondo maeneo ya Mwaitenda na Bunge st katika kata ya kunduchi wilayani kinondoni wamepanga kuandamana hadi kwa RC Makonda kupinga serikali yao ya mtaa kuwachangisha michango kinyume cha utaratibu. Wakazi hao wamedai serikali ya awamu ya 4 wakati Makonda akiwa DC wa Kinondoni...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali: Si kweli kwamba hatuchukui hatua kwa magazeti ya Tanzanite bali tumeshawaandikia onyo pamoja na mengine yanayokiuka sheria

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema Serikali imekuwa ikichukua hatua bila kupendelea chombo chochote cha habari kinachobainika kukiuka sheria na taratibu ikiwamo kutoa habari za uongo. Hayo yalielezwa bungeni jana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Juliana Shonza wakati akijibu...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya ni lini dawa zetu za asili zitaanza kupatikana kwenye hospitali za Serikali?

    Hospitali za serikali zimejaa dawa za wazungu tu. Waziri wa Afya tunakuuliza ni lini dawa zetu za asili zitakuwa zikipatikana pia kwenye hospitali za Serikali? Tunataka mtu ukienda hospitali Daktari akuandikie nenda dirisha la dawa kachukue kichupa cha muarobaini nk. Watu tumechoka kutumia...
  10. JamiiForums Tanzania Wabunge waitaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia maiti ndugu wanaposhindwa kulipa gharama za matibabu

    Wabunge wametaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia miili ya wanaofariki na ndugu zao kushindwa kulipa gharama za matibabu kwa wagonjwa wanaofariki badala yake imetakiwa kusamehe. Hoja hiyo ilitolewa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mussa Mbarouk wa Tanga wakati wakichangia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serukamba: Serikali iige Rwanda ambako raia wote wana Bima ya afya na wale "wanyonge" wanakatiwa bima na Serikali

    Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Huduma za jamii ameitaka serikali kwenda kujifunza Rwanda ambako raia wote wa nchi hiyo wana Bima za afya. Serukamba amedai wananchi wanyonge wa Rwanda ambao ni kama 4% ya wananchi wote wanalipiwa bima zao na serikali. Serukamba amesema hayo wakati akifunga...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Bungeni: Serikali haiongozi kibabe na wala haijakataza mikutano ya kisiasa

    Leo bungeni kwenye kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliuliza maswali ya msingi sana kwa Waziri Mkuu. Maswali hayo yakiwepo. (i) Ni lini Serikali ya CCM itaruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano yao ili vijiandae na uchaguzi mkuu wa mwaka huu? (ii)...
  13. JamiiForums Tanzania Muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi

    Kiukweli ni muda muafaka kwa Serikali kuruhusu bangi ilimwe na kuuzwa atleast kwa watu maalum wenye magonjwa yasiotibika na watu wenye mahitaji maalum. Vilevile pia kuna soko kubwa sana nje ya nchi kwa walimaji wa bangi ambao wanaweza kuliingizia taifa kwa kulipa kodi na kutengeneza ajira kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, tuna Watu Jeuri (Kauzu) kama akina Nancy Pelosi katika Serikali (Tawala) zetu za Afrika hii ya sasa?

    Spika wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi amechana hotuba ya Rais Donald Trump muda mfupi baada ya kumaliza kuisoma wakati akihutubia Bunge kwa kile kilichoelezwa kuwa kiongozi huyo wa Marekani hakumpa mkono wakati anamkabidhi nakala. Chanzo Habari: Mwananchi Online Hivi Yule Spika Mmoja hivi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yalifunga kanisa la EAGT Moshi kutokana na mgogoro wa Viongozi na Waumini

    Serikali ya Wilaya ya Moshi imelifunga kwa muda kanisa la Evangelist Assembles of God (E.A.G.T) Mawenzi lililopo Mtaa wa Vigae kutokana na mgogoro kati ya waumini na uongozi wa juu wa kanisa. Chanzo cha mgogoro kinadaiwa kuwa ni uongozi wa juu wa kanisa hilo kumuondoa mchungaji mwanzilishi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kuanzisha kiwanda cha mafuta ya bangi

    Serikali imesema tayari imepata wawekezaji wawili ambao wanataka kuwekeza nchini kiwanda cha kuchakata mafuta ya bangi yanayotumika kwa matibabu. Hayo yalielezwa jana bungeni Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angella Kairuki wakati wabunge wakichangia mijadala ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kusubiri kushindwa kwa Rais Magufuli au serikali ni Kamari mbaya sana. Serikali ya awamu ya tano ni itashinda kwa sababu…

    Tangu Zitto Kabwe ajitoe ufahamu wa kuandika barua WB ili mkopo kwa ajili ya elimu tulioomba tusipewe, baadhi ya watu wameanza kuujadili usaliti wa Zitto Kabwe kwa Taifa lake kama uzalendo na yeye kujiona kafanya kitendo cha kishujaa kwa watanzania maskini. Mashaka ya wengi ni kwa nini Zitto...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

    Tunamjua Rais wetu, akipewa heshima kubwa ya kubumba (charm offensive) au kusifiwa basi ataenda extra mile hadi kuichanachana misingi iliyowekwa na watangulizi wake. Sote tunafahamu kuwa sera ya nchi yetu kuhusu mgogoro wa Wapalestina na Waisrael ni kusimama na Wapalestina ili wapate haki yao...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

    Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka. Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku ujinga huu wa wachungaji feki

    Naandika kufuatia tukio lililotokea mjini Moshi. Tunayo mifano ya haya yaliyotokea Moshi. Miaka ya 90 Alijitokeza Joseph Kibwetere aliyeteketeza roho za watu Uganda kwa makusudi. Ombi langu kwa serikali ni kupiga marufuku mikutano ya aina hii ambayo lengo lake ni kupotosha watu wenye udhaifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…