Hapo nyuma nilileta uzi wangu wa kuhusu kushuka kwa soko la papai lakini mods wakaunganisha na uzi mwingine,mimi kilio changu ni kile kile kama mkulima wa zao hili la papai,kumekua na changamoto kwenye mauzo baada ya mh.rais kutangaza kua vipimo vilibaini kwamba papai lina corona.Baada ya hapo...