serikali

  1. JamiiForums Tanzania Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

    Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu? Ni nini hatima ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mawaziri wakiongea hawatofautiani na viongozi wa vyuo vikuu kwa hoja za kitoto

    Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea! Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango. Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
  3. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ndio chanzo cha uozo katika Serikali hii

    Habari! Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote. Serikali (Rais) kazi yake ni kutawala, na katika kutawala kuna mahali panahitajika mkono wa chuma(maumivu) na kuna mahali hapahitaji...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Posho za watumishi zilizofutwa na Serikali ni zipi?

    Jana tarehe 19/7/2021 katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Waziri Mwigulu akihojiwa na Farhia Midley: Swali: Mnataka wananchi wafunge mikanda lakini nyinyi viongozi hamuonekani kufunga mkanda" Jibu: "Kutokana na serikali kuwa serious na swala la kubana matumizi imefuta posho zote...
  5. JamiiForums Tanzania Hassan Abass na Gerson Msigwa wameshindwa kufafanua maamuzi ya Serikali kuhusu tozo. Je, Serikali iendelee kuwaamini?

    Ilitarajiwa Wizara ya habari kupitia taasisi zake na wasemaji wake wahakikishe ujumbe wa serikali unafika na unaeleweka kwa Watanzania. Mtihani mkubwa kwa wizara hii ni kuelezea bajeti ya nchi kwa lugha rahisi ieleweke, sio bajeti tu, bali maamuzi mbalimbali ya serikali. Lakini kitu nilichoona...
  6. JamiiForums Tanzania Iko wapi Serikali ya wanyonge Tanzania?

    Nchi nyingi duniani zinajitahidi kurudisha uchumi ulioathiriwa na mlipuko wa Covid-19. Nchi nyingi zimepunguza kodi na kutoa motisha kufufua uchumi wa viwanda. Tanzania ndo nchi pekee duniani inayosema ni nchi wa wanyonge kumbe wanataka kuwaua kabisa raia wake kwa stress, pressure n.k. Just...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali angalieni suala la Tanesco, maji , miamala na vifurushi vya simu

    TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali 1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha 2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika 3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola 4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali inayobadilisha maamuzi yake kwa kutegemea upepo ni Serikali dhaifu, haifai

    Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya Hivi inawezekanaje serikali (hapa serikali kwa maana ya watendaji wakuu wa serikali, mawaziri wakiwemo na vyombo vyao vinavyowasaidia katika...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkosanisha Rais Samia na Watanzania na kumfanya achukiwe: Tozo za Serikali, Katiba Mpya, Uonevu wa Polisi, Mambo ya Muungano

    Unapokuwa kiongozi, hasa wa siasa, unapaswa kuwa makini sana hasa na viongozi ambao watajifanya ni rafiki zako kumbe wanatafuta tu namna ya kukuchonganisha na wananchi. Na hili namwambia wazi Raisi Samia ajihahdari sana. Sifikiri kwamba viongozi wote, na hasa wateule wake, wapo pamoja naye siku...
  11. JamiiForums Tanzania Baada wa Watendaji wa Serikali za Mitaa Kawe 'Kutimka Mbio' Kuogopa 'Chatu' aliyeko katika pori la Chuo cha Tiba Lugalo msaada unahitajika

    Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimethibitishiwa na Mamlaka ya Ofisi za Serikali ya Mitaa Kawe na Mtendaji Mwandamizi kutoka Jeshini Kambini Lugalo kilipo Chuo chao cha Tiba cha MCMS ni kwamba kuna uwepo wa Chatu mkubwa kiasi cha Kutishia Maisha ya Watu. Kwa takribani Siku tatu zimepita Wakazi wa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali iwekeze katika Muziki, Michezo na Kilimo ili kukuza Uchumi kwa Vijana wa kitanzania na Taifa kwa ujumla

    Nipende kuwasalimu ninyi nyote, habari za muda huu! Niende kwenye mada moja kwa moja. Tanzania ni kati ya nchi maskini duniani japo ina rasilimali muhimu na nyingi karibia kila mkoa. Je tatizo linatokea wapi mpaka ongezeko la vijana wasio na ajira kuendelea kuwa kubwa? Katika uchumi kuna kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

    Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani. Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya ujasusi ya CIA. CIA imekuwa ikishughulikia harakati za kisiasa zenye malengo ya kuleta vurugu, au...
  14. JamiiForums Tanzania Matakwa na matamanio ya wananchi ndiyo chanzo cha kupanda kwa matumizi ya serikali na kodi za kuyahimili

    Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani. Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mnakwenda ibadani kufanya nini kwa mateso haya wanayopata watu wasio na hatia mabusu?

    Hivi kwa malalamiko haya yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania tunadhani ipo siku Mama Samia ataweza kuwaletea Wananchi maendeleo? Watu wanakamatwa na kuwekwa maabusu bila hatia yoyote kwa maelekezo ya watu wanaokesha misikitini na makanisani, hatuoni Kama tunaliletea laana...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna vyanzo vingi vya mapato serikali ingeweza kuvibuni bila kuongeza kodi

    Kando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo. Halmashauri...
  17. JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Bibi anasema "Tusiilaumu serikali kwa tozo mpya, bali tubadili mfumo wa kuhifadhi na kutumiana pesa"

    Nimefuatilia mijadala mbali mbali kuhusu ongezeko la gharama na tozo mpya za miamala ya kifedha kwa upande huduma wa mitandao ya simu za mkononi. Mjadala umekuwa mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali. Wananchi wanalalamikia ongezeko la tozo hizi huku kiasi kikubwa cha makato (tozo) hizo...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ibadili tozo za miamala kuwa walau Tshs. 500 kwa muamala

    Tozo iwe tsh 500 kwa kila muamala itafikia lengo la makusanyo ya 1.254tr. (Bajeti ya serikali 2021/22) mapato yanayotegemewa kupatikana na tozo ya miamala.Kutegemea na idadi ya miamala iliyokuwa inafanyika kwa siku. ( Makampuni ya simu wanajua data hii) Inaelekea data ambazo makampuni walizotoa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

    Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam? Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…