serikali

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa aziagiza taasisi za Serikali kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja

    MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo hazijaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika vituo hivyo ndani ya mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

    Katika hali ya kushtusha Leo 7/9/2021 majira ya kuanzia saa 5 na nusu, mitandao maarufu ya kijamii Twitter na YouTube haipatikani bila VPN. Mtumiaji atalazimika kuwasha VPN ili kuendelea kufurahia kutumia mitandao hiyo. Mitandao hiyo siku za karibuni imekuwa ikitumika kama platform ya chama...
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na tozo kila kona, Serikali imesitisha mradi wa Barabara ya Kimara-Kibaha?

    Hadi mwezi July Barabara ya Kimara-Kibaha ilikuwa imefika karibu asilimia 98 na ukiangalia kwa macho ni barabara ambayo ilikuwa imalizike mwezi wa nane kabisa kama walivyokuwa wamepanga maana kwa kuangalia ni kipande kidogo cha kiluvya -kibaha upande mmoja ndiyo ilikuwa haijawekewa tabaka la...
  4. JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo matatu kwa Serikali, ahueni kwa wakulima wa mahindi nchini

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA MAELEKEZO MATATU KWA SERIKALI, AHUENI KWA WAKULIMA WA MAHINDI NCHINI. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maelekezo matatu kwa Serikali kuhusu ununuzi wa mahindi ya wakulima, vituo vya kununulia mahindi pamoja na bei ya mbolea nchini. Maelekezo hayo yametolewa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

    Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka Serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yapandisha bei ya zao la Cacao mpaka Tzs 5015 kwa kilo

    Mnada wa Cacao wenye Catalogue no 10 ya 2021/2022 umefanyika Mkoani Mbeya Wilayani Kyela, Mwambusye Amcos mnamo tarehe 06/09/2021. Jumla ya uzito ni kg 266,980, bean count 88, slate 1.9, flate 1.0, mould 0.2. Bei tsh 5015 per kg Mzigo kwa bei hiyo Thamani yake ni Tsh.Bilion 1,338,904,700/=...
  7. JamiiForums Tanzania Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

    Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi. Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yadhalilishwa kwa kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika. Hata mkuu wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo: Utamaduni wa uongo wa serikali umetufikisha hapa

    Mpaka sasa vifo vya Corona hazisemwi waziwazi na mnategemea watu wataona vipi umuhimu wa chanjo kama vifo vingi vya corona, watoa taarifa wanaogopa kutangaza wazi na kuishia kusema kwa sirisiri. Haya ndiyo mambo yanayorudisha nyuma mapambano ya huu ugojwa. Huu ni ushauri tangazeni vifo vyote...
  10. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi Serikali inavyoweza kuboresha huduma za Afya kwa Jamii

    Utangulizi Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna aina zake Nazo ni Afya ya akili, Afya ya mwili, Afya ya jamii, kijinsia, chakula, mazingira, Umma na...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Serikali ikimchekea Mchungaji Gwajima yatatokea yale ya Kinjingitile Ngwale na Mchungaji wa Loliondo

    Serikali ikiendelea kumchekea huyu Mhuni Mchungaji Gwajima yatajirudia yale yaliyotokea wakati wa vita vya majimaji wapiganaji walivyopotoshwa na Kinjikitile eti risasi zitageuka maji ambapo watu walipoteza maisha kwa malaki kwa ujinga wa mtu mmoja. Hivi majuzi babu wa Loliondo kama Mchungaji...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

    Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie? kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kama Serikali ingeamua kuongeza tozo hata kwa 100% hakuna Mtanzania angeweza kugoma

    Habari! Binafsi ningependa serikali isingepunguza tozo hata 0.1%, ingewezekana basi tozo zingeongezwa kwa 50-100% ili serikali itimize makusudi yake kwa haraka. Watanzania sio watu wa kuonewa huruma. Wengi ni wanafiki. Kazi yao kulaumu kidogo kisha maisha yanaendelea. Mtanzania akiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyoyazungumza msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akizungumza na wanahabari leo jumamosi septemba 04, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NDUGU GERSON MSIGWA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 04, 2021. 1. BEI YA MAFUTA. Palitokea taarifa mbili, EWURA walitoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta na baadae kusitisha bei hizo. Ufafanuzi wa Serikali ni kwamba baada ya bei...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

    "Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania zaidi ya 325,000 wamepata chanjo hadi sasa

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema waliopata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID19 tangu zoezi hilo kuanza kote Nchini hadi sasa ni zaidi ya 325,000 Amesema, "Chanjo ni hiari, lakini Wataalamu wanatuambia usipopata Chanjo ukapata Ugonjwa, utapata madhara makubwa ndani ya mwili wako"...
  19. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Chalinze tumepata maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wa Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Msemaji mkuu wa Serikali kuzungumza na Wanahabari

    Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111 Usikose...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…