serikali

  1. K

    Ushauri: Serikali msitafute malumbano na upinzani yasiyo na tija

    Raisi Samia anafanya makosa ambayo Hayati Magufuli na wapambe wake walifanya. Magufuli alifanya vitu vingine ambavyo havikuwa na tija kwa taifa. 1. Kubishana na Lissu kuhusu yeye kupigwa risasi ilikuwa haina tija. Haya ni malumbano ya kijinga kwasababu huwezi kujadili swala lililo wazi kama...
  2. S

    Kwanini Serikali haiziki maiti zilizokufa kwa Corona?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vifo vya ugonjwa wa korona karibia kila kona ya taifa hili kama wimbi la tatu lilivyokuja kwa kasi kubwa lakini ukiangalia kwasasa maambukizi ya virusi vya korona yanaenea kwa uzembe sana, utakuta watu wanajua wazi kuwa huyu mtu kafariki na virusi vya korona na...
  3. G

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi

    Tozo zote za simu zinapaswa kuondolewa ili kukuza uchumi Kwa mujibu wa taarifa za mtandaoni inakadiriwa kuwa watu zaidi ya bilioni 5 ulimwenguni wanatumia simu za mkononi katika shughuli mbalimbali za mawasiliano. Mbali na kuwezesha mawasiliano huduma za simu zinatajwa kama kichocheo kikubwa...
  4. Serikali itukumbuke watumishi wapya, hatujapata mshahara na pesa ya kujikimu

    Imepita mwezi tangu tulipoti katika vituo vipya vya kazi lkn mpaka sasa si hela ya kujikimu wala mshahara ulioingia. Kama mmeshindwa basi tupeni hata hela ya kujikimu. Maaanake unakaaa kijiji X kituo cha kazi kituo Y. Serikali tuoneeeni huruma
  5. N

    Chanjo ya COVID-19: Watanzania hatujawahi kuchomwa chanjo kwa kujaza fomu kuiepusha Serikali na lawama za madhara

    Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo. Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata madhara serikali haitawajibika ni jambo la kawaida kitabibu na hata ukifanyiwa operation basi wewe au...
  6. Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  7. Mbona Serikali imetugawa katika chanjo ya COVID-19?

    Leo katika hotuba ya MH Rais amesikika akisema wameshakubalia taasisi mbalimbali kuagiza chanjo za aina wanayoitaka wao, taasisi mojawapo ni ya Mzee Azim Dewji. Najiuliza mbona suala kama hili la chanjo Serikali inashindwa kuwa na kauli moja ya aina ya chanjo itakayowafaa Watanzania ukizingatia...
  8. N

    Ushauri wangu kwa Serikali, Naomba Chanjo iwe lazima hatutaki kuangamizwa na wapuuzi wachache

    Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi. Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati. Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu...
  9. B

    Serikali 'sikivu' Inaposikia nusu nusu

    Amesikika mheshimiwa SSH jana akiongelea tozo za miamala na bei za mbolea. Akijinasibu kuwa huko ndiko kusikia kwa serikali yake sikivu. Ikumbukwe kuwa za moto zaidi kwenye ajenda zimekuwa: 1. Ongezeko la kodi na tozo mbalimbali. 2. Vita dhidi ya Corona ikiwamo chanjo na tahadhari husika. 3...
  10. Kama hayati Magufuli alimtuma Ole Sabaya kudhibiti wahujumu uchumi, Je huu ulikuwa ujambazi au matumizi mabaya ya ofisi?

    Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha yao ndio imejaa pomoni. Kwa sasa sakata la Sabaya kupandishwa kizimbani hawataki kusikia tena...
  11. SoC01 Wizara ya Afya iweke hiari ya kujitolea viungo vya mwili kisheria baada ya kufariki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya mmiliki wa mwili kufariki Ni hivi serikali kupitia wizara ya afya ipeleke muswada bungeni wa...
  12. Serikali yetu inatakiwa kupambana na wimbi la vijana wengi kukosa ajira

    Kwa sasa Dunia nzima inahangaika juu ya vijana wengi kukosa ajira. Juzi nchi jirani iliamua kuwagawia vijana wasiokuwa na ajira chakula, lakini walisahau kuwa shida yao si chakula bali, ni nini kitawapatia chakula endelevu? Na vijana wale walikataa kile chakula na huku wakiendelea kuhitaji...
  13. Serikali ya Tanzania inaandaa Mpango wa Kuangamiza Wananchi Wake Maskini

    Mchawi si mpaka avae tunguli au hirizi. Utamwona tu ana ku wish nini. Serikali ya Tanzania ina mpango dhabiti wa kuangamiza Wananchi wake kupitia kodi na tozo za kinyama, kinyonyaji na kibaradhuli. 1. Tozo ya Miamala 2. Tozo ya simu ya mshikamano (yaani maskini waendelee kushikamana katika...
  14. Kwanini nafurahia Askofu Gwajima anavyopingana na maamuzi ya Serikali ya Rais Samia

    Kama kuna Mbunge ambaye si tu hapendwi bali pia hakubaliki Kawe ( hadi na Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) basi ni huyu 'Tapeli wa Kiroho na Kiimani' Josephat Gwajima (alias) Askofu japo nikimfananisha na Maaskofu ninaowajua wa Madhehebu mengine naona hatoshei (hafai) hata kidogo Kuitwa (kuwa) Askofu...
  15. SoC01 Kijana amka sasa!

    Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha kutimiza ndoto zao hata malengo yao, na kubaki kulalamika bila kuchukua hatua. kwa muonekano huo...
  16. K

    Kenya: Rais na Makamu wanakinzana wanavumiliana, Tanzania Rais ni Bunge, Mahakama na Serikali

    Tutazidi kusindikiza kwenye uchumi na kutengeneza wanafiki wa Taifa kupitia mfumo wa serikali tulioasisi awamu ya Tano. Yupo kiongozi wa Dini amediriki kutamka adharani kwamba tunakosa viongozi wenye maono, naomba niseme siyo wenye maono tu Bali wenye nguvu yakupanbana kwa hoja. Kenya awapo...
  17. K

    Kampuni za Simu zaipongeza Serikali kufikiria upya uamuzi tozo za miamala ya simu

    Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza kuwa uamuzi huo utaongeza chachu katika uwekezaji ndani ya sekita hiyo. Hayo yalibainishwa jijini...
  18. Serikali itangaze mikutano ya Waziri Mwigulu sio hatarishi na COVID-19

    Hii ni mikusanyiko ya lazima ukizingatia kwamba Corona inajua kwamba huyu ni Waziri anayehusika na fedha. Corona inajua hawa waliokusanyika wameitwa na Waziri kwa hiyo Corona itafanya process kisayansi inaitwa Kwepability. Hata taratibu za kujikinga na Corona zimesema tusikusanyike bila ulazima...
  19. January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani...
  20. Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…