serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
  2. H

    JamiiForums Tanzania Serikali kuachia gesi kupanda bei namna hii maana yake imeruhusu miti ikatwe maporini mpaka ichakae.

    Juzi tarehe 9 december uhuru day nimetoka nyumbani kwa uhuru na mtungi wangu wa gesi kwenda dukani kubadilisha au kujaza sijui wanavoita wenyewe nimepokewa na mdada ambaye siku zote namkuta hapo baada ya salamu akaniambia kuwa "gesi imepanda'. 'Leo nakuuzia kwa bei ya zamani ukija next time...
  3. JamiiForums Tanzania Kukithiri kwa mateja (Wala madawa ya kulevya) Serikali iwajibike maana ndio inayopelekea tatizo kuwa kubwa zaidi

    Habari! Twende kwenye hoja. Mateja au kuongezeka kasi ya matumizi ya madawa ya kulevya serikali ndio chanzo kikuu. Kwanini niseme serikali ndio chanzo kikuu cha tatizo hili? Serikali ndio inayokusanya kodi, hizo kodi ndizo hutumika kuwalipa watumishi wa idara ya polisi, TISS, Uhamihaji, Tume...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maafisa uajiri wa taasisi binafsi waajiriwe au wasimamiwe na Serikali

    Baada ya kuwaza kwa muda mrefu ningependa kushauri baadhi ya taasisi binafsi hasa zenye wafanyakazi zaidi ya 200+ zisimamiwe na Serikali direct kwa kuajiri HRs au HR waripoti Serikalini na sio kwa waajiri binafsi kama ilivo sasa. Sababu za kufanya ivyo na faida zake: 1. Kumwezesha HR kusimamia...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imehamishiwa Dodoma kwa gharama kubwa, kwanini bado mnatutesa kwa misafara isiyoisha huku Dar? Hamna huruma?

    Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki. Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apongeza kufutwa kwa kesi, atamani kauli ya Serikali ya Rais Samia

    Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani. Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Tunahitaji propaganda mpya iliyosimama Kupunguza tatizo la Ajira. Serikali mpoo!

    TUNAHITAJI PROPAGANDA MPYA ILIYOSIMAMA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa zaidi ya 80% ya maisha ya mwanadamu yanaongozwa na Propaganda. Iwe propaganda nzuri au mbaya. Iwe Kwa wazungu, wachina, waarabu au Waafrika, propaganda Kwa sehemu kubwa ndio hufanya watu wawe na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kuyasoma maonyo ya COVID-19

    Hulka au Tabia ni jambo la kawaida kwa mtu, taasisi, watu au nchi. Kila mmoja ana yake. Tangia kuingia kwa ugonjwa huu March 2020 serikali ya Tanzania imekuwa na kigugumizi chake kuuhusu. Jana waziri wa afya aliingizana stendi ya Magufuli bila hodi: Waziri mkuu Majaliwa naye alikuwa kivyake...
  9. JamiiForums Tanzania Naunga mkono Serikali kutaka Watoto wapumzike wakati wa likizo lakini....

    Mimi ni miongozi wa Wazazi nisiyefurahishwa kabisa na namna tunavyowachosha Watoto wetu kwa ratiba ngumu wakati mwingine kuliko hata tulizonazo sisi Watu wazima. Kuhusu likizo nadhani twaweza kuja na namna nyingine ya kwenda na Watoto wetu hawa bila kuendelea kuwaumiza...maana pia kama lengo...
  10. JamiiForums Tanzania Njaa inanukia, mvua zimegoma. Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi

    Habari za mida.. Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa. Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo. Hali ya hewa ni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nipongeze Serikali kwa jitihada za Viwanda

    Lazima tuweke utamaduni wa kupongeza. Uwekezaji umeongezeka na kwenye hili hakuna ubishi. Lakini cha kufurahisha ni kwamba uwekezaji umeongezeka wakati bado kuna Covid. Hii imetokana na uwezo mkubwa wa mawasiliano kutoka juu yaani Raisi wetu amekuwa mtu mzuri kwa mawasiliano ukilinganisha na...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Serikali haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu

    Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo. Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kuvifungulia vyombo vyote vya habari

    Serikali imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina ya mamlaka na wahusika. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne, Desemba 7, 2021 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Akwilapo: Kwanini wathibiti Ubora wa Elimu Mashuleni hamvai barakoa?

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo ameshangaa kuona watu kwenye Mafunzo na Semina Wizara ya Elimu hawavai Barakoa wala kufuata kanuni za afya za kujikinga na Covid-19. Ameonge hayo wakati akifungua Mafunzo ya Uthibiti Ubora kwa Maafisa Elimu Kata na Wakuu...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inavuna ilichopanda: Fundi Maiko Syndrome - Goba Collapse

    Kwa muda mrefu sasa Serikali imepigia debe ujenzi wa majengo kwa kutumia Force Account na kutumia Local Fundi , ambaye mitaani anajulikana kama fundi Maiko. Wananchi wameupokea mtindo huo kwa kuushangilia katika ujenzi wa majengo kwa nia ya kupunguza gharama. Jengo lililoanguka huko Goba...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

    Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida. Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujabaini Kirusi cha Omicron mpaka sasa

    Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo mpya ya Kirusi Imesema haijajulikana kama abiria kutoka Tanzania aliyeripotiwa kubainika na Kirusi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe tunahesabu awamu za Serikali bila kuwa na sheria au utaratibu maalum unaotuongoza? Si muhimu sasa kuweka utaratibu rasmi?

    Kifo cha Magufuli kimethibitisha pasipo shaka kuwa sisi kama nchi hatuna utaratibu wowote rasimi wa kikatiba, kisheria au usio wa kisheria unaotuongoza katika kuhesabu au kuzitambua awamu za serikali. Kama utaratibu rasimi huo, basi ni wazi hauleweki na unapaswa kutazamwa upya ili kuondoa huu...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa Serikali ya awamu ya sita na CCM: Kustawi kwa awamu ya sita na CCM

    Kwanza nimshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kuilinda nchi yetu Naomba ieleweke hivi kila serikali iliyoko madarakani imechaguliwa na wananchi baada ya kuinadi ilani ya chama husika. Mwaka huu tunaomaliza nchi ilipitia kipindi kigumu sana kwa kuondokewa na Rais aliyechaguliwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Comrades, msiwe na wasi Bandari ya Bagamoyo haitajengwa hata kama Serikali ikitaka hivyo

    Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja. Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…