serikali

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha udhaifu mkubwa; sasa itaonekana kesi dhidi wapinzani zina mkono wa Serikali

    Kwa kukubali viongozi wa dini kumvaa na kwa uhakika ni kwa ushawishi wa askofu shoo rais samia ameonyesha udhaifu mkubwa. Gharama kiasi gani zimepotea kuendesha kesi dhidi ya Mbowe? Kwanini asisubiri ahukumiwe. Magufulists hakika tumeudhika sana kuona huyo gaidi aliyekua ameanza kampeni mbaya...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba jiuzulu, siku 10 za mgao wa umeme kupisha marekebisho zilishaisha ila umeme bado unakatika

    Inashangaza sana kuona kiongozi wa Wizara nyeti kiasi hiki anatangaza mgao wa siku 10 akiaminisha wananchi kwamba marekebisho yanafanyika na baada ya hapo umeme utakuwa sawa Cha kushangaza hata baada ya muda huo bado umeme ni wa kusua sua.Je ni sahihi kusema kwamba kazi haikufanyika? Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Vikwazo vya kiuchumi kwa mabilionea Russia ni funzo kwa Mafisadi na viongozi wa serikali mbalimbali duniani wanoiba mali na fedha na kuzificha nje

    Russia inashambuliwa kiuchumi kila kona kwa nguvu zote na matajiri wakubwa wajulikanao kama "Oligarchs" wanazuiwa mali zao katika mabenki mbalimbali duniani. Hiyo ni kufuatia nchi mbalimbali duniani zikiongozwa na Marekani na Uingereza kuamua kuiweka vikwazo vya kiuchumi Russia baada ya nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini, join the chain inaweza kuwa mkakati wa kutakatisha fedha chafu na kuziingiza katika mfumo rasmi

    Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA, ripoti ya CAG inakuwa nzuri inapoigusa Serikali; kikiguswa chama chenu mnakaa kimya

    Wanaukumbi. CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia 50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti. Ripoti ya CAG ukurasa 266, imebainisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Taasisi na mashirika ya Serikali ambayo yana huduma mbovu kwa wateja Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na uzoefu wangu wa kupitia huduma mbali mbali katika mashirika hayo kwangu naona Hawa WATANO Wafuatao kwao mteja ni "boya" na Wala sio mfalme 5. TRA 4. Polisi 3. Maji 2. Nida 1. Tanesco Kama umewahi kwenda ofisi hizo hapo juu utaona jinsi unavyopokelewa mpaka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imeridhishwa na TFF katika kujenga na kuboresha miundombinu rafiki ya michezo ili kuendelea kuibua na kuendeleza vipaji

    SERIKALI IMERIDHISHWA NA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MICHEZO INAYOTEKELEZWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) Serikali inaridhishwa na kuthamini hatua zinazochukuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) katika kujenga na kuboresha miundombinu rafiki ya michezo ili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Putin atafanya nini baada ya kuiangusha Serikali ya Ukraine? Au alikurupuka kwa hasira?

    Wakuu habari, Russia yupo na uwezekano mkubwa wa kuiangusha Serikali ya Ukraine, japo Ukraine anaonyesha ustahimilivu lakini hawezi kudumu milele. Sasa tukiangalia kiini cha hii vita ni Serikali ya Ukraine kukataa ,matakwa ya Putin ambayo yangemfanya Putin kuwa na control na sera za Ukraine...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli. Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali...
  10. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa serikali kupambana na Cults

    Naomba niipongeze seriakali ya Tanzania kwa kujitolea kupamabana na kuibuka kwa Cult mbali mbali. 1. Kwanza, kwa sasa mitume na manabii wana chombo Chao ambacho kitawasimamia na kudhibiti utapeli kwa waumini. Kwa sasa chombo hicho kina Rais wake na Mlezi mkuu. 2.Pili, serikali imeanza...
  11. JamiiForums Tanzania Fatma Ferej: Ni Faraja Kwetu Serikali Kupitia ATCL Kwenda Kuwachukua Watanzania Wenzetu

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa faraja hatua ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwanusuru Watanzania walioko nchini Ukraine nchi ambayo iko vitani na Urusi. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema Serikali inachukua hatua za haraka...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha tozo ya Tsh 100 kwa kila lita ya mafuta, yasema itapoteza Sh bilioni 30 kwa mwezi

    Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo vita ya Urusi na Ukraine, Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa Tozo ya Sh 100 kwa kila lita katika Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa kwa miezi mitatu. Wizara ya Nishati imetangaza maamuzi hayo ambapo...
  13. JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

    Jamani amkeni amkeni Huko Dubai mambo ni moto balaa! Leo hii Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba zaidi ya 30 ya uwekezaji Tanzania yenye thamani ya fedha za Tanzania zaidi ya Trilioni 17 na itakayotoa ajira kwa Watanzania za moja kwa moja zaidi ya laki 2...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akishindwa kutimiza majukumu yake ni kuihujumu Serikali

    Ndugu. Mwenyekiti salama? Natumaini upo salama muda huu hapo Dubai, huku Dar es Salaam hali shwari kwa maskini na wanyonge ila si salama kwa wasaka madaraka! Sina lengo la kukushtua ukatishe ziara nina lengo la kukupasha habari kazi yetu sisi ni kukuhabarisha. Umbea wa mjini kidogo pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

    Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi. Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali. NB:Maendeleo hayana chama
  16. JamiiForums Tanzania Serikali, wadau waombwa kuwasaidia wanaohudumia watoto wenye kiharusi na kupooza

    Mkurugenzi wa Sadeline Health Care, Bi Sara Kitainda akizungumza katika Mchana wa Tabasamu, leo Februari 26, 2022. Serikali na wadau wameombwa kuwawezesha na mitaji ya kibiashara akina mama na walezi wenye watoto wenye kiharusi na waliopooza kwani hutumia muda mwingi kuwahudumia watoto hao na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'

    Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wakulima Songea waililia Serikali kwa kupanda Bei ya mbolea -24/02/2022

    Katika utafiti nilioufanya leo hii tar. 24.02.2022 Bei za mbolea zimepanda Mara dufu lakin kwa bahati mbaya serikali hadi sasa ipo kimya huku ikijua wazi kuwa Ruvuma-Songea ndio mikoa inayozalisha kwa wingi zao la mahindi kiasi Cha kuweza kusaidia Tanzania kuwa na akiba ya chakula. Leo Bei za...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Tabora ofisi ya Kata ya Mpera yawatoza Tsh 2000 Vijana wanaotuma barua za maombi ya kazi za ukusanyaji wa Anuani za Makazi

    Habari za wakati huu wana jamvi, Billa kupoteza wakati Kuna kitu jana nimekishuhudia nikabaki kinywa wazi. Kuhusu hizi nafasi ambazo serikali imekuwa ikitangaza hivi karibuni Katika halmashauri na wilaya mbali mbali nchini kuhusu kazi ya kukusanya na kuweka vibao vya ANWANI ZA MAKAZI. Jambo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…