serikali

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Serikali inaendesha Operation ya kuhamisha watu kwa nguvu Ngorongoro

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU SERIKALI KUENDESHA OPERESHENI YA KUWAHAMISHA KWA NGUVU WANANCHI WILAYA YA NGORONGORO Kwa Muda mrefu sasa pamekuwa na mgogoro baina ya Serikali na wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro wanaoishi katika vijiji 14 ambao Serikali inawataka wahame kwenye ardhi yao ya asili na...
  2. JamiiForums Tanzania Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

    Hello Great Thinkers.. HIli sakata limenisikitisha sana, Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right.. Nimeandika topic hii ili kama...
  3. JamiiForums Tanzania Katika hili la Ngorongoro tusimame na Serikali

    Kuna mkono wa Kenya mgogoro wa Loliondo....... Gazeti la Jamhuri April 12, 2022 *Wakenya wajipenyeza hadi ndani ya CCM na kushinda udiwani wakati si raia *Maslahi binafsi yatawala, wafikia hatua ya kumkashifu Waziri Mkuu hadharani *Waamini wao ndio wenye turufu kuamua nani awe Waziri wa...
  4. JamiiForums Tanzania Trump ametuhumiwa kupanga njama ya kuipindua Serikali ya Joe Biden

    Trump ametuhumiwa kupanga njama ya kuipindua Serikali ya Joe kwa kuchochea maandambano na vurugu zilizzofanyika Jan 6 2021 kwa waandamamji kuvamia jengp la Bunge FUATILIA HAPA Trump accused of 'attempted coup' in Capitol riot Former US President Donald Trump orchestrated last year's Capitol...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isiruhusu wavunja sheria za nchi (wahuni) kutamba. Wamasai wa Ngorongoro wafurushwe

    Nachukizwa sana ninapoona maslahi ya kisiasa yakipofusha viongozi wetu na kuamua kufumbia macho masuala muhimu. Tujifunze kusimamia sheria na kuchukua hatua kali kwa kila anayekwenda kinyume bila kujali maslahi ya kisiasa. Ongezeko la wamasai wa Ngorongoro ni janga kwa mustakabali wa wanyama...
  7. JamiiForums Tanzania Kambi ya TAIFA ya Jumuiya ya Madola ya Riadha Yasambaratika, Serikali Yashindwa kulipa

    Kwa mara ya kwanza kambi ya Riadha iliwekwa West Kilimanjaro, ilipomaliza Mafunzo ya huko, ikaamishiwa Olmotonyi Arusha, baada ya Serikali kushindwa kulipa pango , timu ikahamia Chuo Cha Habari Maalum Jijini Arusha, huku Nako wakatimuliwa baada ya kushindwa kulipa bili Mbalimbali, ikiwemo...
  8. JamiiForums Tanzania Magari kupaki barabarani ni kero kubwa, Serikali wanaojenga majengo michoro iambatane na parking

    Hasa Dar imekuwa kero sana hivi halmashauri inakuwaje mnatoa ujenzi wa majumba katikati ya Mji mahoteli na ya biashara bila majengo hayo kuonesha wapi magari yatakuwa yanapaki? Watu wakipaki magari yao barabarani inakuwa finyu watu tunashindwa kupita kwa amani na magari yetu ya kifahari
  9. JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto acha kuhutubia kwenye shughuli za Serikali, umealikwa kuimba sio kuhutubia

    Sijui ni uchawa au kujitoa akili. Mpoto amepitia chuo cha sanaa Bagamoyo ila nadhani alifeli. Najua anatumia stail ya kughani majigambo katika fasihi Kero yangu ni kwamba kwenye mikutano ya serikali badala ya kuimba yeye anahutubia kwa kutoa takwimu, hiyo sio sanaa, sanaa haina takwimu...
  10. JamiiForums Tanzania Maeneo mengi nchini Sri Lanka yakatika umeme baada ya Wahandisi wa umeme kugoma

    Maeneo mengi nchini humo yamekumbwa na kukatika kwa umeme baada ya muungano wa sekta ya Nishati kugoma kupinga kurekebisha sheria inayosimamia sekta ya nishati ambayo ni pamoja na kuondoa vikwazo vya ushindani wa zabuni kwa miradi ya nishati mbadala. Takriban wahandisi 900 kati ya 1,100 wa Bodi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia aipa serikali miezi 3 kuleta taarifa kama ni kweli Tembo wanaua watu katika maeneo mbalimbali nchini

    Spika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote. Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu Mh Majaliwa taarifa hiyo hiyo iwe imefika bungeni ndani ya miezi 3 kuanzia leo. Chanzo...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge wataka wahitimu wakopeshwe kwa vyeti vyao

    Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge. Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya. Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi. Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwasaidie wakulima wa mihogo wa Wilaya ya Handeni

    Jioni hii kupitia taarifa ya habari nimeshuhudia taarifa ya kuhuzunisha sana jinsi wakulima wa mihogo kutoka Wilaya ya Handeni walivyopata hasara ya kuharibikiwa kwa tano 200 za mihogo. Wakulima hawa waliingia mkataba na Kampuni moja ya Dar es Salaam kununua mihogo yao yote watakayolima...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yakamilisha utaratibu kurudisha umiliki wa mali/taasisi zilizokuwa za umma ikiwemo Hospital ya Dar Group

    Kupitia hotuba ya waziri wa fedha na mipango Mh. Mwaigulu Nchemba leo bungeni wakati akiwasilisha bajeti ya wizara ya fedha ya mwaka 2022/2023 amethibitisha kukamilika kwa hatua za ukaguzi wa mali na madeni ya taasisi mbali mbali ambazo zilikua ni mali ya serikali ,na miongoni mwa taasisi hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama, Waziri wa Ulinzi watembelea watumishi wa Mzinga, watoa neno kuhusu maslahi yao

    Serikali imedhamiria kwa dhati kutatua changamoto za watumishi wa umma katika Shirika la Mzinga lililopo mkoani Morogoro ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama (Mb) aliyefanya ziara ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima linashindwa cha kuandika kwa mrengo wa kupinga linaishia kuipamba Serikali

    Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala. Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ifute SAPU kwa Master's Level! ni aibu na mfumo wa kitoto

    Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu! Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

    Salaam Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV "Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali hii nashindwa kuielewa, sijaona unafuu baada ya ruzuku ya mafuta

    Kwa muelekeo sijaona unafuu wowote wa kuamua kusaidia suala la mafuta serikali ilitoa ruzuku ya mabilioni lakini nauli bado zipo palepale hazijashuka Bora msingetangaza kwa wananchi huo ni unafiki wa kiwango Cha juu Sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…