serikali

  1. JamiiForums Tanzania Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tozo hazina maumivu makali, Wanasiasa uchwara mnatafuta kiki za kisiasa, mnashugulika na Mwigulu kwajili ya speculation za 2030

    TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni...
  3. JamiiForums Tanzania Iringa: Wapiga Debe Waanza Kuondolewa Rasmi Kwenye Stand -Hongera Serikali

    Jana 2.9.22 majira ya saa saba mchana police walionekana kuwakamata wapiga debe maeneo mbalimbali ya mji wa Iringa ikiwemo pale daraja la mto Ruaha, polisi hao walimkimbiza mmoja wa wapiga debe naye akakimbila kwa kasi kuelekeo unakotokea mto Ruaha. Hata hivyo polisi hao hawakukata tamaa...
  4. JamiiForums Tanzania Kodi ,ushuru,tozo ni kitu kile kile

    Kodi ndio Mfumo upo duniani kote Lakini ushuru na tozo ni kwa mpangilio na makubaliano kati mwananchi na serikali ila kama hakuna makubaliano ni sawa na unyang'anyi hakuna tofauti na kibaka,kodi ndio inatambulika duniani ila siyo tozo na ushuru , ukiwa na wabunge wenye emotion wanaamua vitu...
  5. JamiiForums Tanzania Uvivu wa serikali kukusanya kodi ndo unaleta tozo.

    Serikali imewaonea huruma wafanyakazi wanaolipwa kima cha chini lakini bado wanakatwa PAYE. Ikaona si sawa mtu alipwe laki 3 yenye kodi wakati kuna bodaboda wana ingiza mpaka laki 6 kwa mwezi na hawalipi kodi ya kipato. Sasa namna ya kuchukua kodi kwa watu ambao wana kipato na hawalipi kodi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu ushindani wafanyakazi wajiunge na bima ya afya wanayoitaka

    Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za bima nchini kwa kujaziwa wanachama lukuki kutoka serikalini na taasisi za serikali, ni NHIF pekee...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ikiondoa unafiki na chuki bado Kagera inaweza kuchomoza, Chalamila unatakiwa kujua haya

    Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio ukasuku na unafiki wa watawala wetu ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Sehemu 10 nyingine ambazo serikali inaweza kuvuna mabilioni ya pesa kupitia tozo ni huku

    1.Vifurushi vya simu(vocha pia) 2. Vifurushi vya televisheni 3. Usafiri wa daladala 4. Pikipiki 5. Bajaji 6. Mafuta ya kupikia 7. Nafaka zote 8. Soda 9. Sigara 10. Pombe zote Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana. My. Mwigulu hata...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali wanakwepa kujaza fomu za mali wanazomiliki,lmimi ni nani nitaje nyumba zangu

    Salama wandugu Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ingefanya haya kama mbadala kuwatua wananchi mzigo wa tozo

    Kuweka usimamizi mzuri wa fedha za umma, kuhakikisha fedha zote zitokanazo na ushuru, madini, utalii na kodi mbalimbali zinaingia mahali stahiki. Kupunguza matumizi na gharama zisizo za lazima kama kununua magari ya gharama kubwa, safari zisizo za lazima kwa viongozi, na kupunguza misururu ya...
  11. JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

    Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali inazidi kuwaumbua CHADEMA ambao kila siku ni kudandia hoja na kupotosha 😂😂. CHADEMA kazi mnayo...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku za unga, madeni yazidi

    Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni. Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rwanda: Serikali kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 2.3 kwa kuuza shopping mall ya mfanyabiashara Tribert Rujugiro

    Mahakama ya Afrika Mashariki imeamuru mfanyabiashara Tribert Rujugiro anayeishi uhamishoni, kulipwa fedha hizo baada ya kubaini kuwa serikali ya Rwanda ilikiuka Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kujipa mamlaka na kuuza jumba lake la maduka "Shopping Mall". Uamuzi huo unajumuisha riba...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Serikali sikivu - kodi zilizoondolewa na serikali baada ya kupokea maoni ya wananchi ili kuboresha

    Wote tunakumbuka bajeti ya serikali iliyowasilishwa kwa mwaka 2022/23 ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za ndani (kwa zaidi ya 67%, hili ni jambo la kihistoria na la kipekee). Baada ya uwasilishwaji wa bajeti...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipa kongole Multichoice kutangaza Kombe la Dunia kwa Kiswahili

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar. Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Mapendekezo kwa Serikali yatakayobadili mfumo wa elimu

    Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu yatakayobadiri na kuboresha mfumo wa uendeshaji shughuli zote za elimu Kwa ngazi zote za elimu nchini...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ifanye haya kuwapa thamani wasomi wetu kwa manufaa ya taifa

    Ndugu wana jukwaa natumai mna afya njema. Naomba nami ni changie kwenye hili jukwaa la story of change 2022. Ndugu wanajukwaa, Tanzania kama ilivyo nchi nyingine, vijana wengi wamechangamkia elimu kama sehemu pekee inayoweza kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kuishi maisha bora hapo badae...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Serikali inajikosesha mapato yenyewe kwenye huduma za maji na umeme.

    Ili liko wako wazi wala situmii nguvu sana kudadavua. Nyumba nyingi kwenye miji na majiji hazina umeme wala maji hata kama huduma iyo imefika eneo hilo na ukiongea na mtu mmoja mmoja izo huduma anazihitaji isipokua ile hela ya mkupuo inakua mtihani kwake. Serikali inakwama wapi kumpelekea...
  19. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Concidence? Reporter wa Mbowe na serikali ni mmoja!

    Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za Rais Samia na serikali kwa ujumla. Je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye siasa na watu fake mambo hayatokei tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…