serikali

  1. David Kafulila: Wanapropaganda Waliozunguka nchi nzima kuipaka matope serikali kuhusu ubia wa Bandari hawakujua tofauti kati Ubinafshaji na Ubia

    https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
  2. Litakuwa jambo jema tukijulishwa ni ushirikiano gani wanaoutaka Serikali kutoka ofisi za Jamii Forum na kweli uvamizi haramu haukufanyika.

    Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa. Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
  3. Kuvamiwa kwa ofisi za JF ni ushahidi kuwa serikali imeshikwa pabaya na inatuogopa kwa mishale yetu?

    Serikali yoyote halali na yenye kujiamini, haiwezi kupoteza muda na heshima yake kuvamia ofisi ya mitandao kama ilivyotokea kwa ofisi za JF. Kwanza, nalaani kitendo hiki cha kichovu na kizwazwa, na pia, naitaka serikali ilaani kama kweli aihusiki. Pili, naitahadharisha serikali kuwa isipokuwa...
  4. Serikali ya CCM inaogopa kufunga mtandao wa instagram sababu wasanii wao wapo huko

    Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi. Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF. Sasa siasa imeamia instagram na facebook na huko ndio kuna wasanii wao 😂. Karma karma sasa fungeni wawa geuke
  5. Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

    Habari wadau wa JamiiForums, Leo nimekuja na kichwa moto kuhusu hili swala la VPN ambalo limekuwa likiwaka kama moto wa gari la maji mitandaoni! Tangu 2023, serikali kupitia TCRA ikawavunja moyo wengi kwa kusema kila mtu anayetumia VPN, iwe mtu binafsi au kampuni, lazima ajaze form rasmi ya...
  6. U

    Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  7. A

    KERO TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?

    Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo zingetumika kujenga vituo vya afya, madarasa, kutengeneza madawati nk (kama sikosei, naomba nikumbushwe)...
  8. S

    KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  9. BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  10. Serikali: Tunachoweza kukipuuza, kipuuzeni, tutaepuka mengi

    Nimeona ujumbe wa katibu mkuu wizara ya habari, ndugu Msigwa kumhusu Mange. Naungana naye kulaani vitendo vya uvunjifu wa sheria vinavyofanywa na watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi. Rai yangu ni kuwa sisi watanzania tuliopo ndani na nje ya nchi yetu, tusisahau kuwa hatuna nchi nyingine...
  11. Mganga Mkuu wa Serikali afafanua sakata la Muuguzi na Askari kuvutana Wodini Hospitali ya Kibondo

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa...
  12. Majaliwa apiga marufuku matumizi ya ving'ora na vimulimuli barabarani kwa madereva wa magari ya serikali

    Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika? ---- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
  13. NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

    Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo. Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na fursa za kiuchumi Kwa watanzania. Mfano: Masoko Makubwa yalikua yamepangwa kufunguliwa kama la...
  14. Gerson Msigwa: Serikali inajua kila kitu kinachoendelea. Yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa

    Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema: "Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote...
  15. Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo. Lilikuwa Ombi la heshima na...
  16. Msigwa anapwaya Serikali imchukue Ezekia Kamwaga kuwa msemaji wake

    Mpaka sasa ndo naona anajitutumua na kutamani apate teuzi ili aweze mtetea Samia vizuri. Wengine ni kama wamechoka. Tumsaidie Eze Kamwaga tumtie moyo huyu maana Mtandao kama tunaanza tengwa na sukuma gang
  17. Indonesia: Serikali yakata 'marupurupu' ya wabunge kutuliza waandamanaji

    Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo. Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia...
  18. K

    Kama yale anayoyasema ndugu Polepole kuhusu bei ya gesi ni ya kweli basi Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha bei ya gesi

    PolePole anasema kuwa bei ya kilo 15 ya gesi ya kupikia kwa Tanzania isingezidi Tshs.10,000(elfu kumi). Kama kweli anasema ukweli basi kwa Serikali inayojali wananchi wake basi ni vema ikapunguza bei ya gesi ya kupikia. Mhe. Rais anasema kuwa tupunguze sana kupikia kuni ambayo nchi yetu...
  19. Bila mikakati ya kukuza mapato ya serikali ahadi zote ni uongo

    Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana. Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi zote hizi. Aidha ahadi ya kuepuka kupunguza mikopo mikubwa ya nje, inaenda kuwa supported na nini...
  20. Hongera sana mwanariadha Gabriel Geay na inabidi serikali ikuunge mkono

    Hii ndo maana halisi ya kurudisha kwa jamii. Kijana baada ya kufanikiwa kwenye mchezo wa riadha kaamua kurudi kijijini kwao na kujenga kambi ya kisasa ya mchezo wa riadha kisha kuwaweka kambini vijana wadogo wenye vipaji anaowahudumia kila kitu. Ila kanishangaza mno kwa uwekezaji anaoufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…