Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam.
Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa.
Niligundua mambo yafuatayo:
1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema Serikali imeanza kutekeleza ilani ya Chama ambapo mpaka sasa Serikali imeajiri walimu 7,000...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche, amewasili nyumbani kwa marehemu Mzee Edwin Mtei kuongoza mazishi ya mwanzilishi wa chama hicho.
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Samweli Welwel, amesema ratiba ya maandalizi kuelekea maziko ya Mzee Mtei...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema kazi za serikali zifanyike makao makuu ya nchi, Dodoma, ili kuwasogezea Watanzania huduma.
“Mheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mwelekeze Katibu Mkuu atengeneze timu ifanye tathmini ya majengo yote ya Serikali yaliyoko Dar es Salaam ambayo hayana...
20 January 2026
Songwe, Tanzania
SERIKALI YA KIJIJI YAJIUZURU CCM YATUPIWA LAWAMA KATA YA HEZYA MBOZI
https://m.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac
Serikali ya Kijiji cha Namwangwa kata ya Hezya wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongzwa na Mwenyekiti JAPHET MBUKWA imeachia Madaraka kwa Madai ya...
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao.
Tuzo hiyo...
https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac
Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo...
Katika press ya msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameeleza namna ambavyo bandari ya DP World ilivyotatua changamoto ya ajira kwa viajana wasomi wa kitanzania ambapo amesema bandari hiyo imezalisha zaidi ya ajira 764 za moja kwa moja na ajira zisizo za moja kwa moja nyingi zimezalishwa...
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 amesema kuwa Rais Samia alifanya maamuzi makini ya kuingia mkataba wa upangishaji na uendeshwaji wa Bandari ya Dar es Salaam na DP world pamoja na ADAN akidai wanaosema imeuzwa wanapotosha kwani ipo...
Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend.
Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi .
Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu.
Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania.
Hii fedha...
Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂
1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves?
Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
Kuna hii taarifa inasambaa inayosema kuwa serikali ya Tanzania inatumia zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kutafuta ushawishi ndani ya Marekani, ikiwemo kuwashawishi Serikali ya Marekani na wadau wengine wa huko watamani kununua madini yetu.
Napenda kuwakumbusha kuwa kabla na baada ya MO29, viongozi...
BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia.
Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
Wananchi wa Kata ya Badi Vijiji vya Mashimba na Mhadi wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Wameishukuru Serikali kwa Kuwalipa fidia zao Kutokana na kuchukua maeneo yao ili kupisha njia ya umeme mkubwa utakaotumika kuendeshea Treni za SGR katika kuapnde cha Tano cha Isaka - Mwanza .
Hayo yamejili...
Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery.
Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba.
Hii...
Je, una jambo lolote linalohusu mifumo ya Serikali au sekta binafsi lakini hujui uanze wapi au ufanyeje?
Je, unajiuliza ni nani wa kumuamini akusaidie kutekeleza majukumu muhimu ya kibiashara au binafsi kwa niaba yako?
Jibu ni Amicable Group Holdings Limited. Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.