serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali na ununuzi wa mawe makubwa

    Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali? Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni? Huo utaratibu maana yake nini
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali achana na tozo jaribuni na hii

    Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili isiumize wananchi Ikusanye kodi kweny vilevi na sigara. Serikali itumie rasilimali zake kujiendesha mf. Madini, gesi, utalii, bandari n.k. Haiwezekani madin yetu wachimbe wazungu afu sisi tupewe gawio hii inaikosesha serikali pesa ambazo zingefuta...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kwa Serikali Yangu ya Tanzania

    Mimi kama Mtanzania Naomba kutoa ushauri mdogo Kwa Rais wangu na serikali Kwa ujumla Kwanza mheshimiwa Rais anafanya kazi mzuri, anaonekana ana ndoto mzuri Kwa tanzania na vision mzuri ya kuleta maendeleo Kwa Sisi watanzania Changamoto ambayo mm naiona na nataka kushauri ni kwenye upande wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waliojinadi kuwa Serikali Sikivu wamethibika kuwa Viziwi

    Kuna mwenye masikio mazima ambaye hajayasikia manung'uniko ya wananchi? Au basi hata yupo mwenye kutokujua ni nini kinachohitajika kufanywa hadi sasa? Si tulidhani labda wanasikia nusu nusu? Tukashauriana kuongeza sauti? "Serikali 'sikivu' Inaposikia nusu nusu" Kwani lipi wamesikia hata...
  5. JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha: Wananchi Asilimia 68 "Hawana Furaha", Serikali yaonya

    Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
  6. JamiiForums Tanzania Malawi: Serikali yafungia vituo vitatu vya TV na 6 vya radio

    Serikali ya Malawi imevifungia vituo vitatu vya Televisheni na sita vya radio kutokana na kutolipa ada ya mwaka ya leseni, ambapo pia zoezi linatarajiwa kuendelea kwa kufungia leseni za vyombo vya habari 30 kufikia mwisho wa 2022. Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari kwa Kusini mwa Afrika...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kupeleka kituo cha afya Chato

    Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya. My take: Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za kijamii kumbe zilikuwa bado.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake. Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baada ya kulilia simu

    Bado naukumbuka usiku ule vizuri, nilikuwa nimekaa nikifunikwa na giza nene wakati mshumaa mwembamba ukimulika mwanga mdogo. Muda huo nilijaribu kumaliza chakula kilichopo kwenye sahani yangu nikiomba kimoyomoyo umeme urudi. Akili yangu ikachangamka na nikawatazama baba na mama waliopo mbele...
  10. JamiiForums Tanzania SERIKALI : pesa za malipo ya makarani mngelipa direct kutoka hazina , hizi mlizo peleka halmashauri kuna halimashauri hazijawalipa makarani hadi sasa.

    Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko. Mnahabari Hadi sasa kuna halmashauri hazijawalipa makarani wao zaidi ya kulipwa pesa ya awali ya siku 5 tu za semina na bado...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni tozo kwenye vifaa vya upako

    SERIKALI WEKENI TOZO KWENYE VIFAA VYA UPAKO Napenda kuishauri serikali kupitia mamlaka ya mapato tanzania kuweka tozo kwenye biashara ya vifaa vya upako inayofanyika kwenye makanisa baadhi ya kilokole,siku za karibuni kumezuka biashara yenye kuingiza mabilioni ya pesa inayofanywa na baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

  13. JamiiForums Tanzania Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Serikali kuja na kodi ya kichwa baada ya kuhitimisha zoezi la Sensa?

    Kama mtakuwa muna kumbukumbu nzuri waziri wa fedha alipendekeza kodi ya watu wazima yaani kodi ya kichwa. Binafsi napenda kulipa kodi na kama serikali itaona uhalali wa kuleta Kodi mpya zingine ziletwe haraka. Sasa hii kodi inapaswa iwe kwa madaraja. Ashukuriwe Mungu sensa imekuwa mgongo wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu?

    Kumekuwa na kujinadi kuwa Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu. Serikali hii hii ya tozo? Kwamba basi Ina mpango lini wa kuachana na makamuzi ya tozo yasiyokuwa na chembe ya uhalali Ili ianze kusaidia watu? Serikali hii hii ya walamba asali? Beberu anasema - "too good to be true."...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ilifikiria vizuri kuhusu msaada wa Vishikwambi?

    Hivi majuzi Serikali ilipatiwa msaada wa vishkwambi kwaajili ya zoezi la sensa kutoka korea ambapo balozi wa Korea nchini Tanzania alivikabizi Kwa waziri mkuu na tayari vimeanza kufanyia kazi iliyokusudiwa swali langu ni je 1. Idara za Usalama wa Taifa nchini ilijiridhisha vizuri kupokea...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali kuongeza vituo 2000 zaidi vya WiFi ya bure nchini humo

    Serikali inaongeza vituo 2,000 zaidi vya Wi-Fi ya bure kote nchini katika hatua ambayo inatajwa kuongeza ufikiaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, ikiwemo wakati wa dharura kwa watakaohitaji huduma za Serikali kama vile usajili wa Vitambulisho vya Taifa Hadi sasa...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI DStv wapandisha gharama za vifurushi kwenye king'amuzi kutokana na tozo za Serikali

    Imeripotiwa tozo za Serikali kwenye ving'amuzi itaanza rasmi Septemba 1 kwa DStv kutangaza gharama mpya ya vifurushi.
  19. JamiiForums Tanzania Makarani wa sensa kuoneokana kutoonekana kwenye kaya ni matokeo ya mawasiliano yasiyo kamilifu kutoka kwa serikali

    Sielewi ni nani alitufanya tuamini kuwa sensa ni zoezi la siku moja ( 23.08.2022) mpaka ikafanywa kuwa siku ya mapumziko.
  20. JamiiForums Tanzania Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

    Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi. Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…