Serikali imedhamiria kwa dhati kutatua changamoto za watumishi wa umma katika Shirika la Mzinga lililopo mkoani Morogoro ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama (Mb) aliyefanya ziara ya...
Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala.
Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea...
Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu!
Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
Salaam Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi
Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV
"Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu...
Kwa muelekeo sijaona unafuu wowote wa kuamua kusaidia suala la mafuta serikali ilitoa ruzuku ya mabilioni lakini nauli bado zipo palepale hazijashuka Bora msingetangaza kwa wananchi huo ni unafiki wa kiwango Cha juu Sana
Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku ikusubiri faida na kodi tu,, tuseme hapana lazima watanzania waweze kumilikishwa asilimia 20 % za...
Watawala wa kijeshi wa Mali wameahidi kurejeshwa kwa utawala wa kiraia katika kipindi cha miaka 2, kufuatia kuandamwa na vikwazo kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi, ECOWAS
Vikwazo hivyo ni pamoja na kufungwa kwa mipaka ya ardhi na anga, kusimamishwa kwa miamala yote ya kibiashara na...
Naomba serikali iangalie namna nzuri ya kusaidia taifa katika hii hali inayozidi kulikumba taifa. Hawa wanawake wanateseka sana na wanakuwa cheap na matokeo yake wanazidi kunyanyasika.
Ikiwezekana hata kwa kuanzisha kampeni maalumu kuwahimiza wanaume wawaoe hawa akina mama waliozaa nao. Iwe...
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;
"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."
"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya miaka mitano yenye thamani zaidi ya shilingi Trioni moja,lengo kuu ikiwa ni kuhimarisha ufundishaji na ujifunzaji (BOOST)katika shule za awali na msingi.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo Juni 6,jijini Arusha, Waziri...
Wakuu,
Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba.
Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale...
Ndugu zangu,
Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013.
Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa Kamishina Mkuu wa TRA Harry Kitilya na wenzie watatu wakienda lupango.
Ikumbukwe Zitto Kabwe...
Isionekane kama ushauri wangu huu ni sababu ya chuki dhidi ya jambazi sabaya lakini ukweli uko wazi kuna njama ya kutakatisha mamillion ya pesa yaliyotokana na ujambazi wa wazi wazi uliofanywa na Sabaya enzi za utawala wa kayafa kupitia mbinu ya michango ya wananchi kugharamia gharama za kesi...
Wana JF
Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu.
Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya...
Kutokana na haya tunayoyaona yakiendelea ya akina Swalha Kiduku kupigwa risasi kichwani, naona iko haja ya Wanawake hasa walioko kwenye ndoa kuwezeshwa kumiliki miguu ya kuku (bastola) ili kubalance mahesabu
Au mnasemaje masela ?
Tuuze nchi tugawane mahela ?
Naomba uzi huu bwana GENTAMYCINE...
Msimu wa kuuza mahindi unakaribia nimesema mahindi mana huku ndiko kwenye purukushani.
Wakati huo kunakuwa na vimipenyo vingi vya rushwa kwa wenye vitengo vya kupokea mahindi ktk magodawni ya serikali, pia unakuta nafasi ya vikundi vya wakulima kupeleka mahindi kwa kipaumbele lakini hakuna...
OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MALIASILI NA UTALII- ACT WAZALENDO NDG. JULIANA DONALD KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA MWAKA 2022/23.
Utangulizi
Kufuatiwa na taarifa ya utekelezaji wa mujukumu na...
Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Henry Mwaibambe
Jeshi la Polisi Mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujifanya maofisa wa Serikali na kutapeli viongozi wa Serikali wakiwamo wakuu wa wilaya na wakurugenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Henry Mwaibambe amesema mfanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.