serikali

  1. J

    RC Makalla ungeanza kuboresha stendi zenu (serikali) za daladala pale Kariakoo kisha ndio uhamie stendi binafsi

    Pale Kariakoo Stendi za Daladala ziendazo Tegeta, Makumbusho, Kawe na Mabibo ziko barabarani na zinaziba biashara za watu Ni vema RC Makalla ukarekebisha hizo kwanza kabla ya kuwahamisha akina Shabiby na ABC kule Manzese Ni ushauri tu
  2. Kumbe hizi ndizo nguvu za Serikali

    Nianze kwa kusema kwamba ndugu zangu Watanzania tunachanganya sana mambo. Frikra za Watanzania walio wengi juu ya serikali ni kwamba serikali ni lijitu lenye manguvu makubwa sana. Na ili kuonyesha manguvu yake basi litanyanganya watu ardhi pasipo fidia inayostahili, litapiga viongozi wa...
  3. Je, Unajua hapo kabla wananchi waliibia sana Serikali, kwa sasa Serikali inawaibia wananchi kwa kushirikiana na taasisi na mashirika ya fedha?

    Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali. Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima. Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
  4. Mkosoaji Mashuhuri wa Serikali ya Sierra Leone auawa na Polisi

    Mkosoaji mashuhuri wa Serikali ya Rais Julius Maada Bio ameuawa wakati wa uvamizi wa polisi waliokuwa katika msako wa wahusika wa maandamano ya Wiki iliyopita, na kuzua wasiwasi mkubwa kuhusu mauaji ya kiholela na shutuma za kuwalenga watu wa upinzani Kulingana na polisi, Hassan Dumbuya...
  5. Hatua zilizochukuliwa na Serikali kudhibiti mfumuko wa bei nchini

    Tathmini zinaonyesha kwamba kuna uhimilivu mkubwa wa bei kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, huku hatua kadhaa zikichukuliwa na serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kupunguza athari zitokanazo na kupanda kwake kwa wananchi. Serikali ya awamu ya sita imefanya jitihada...
  6. SoC02 Serikali iondoe usiri wa zoezi la SENSA ili ifanikishe kwa asilimia 100

    Hili ni andiko juu ya sensa na makazi KUHUSU kuwepo kwa uwazi wa zoezi lenyewe. Nimeamua kukumbushia hili maana tayari zimebakia siku 7 tu ili wananchi wapate kuhesabiwa. Zoezi hili Lina manufaa mengi Sana na linaigharimu serikali yetu mamilioni ya pesa. Hizo pesa ni kodi zetu na endapo zoezi...
  7. Mambo mengi ya Serikali yetu yanafeli kwasababu ya wanaoyaendesha ni wasomi

    Ukifuatilia wenye mafanikio makubwa Sana hapa nchini ni watu wa kawaida Sana kielimu. Hii unamaanisha kwamba tangu siku walipogundua kwamba hawana elimu kubwa waliamua kujisemea moyoni kwana natakiwa kua na vitu vikuu vitatu: UWAJIBIKAJI UAMINIFU NIDHAMU YA FEDHA Haya ndio Mambo tunayo wazidi...
  8. Agost 23, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa ili kuiwezesha Serikali kujipanga kimipango mkakati ya SMART, kutuletea maendeleo.

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo
  9. Taratiiiiibu Serikali zote za Afrika zitaondolewa madarakani na mfumuko wa bei

    Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone? WIA DIS FOTO COME FROM,REUTERS At least two police officers and one civilian don die after one day of anti-government protests for Sierra Leone's capital, Freetown, staff at the city's main mortuary tell Reuters on Wednesday. Sierra...
  10. TRA ya USA waruhusiwa kuua ikibidi kukusanya kodi ya Serikali

    Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi, tangazo la kazi hilo hapo chini. Nchi hazijengwi kilelemama na kwa kubembelezana!
  11. Sierra Leone, Rais asema Maandamano ya Jana dhidi ya Serikali ni Ugaidi

    Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi Takriban watu 130 wametiwa mbaroni katika maandamano hayo ya kumshinikiza Rais huyo kujiuzulu , kutokana na kupanda kwa...
  12. S

    Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  13. R

    Ushiriki wa wananchi nguzo muhimu kwenye kuleta maendeleo

    Ushiriki wa wananchi katika mambo mbalimbali ya kijamii ni muhimu sana katika kuleta maendeleo kwenye jamii husika. Serikali ikiachiwa ifanye kila kitu wenyewe bila kushirikisha wananchi kwa umoja wao ama kwa makundi ni vigumu kufikia malengo yaliyowekwa, na kwa kufanya hivyo itakuwa ni sawa na...
  14. Serikali ndiyo inayowafundisha watumishi wake kula rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma

    Habari, Nitatoa mifano angalau 3 kuthibitisha hoja katika title ya uzi wangu. Mfano # 1 Diwani analipwa pesa ndogo, ilikuwa chini ya laki 4 labda kama mabadiliko yamefanyika majuzi. Huyo diwani anazidiwa mshahara na watumishi karibu wote katika kata yake, atakuwa na uzalendo kweli? Huyo diwani...
  15. Lini viwanja vitakarabitiwa angalau sehemu ya pitch

    Jaman ligi yetu kama mnavyoiona kila siku inazidi kukua. Pili kwa macho ya mbali ndio inaweza kuja kuwa ligi ya tatu kwa ukubwa hasa kwa kuwavutia wachezaji wa kigeni tokana na kaliba au asili ya watanzania kuwa waungwana na wakarimu kwa wageni bila ubaguzi,hichi ambacho wachezaji wengi wa...
  16. Njombe: Rais Samia Awahutubia Wananchi Katika Mkutano wa Hadhara, Asema Serikali Imezuia Kupandisha Hadhi na Kukata Maeneo ya Utawala

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022. DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
  17. Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

    Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
  18. N

    Serikali imejipanga kwenye sekta ya kilimo

    Natumia nafasi hii, kumshukuru kwa dhati, Rais Samia Suluhu kwa nia aliyoionyesha ya kusaidia na kuwekeza zaidi katika Sekta za Uzalishaji, ulipozindua Agenda 1030, wengi walidhani hayatotokea lakini umehakikisha mambo haya yanatokea" Rais Samia Suluhu umezindua Mfumo wa Utoaji wa Ruzuku ya...
  19. Serikali tunaomba ufafanuzi wa suala hili

    Habari! Inafika wakati unajiuliza nchi hii ni Serikali kamili na Ina uongozi kamili? Una fedha bank unataka upate huduma mahali kupitia simu unaweka codes mfano *150*03# au *150*66# unabonyeza ok unaambiwa utakatwa pesa kwenye Salio la kawaida. Je, nikitaka kununua Salio (airtime) niweke salio...
  20. T

    Serikali haina nia thabiti ya kumkomboa Mkulima. Kauli ya kudhibiti Lumbesa ni danganya toto

    Ahlan wa sahlan Kuelekea kuadhimisha sikukuu ya wakulima maarufu kama Nane nane, serikali kupitia makamu wa Rais ,Mheshimiwa Dk. Philip Mpango, imetoa taarifa kudhibiti lumbesa.Ila kauli hii imekuwa ikitoka miaka nenda miaka rudi huku wakulima wakiendelea kuumia tu. Wakala wa vipimo na mizani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…