Viongozi wenye dhamana katika hili,nawasalimu!
Jana jioni mida ya saa moja nilipita mitaa ya PUGU KINYAMWEZI, nilistushwa na moshi uliotanda kwenye mazingira Yale nyumba zote zimezingirwa na moshi mithili ya ukungu wa usubuhi kwenye safu za milima ya Uluguru.
Kiukweli, mimi tu mpita njia Tena...