serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ina mtazamo gani kwenye matukio haya kwa watoto?

    Habari zenu Kumezuka tabia ya wazazi au walezi kufungua akaunti za mitandao ya kijamii huku walijipatia umaarufu kupitia video za watoto wao. Kwangu mimi si busara mtoto kumuingiza katika dunia ya mitandao wakati bado anahitajika kusoma na kujifunza mambo mengi lakini kinachotokea wazazi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Sekta Binafsi inasaidia kukuza Uchumi?

    Mikopo inayotolewa kwa sekta binafsi imezidi kuongezeka kutoka 7.8% mwaka 2021 hadi 22.5% mwaka 2022 pia imeongezeka zaidi hadi kufikia january 2023 imefikia 23.1%. Hii inaashiria kuimarika kwa uchumi na utendaji wa sekta binafsi unaochagizwa na sera bora za serikali ya Rais Samia Suluhu...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo

    Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Amber Ruty na Davil walifungwa kwa kosa sawa na la huyu askari wa zanzibar iweje leo Serikali kimya?

    👤hatua gani imechukuliwa kwa askari huyu aliyevujisha video chafu na kuridharirisha Taifa , kibaya zaidi ni kiongozi wa serikali. 👤 Tunaomba ufafanunuzi, Amber Ruty na mmewe walifungwa kwa kosa kama ili la askari alolifanya .
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chaguzi za serikali za mitaa ni udanganyifu na uwizi

    Naanza kwa samahani siyo mwandishi mzuri. Cha msingi, ujumbe ufike moja kwa moja kwenye hoja. Nilitaka kushiriki chaguzi za mitaa zilizopita, nikanyimwa kupiga kura kisa sina kadi ya chama. Hivi kila Mtanzania ana chama, hili suala ni lazima. Mbona chaguzi za mbunge, Rais na diwani hazina...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wa Serikali mjitathmini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi. Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC)...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Katiba yenye kutuwajibisha sote kwa Umma

    Tumeyasikia Ugiriki: Waziri mhusika wa usafirishaji wa serikali ya huko amejiuzulu. Ma stesheni master wamekamatwa. Nini kiwafanye wenye dhamana kwetu kuwajibika? Ndiyo maana watu watatekwa, pesa zitaibiwa, ajali zitatokea, nk, yaani mambo shaghala bagala. Uwajibikaji au matumaini ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

    Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali na taasisi zenu, nini maana ya kuweka namba za simu kwenye tovuti zenu?

    Manamba hayapatikani wiki nzima, yakipatikana yanaita weeee bila kupokelewa. Hivi Huwa mnaweka namba za ofisi, au zamtu binafsi ila anachoka kuwasaidia Watanzania? Mnakera sana wapuuzi nyinyi. Mtu Unahitaji msaada muhimu sana ,,lakini manamba hayapatikan wiki nzima? Mnakula tu Jasho la...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali iachane na Sera zinazobana Wawekezaji, mfano kumtaka Elon Musk kuweka ofisi za Starlink Tanzania

    Kitendo cha Waziri Nape Nnauye kusema bado Serikali haijafikia muafaka wa kumruhusu Mwekezaji na Tajiri namba 2 duniani, Elon Musk kuwekeza nchini ili kutoa huduma ya Intaneti yenye kasi kupitia Satelite hadi atakapoweka ofisi zake nchini Tanzania, inaonesha wazi bado tumekumbatia Sera za...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Magari mengi ya serikali siku hizi wanaweka tinted kali? Wanaficha nini?

    Naona sijui ni mimi tu nakutana nazo hizi gari baadhi za serikali za viongozi wengi zinakuwa na tinted Kali mpk aliye ndani ya gari umuoni mpk ashushe kioo sasa sijui kina fichwa nini ndani humo maana zingine mitaani tu tunakutana nazo. Sasa je, ni halali kuweka ile tinted nyeusi kabisa?
  12. JamiiForums Tanzania Deni la Serikali hadi Januari 2023 ni Trilioni 76

    Deni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4 Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98 Maelezo zaidi
  13. JamiiForums Tanzania Walimu waghushi Vyeti vya Ndoa kupata Bima ya Afya

    Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kugharamia ukarabati uharibifu wa kanisa Geita

    Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi. Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo. Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali iendelee kumsaidia mgonjwa wa ajali ya mwendokasi atakapopata ahueni

    Ni siku chache tangu hospitali ya Muhimbili Orthopedic Institute (MOI) kutoa habari njema juu ya mgonjwa aliyekuwa amelazwa hospitalini hapo baada ya kupatwa na ajali ya kugongwa na basi la Mwendokasi. Kiukweli ni jambo la kumshukuru Mungu kwa sababu ameendelea kumuweka hai na salama mpaka leo...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali haioni kama Wananchi wanateseka na mfumuko wa Bei, kwanini haiondoi Tozo ili kuwapunguzia mzigo?

    Hivi jamani hii Serikali ya "Anayeupiga mwingi" haitambui kuwa wananchi wanateseka na hali mbaya ya maisha? mbona hatuoni juhudi za makusudi za kuwapunguzia mzigo mzito wa maisha ikiwemo mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama chakula na vifaa vya ujenzi? Badala ya kuwapunguzia wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wananchi Tuwe tunapitia hiyo mikataba inayosahini serikali

    Madeni wanakopa wao afu madeni tunalipa sisi kulikoni?
  18. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imekuja na mkakati wa kumaliza uhaba wa mbegu

    Ikiwa Serikali imeongeza bajeti ya Kilimo ya mwaka 2022/23 kwa 317% huku ikilenga kupanua eneo la umwagiliaji hadi hekta Milioni 8.5 ifikapo 2030. awamu ya sita iko kazini kuiwezesha sekta ya kilimo kukua na kuzalisha mbegu bora nchini, ili kuhakikisha usalama wa chakula wakati wote. Serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Mfuko wa Bima ya Afya wa Serikali NHIF umekua na sintofahamu kwenye hili

    Kumekua na marudio na marejeo ya mtu mmoja kupata bima moja ya afya sehemu mbalimbali, Unakutana na kijana anabima ya NHIF ambayo iko chini ya familia, Kijana huyu huyu anapoingia chuo analipia bima ya NHIF, Kijana huyu huyu anapoanza kazi shirika la serikali analazimishwa kukatwa mafao ya bima...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Magari taka kumwaga uchafu pembezoni mwa Tawi la Mto Zinga Mwanagati, Ilala, Serikali mko wapi?

    Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia? Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo? Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa. Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…