serikali

  1. Kwanini benki zinaendelea kukata tozo za Serikali kwa interbank transactions?

    Wadau habari za muda. Naomba tusaidiane hapa, maana kuna mtu kanifata kuniuliza kitu ambacho nimeshindwa kumjibu. Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita Waziri Wa Fedha Bw. Mwigulu alichukua maoni ya wadau kuhusiana na tozo za kiserikali kwenye huduma za kibenki ambazo zililalamikiwa sana tangu mwaka...
  2. Serikali yadai ongezeko la Bei ya Vyakula limetokana na uhaba wa mvua

    Serikali imekiri kuwepo kwa ongezeko la bei za vyakula nchini, kutokana na upungufu wa mvua na mahitaji makubwa ya chakula ndani na nje ya nchi. Kauli hiyo ya Serikali imekuja wakati kukiwa na taarifa za ongezeko la vyakula kutoka kwa wafanyabiashara. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
  3. Serikali kuchukua hatua dhidi ya kampuni iliyochoma Vifaranga 50,000

    Sakata la mwekezaji wa shamba la kuku wa nyama na mayai mkoani Kilimanjaro, kuteketeza kwa moto vifaranga 50,000 vya kuku kwa madai ya kukosa soko, limechukua sura mpya, baada ya serikali kusema inakusudia kuchukua hatua dhidi ya kampuni hiyo. Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Mifugo, Prof...
  4. Serikali bado ina viongozi wa "Business as usual"

    Leo nimeangalia muhtasari wa habari ITV, habari za leo ni uzembe unaofanywa na baadhi ya wakuu wa mamlaka. Yani madhara yanapotokea ndo wanakuja mbele ya vyombo vya habari kujinadi kwa vile walivyowawajibisha wakosaji na kutoa ushauri. Hivi hatuna mpango wa kufuatilia vitu/mambo kabla...
  5. Jinsi ‘mikono’ ya Serikali ilivyotishia uhuru Bunge sintofahamu ya kujiuzulu Ndugai

    Spika wa Bunge, Job Ndugai anadaiwa huenda kujiuzulu kwake nafasi ya Spika alilazimishwa na hakujizulu kwa matakwa yake kama ilivyoripotiwa. "Mbali na mawazo hayo, kuliibuka kauli mitandaoni kwamba kiongozi huyo alijiuzulu kwa kulazishwa, jambo ambalo halikuthibitishwa wala kukanushwa"...
  6. R

    Waziri Dkt. Gwajima aagiza kesi ya Diwani aliyewachapa viboko wazee ifufuliwe

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imeielekeza ofisi ya Ustawi wa Jamii Mkoa wa Tabora kwa niaba ya Kamishna wa Ustawii wa Jamii, kushirikiana na vyombo vya haki mkoani humo kuhakikisha wanafufua shauri la wazee waliochapwa viboko kwa tuhuma za kishirikina, ili...
  7. Serikali, tufanye nini kupata mbolea ya kukuzia wilayani Kakonko?

    Serikali yetu ishukuriwe kwa mbolea ya ruzuku hususan ya kupandia iloletwa hapa wilayani Kakonko mwaka huu. Tuliipokea kwa kishindo lkn sasa changamoto kubwa ni mbolea ya kukuzia ambayo imecheleweshwa huku mimea ikiendelea kukua. Swali: Tufanyeje kupata mbolea ya kukuzia hapa wilayani Kakonko?
  8. Arusha: DC Mtanda akanusha madai ya Gambo kusakwa na viongozi wa Serikali ili auawe

    Mkuu wa Wilaya Arusha (DC), Said Mtanda amesema hakuna mpango wowote wa kiongozi wa Serikali kumuuwa Mbunge wa Arusha Mjini (DC), Mrisho Gambo. Akizungumza na waandishi wa habari DC Mtanda amesema Serikali haina nia ovu dhidi ya Gambo. "Nimekuwa nikiona na kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii...
  9. Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa

    Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi: 1. Kodi kubwa mno za mishahara. 2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu). 3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka. 4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka. 5...
  10. Ni wakati muafaka watumishi kuvikataa vyama vya wafanyakazi nchini

    Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k. Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
  11. Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  12. Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

    Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani. Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
  13. K

    Siyo mikopo yote ya Serikali ni mibaya

    Nashangazwa sana na watu ambao wana lalama kila siku kuhusu mikopo ya serikali bila kuelewa aina ya mikopo hiyo. Inasikitisha Watanzania tuna uvivu sana wa kufuatilia mambo badala yake tunapinga na kushabikia vitu bila kujua. Nilishangaa kuna watu walishangilia Magufuli kukopa mkopo mbaya wa...
  14. K

    Exported manufactured goods inject 3.2trilion Tzs in 2022

    The amount was more than double of the amount earned from exports of gold, or combined exports earnings from traditional exports, horticultural products and other minerals. This shows an ongoing expansion of industrialization drive, which the government embarked on transforming the economy to...
  15. Hivi serikali haiwezi kubadilisha mtaala tukatumia wa Cambridge international?

    Yahoo! Imeshathibitika pasi na shaka kuwa huu mtaala wa elimu aliotuachia mkoloni hauna manufaa yoyote kwa mtu mweusi, unazalisha wajinga na waoga na masikini wa fikra. Ni heri mtu asisome (aishie darasa la 3 tu ajue kusoma na kuandika) kuliko hawa wanaomaliza mpaka degree na wengine masters na...
  16. L

    Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

    Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania, kila...
  17. J

    Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa. Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi! Gambo amesema hata ofisini kwake...
  18. L

    Serikali Ya Rais Samia yapongezwa Na Wafanyabiashara, Waahidi kumuunga mkono kwa kulipa Kodi kwa uaminifu

    Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara wamefurahishwa na namna wanavyopata ushirikiano kutoka kwa serikali yao,wanafurahishwa na namna Elimu hasa...
  19. Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  20. Hivi haiwezakani sisi na Serikali kila mtu akawa na maisha yake tusiingiliane?

    Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…