serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya China yalaumu wahitimu wa vyuo vikuu kwamba ni wavivu, wabishi, hawataki kazi ngumu

    Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani. Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
  2. JamiiForums Tanzania Hongereni serikali kwa kuinyoosha CWT

    Kama mnavyojua hakuna chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama hiki chama Cha walimu Tanzania (CWT) Zaidi ya kuwakata walimu 2% ya mshahara Kisha kuwaletea tisheti na kofia Kila mwaka hakuna kingine Cha maana kilifanya, Wakati wa Raisi Magufuli aliibua hoja kuhusu hiki chama ikiwemo kuuliza...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaondoa raia wake nchini Sudan, watumia mabasi raia wa nchi nyingine walisaidiwa na mabasi hayo pia

    Kwa muda sasa mji Mkuu wa Sudan, Kahrtoum umegeuka uwanja wa vita ukishuhudi mapigano makali ya kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo nchini humo ambapo miundombinu imeharibiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mshike mshike wa nchi mbalimbali kuwaondoa raia wake nchini Sudan unaendelea huku nchi za...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali fikirini kimkakati kuhusu reli ya Dar es salaam - Moshi-Arusha

    Habari wana jf. Leo napenda kuwasilisha wazo la kimkakati linaloweza kuharakisha maendeleo ukihusisha miundo mbinu ya reli hasa Kanda ya kaskazini. Ili kuboresha biashara hasa na washirika wetu wa Afrika Mashariki tunatakiwa kuwa na reli ya SGR ukanda huu. Arusha na Moshi ni eneo la karibu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Serikali kuhusu Walimu

    Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu. Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao na kunyima haki na kuonewa na kuchukuliwa kama watu wa shida na kila kiongozi. Kuna haja serikali...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Ndumbaro wajiuzulu kashfa ya kufuta madai ya Serikali Bilioni 19.7

    Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe hasara na upotevu wa mali za Serikali zenye thamani ya Bilioni 19.7. Hii inakuwa ni kashfa nyingine...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge hata aikosoe vipi Serikali mwishoni utasikia ”Naunga mkono hoja.” Inashangaza!

    Jambo Jambo? Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotawaliwa na wabunge wa CCM, huwa linanishangaza kiasi kwenye uchagiaji wa upitishajishwaji wa bajeti za wizara kadha wa kadha za mwaka husika. Mbunge anaweza akasimama na kuikosoa serikali vilivyo akatoa “point” za maana mpaka...
  9. JamiiForums Tanzania Namna Serikali inapaswa kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira nchini

    Ni matumaini yangu kwamba sote tuko poa. Kwa wale ambao wana changoto tunawaombea kwa Mola Mkuu awatatulie shida zao. Moja kwa moja kwenye jambo husika. Kupata job serikalini sio shughuli ndogo. Mbaya zaidi hilo ndio kimbilio na tumaini kwa vijana wengi. Pitia jukwaa la ajira na tenda utapata...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yavuna bilioni 6.7 tembo nickel

    Kampuni ya Tembo Nickel imelipa zaidi ya Shilingi Bilioni 6.7 mwaka jana ikiwa ni kodi ya leseni za kuendesha kampuni hiyo. Meneja Mkuu wa Tembo Nickel, Manny Ramos amesema kampuni hiyo pia ilitumia zaidi ya Sh bilioni 18.5 katika manunuzi ya vifaa na bidhaa mbalimbali. Kati ya kiasi hicho, Sh...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Tsh. Bilioni 35.1 kununua Magari 316 ya Wagonjwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Dkt. Dugange amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza NIMRI kufanya uchunguzi wa Madhara ya Energy Drinks

    Agizo la Waziri linafuatia chapisho la Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) lililoeleza mwananchi mwenye miaka 28 aliyekunywa chupa 5 za Kinywaji hicho na baada ya saa 4 akaanza kupata maumivu Kifuani kwa muda saa 8 mfululizo. Baada ya kupelekwa Hospitali na kufanya vipimo, alibainika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii Serikali iweke VAR hata kwenye ngumi. Mwakinyo hajashinda kabisa kuanzia mwanzo alipelekewa moto

    Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo. Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo. Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
  14. JamiiForums Tanzania Serikali inabebwa na shetani ndio maana mali tulizozikuta Duniani hati miliki ni ya Serikali

    Serikali mko na la kujibu kwa Mwenyezi Mungu. Ardhi tumeikuta ila mnaimiliki wakati kuna Watanzania hawana hata heka moja, nyie mnamiliki kama mliiumba wenyewe. Halafu tabia za kupangiana matumizi sio haki kabisa kwa upande wa huduma za mitandao ya simu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imfanyie uchunguzi Mwamnyeto, inawezekana ni forward au kiungo halafu anatuzuga ni beki

    Sina mengi wenyewe mmeona kwenye mechi ya Leo tarehe 23 April 2023 wakicheza Yanga na Rivers United huko Nigeria Naomba kuwasilisha
  16. JamiiForums Tanzania Aina za serikali za kiimla (Authoritarian states)

    Kuna aina kadhaa ya serikali za kiimla, ambazo hutawala kwa nguvu na udhibiti mkubwa wa kisiasa na kijamii. Hapa ntaelezea aina kadhaa za serikali za kiimla kwa lugha ya ufupi: Serikali ya kijeshi: Hii ni aina ya serikali inayoongozwa na jeshi la taifa. Viongozi wa jeshi huwa na mamlaka kamili...
  17. JamiiForums Tanzania Watu mtambue majukumu yenu sio kila kitu Serikali

    Habarini za mchana wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba watu watambue wajibu wao sio kila kitu serikali sasa mtu anakomaa eti serikali itoe tamko kuhusu ushoga utazani serikali ndio imewatunzia vinyeo vyao hii watu wawape watoto wao malezi bora na wao wajilinde ili...
  18. JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  19. JamiiForums Tanzania TANROADS: Serikali imetoa zaidi ya Tsh. Bilioni 567 kuboresha barabara za Kigoma

    Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amesema Serikali imetoa fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 567 kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara yenye jumla ya urefu wa Kilometa 420 zinazojengwa kwa kiwango cha lami kwa wakati mmoja mkoani hapo. Amesema: “Hiki kinachofanywa na...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu muandamo wa mwezi

    Nadhani umefika wakati sasa Serikali muondoe hii sintofahamu ya sikukuu za kitaifa( public holidays) haswa zinazotegemea muandamo wa mwezi. Ni vizuri serikali (msemaji wa Serikali) akawa yeye ndio anatangaza kama ni mapumziko ya kitaifa au la. Inakuwa sio vizuri/ haijakaa vizuri kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…