serikali

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni bora wananchi tuchangie gharama za ufanisi wa Bandari zetu, ila si kuwapa DP word kwa mkataba sawa na bule!

    Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona! Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
  2. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Je, ni serikali ilimtafuta mwekezaji au mwekezaji aliitafuta serikali ya Tanzania?

    Habari, Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ameonekana akiongea bungeni na kumbi zingine nje ya Bunge akiwataka Watanzania wafungue moyo kupokea neema kutoka kwa Mwekezaji sijui anaitwa D World. Swali la wananchi kwa serikali liko hivi: Je, ni serikali ilimtafuta Mwekezaji au mwekezaji...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu: Ansbert Ngurumo asema, Spika Tulia Ackson anajua kuwa tayari HGA zilishasainiwa na serikali hata kabla ya bunge kuridhia IGA!

    Fuatilia video hii hadi mwisho. Maswali muhimu; Nini kipo nyuma ya hii IGA? Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu? Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu kumzingira pande zote mbung Aida Kenani (CHADEMA) kwa kuwa hakubaliani nao!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Wadau wa Twitter Spaces ya JamiiForums kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali iliyosomwa 15/06/2023

    Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024 imesomwa leo Juni 15, 2023. Baada ya tukio hili tutakuwa na Mjadala Maalumu kujadili iwapo Bajeti hiyo inagusa mahitaji na hali halisi ya maisha ikilinganishwa na Bajeti ya 2022/23 Usikose kujiunga nasi katika Mjadala huu pamoja na Wataalamu wa Uchumi, Juni 16...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

    Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na Misri katika sekta za biashara na uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuimarisha ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika sekta za biashara na uwekezaji. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzisha mfumo wa kidigitali kukusanya kodi kwenye matangazo ya mitandao ya kijamii

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa kukuza bishara hizo kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na blogs mbalimbali...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Huduma mitandao ya Serikali sio Timilivu

    Je, ulishawahi kutembelea tovuti gani ya taasisi ya kiserikali?Ni kweli kuna watu wako nyuma ya mifumo hiyo na wajibu wao ni kutufikishia huduma nzuri ya mtandaoni. Inasikitisha wakati ambapo dunia inaendeshwa kwa njia za kisasa za mtandaoni lakini Platforms zilizo chini ya Serikali hazitoi...
  10. JamiiForums Tanzania Bashe TBT: Kama wafanyakazi mmeshindwa kuiwajibisha serikali bora mfe

    Hata mimi nasema bora mfe
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Serikali kuwachukulia hatua kali watakaobainika kwa ufisadi ripoti ya CAG

    Serikali inafanyia kazi hoja za ukaguzi zilizotolewa na CAG na hatua zakisheria zitachukuliwa dhidi ya wale watakaothibitika kuwa ni wavunjifu wa sheria na kusababisha upotevu wa fedha za umma bila kujali mkubwa wala mdogo kama alivyoelekezaMheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali kuanzisha akiba ya dhahabu nchini

    Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini. Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar “Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo tarajiwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao. Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Nashangaa Serikali na Bunge kununa kisa Wananchi wazalendo wamepinga mkataba wa Bandari

    Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache. Kivumbi cha mkataba wa Bandari hakipoi hadi kiekeweke, mzee Butiku aliwahi kusema kwamba serikali itambue...
  15. JamiiForums Tanzania Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  16. JamiiForums Tanzania Nitafurahi kuona/kusikia serikali imeweka muundo wa kiutumishi kwenye master degree

    Leo Tar. 15/06/2023, Dr. Mwigulu (WFM)anasoma Bajeti ya Serikali 2023/2024, Nimatumaini yangu bajeti yetu itajibu kilio Cha miaka mingi Cha watumishi kuomba kuwekewa muundo wa kiutumishi kwenye Elimu ya masters. Isipotokea Inshallah siku nyingine. KAZI IENDELEE
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Mnyeti aiomba Serikali kupeleka Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi

    Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Mhe. Alexander Mnyeti ameiomba Serikali kupeleka vifaa tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi kuwezesha wananchi kupata huduma bora za afya. Akitoa salaam kwa niaba ya wapiga kura wake leo Juni 14, 2023, wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukagua...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali Imeanzisha Mifuko na Programu za Uwezeshaji kwa lengo la Kuwawezesha na Kuwainua Wananchi Kiuchumi Wakiwemo Wanawake Wasiojiweza.

    NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI IMEANZISHA MFUKO & PROGRAM KUWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WASIOJIWEZA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda Na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema Serikali imeanzisha mifuko na programu za uwezeshaji kwa lengo la kuwawezesha na kuwainua wananchi kiuchumi wakiwemo...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Iunge Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Tanganyika

    MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
  20. JamiiForums Tanzania Ninaionya Serikali katika kuingiza siasa kwenye Mashirika na Wakala zake mbalimbali

    Kuna trend inaendelea ya kuweka siasa kwenye kila kitu ambacho serikali ina nguvu na mamlaka juu yake bila kujali dira mwelekeo na maono ya taasisi hizi. Kubadilisha watendaji wakuu kwenye taasisi, mashirika na wakala tendaji za serikali kwa vipindi vifupi vifupi ni kuingiza siasa kwenye uti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…