serikali

  1. JamiiForums Tanzania Katika hili suala la bandari, Serikali imeangalia maslahi yake au wananchi kwa ujumla?

    Hapo vip! Na nimeuliza hivyo kwasababu mtu mmoja anaweza kutumia mgogo wa serikali kupitisha mikataba yenye maslahi yake na vibaraka wenzake na sio ya wananchi kwa ujumla. Kwasababu maslahi ya mwananchi kwa bandari ni ajira,usalama,ownership ya raslmali ya nchi na ufahari juu ya rasilimali ya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Mkataba wa Bandari na DP World: Athari za Kimkataba kwa Uchumi wa Tanzania na Uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi wake - Je, ni Faida au Hasara?

    MKATABA WA BANDARI NA DP WORLD: ATHARI ZA KIMKATABA KWA UCHUMI WA TANZANIA NA UWAJIBIKAJI WA SERIKALI KWA WANANCHI WAKE - JE, NI FAIDA AU HASARA? Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI A. Muktadha wa mkataba wa Bandari na DP World Mkataba wa Bandari na DP World ni makubaliano yaliyofikiwa kati ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina achambua hoja 13 Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023 1. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara haramu ya usafirishaji Binadamu: Ni ipi nafasi ya Jamii kushirikiana na Serikali kutokomeza biashara hii?

    UTANGULIZI Biashara haramu ya usafirishaji binadamu ni kitendo cha kusafirisha binadamu kwa njia ya nguvu, tishio,kulazimishwa, kudangaywa au utekaji nyara kwa kusudi la dhuluma. Hujumuisha kuajiri kwa nyonya, kuhamisha, kusafirisha, kuhifadhi au kupokea watu. Lengo la biashara hii ni haramu ni...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Msambatavangu Aitaka Serikali Kuweka Imani kwa Wawekezaji wa Ndani

    . MSABATAVANGU AITAKA SERIKALI KUWEKA IMANI KWA WAWEKEZAJI WA NDANI "Mmeanza kutubagua watanzania kwa kuwapa watu wenye uwezo wa fedha tusio na uwezo tusiwekeze kwakuwa miradi yetu ni midogomidogo, hao mabilionea ndiyo wawekeze 'This is not right' ni lazima watanzania wapewe fursa sawa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba aishauri Serikali kuhusu makato ya kodi kwa wawekezaji Madini

    "Badala ya kutuletea Kodi ya Mapato ya 2% tuwekeeni ya Asilimia 1 mtujaribu kwanza wachimbaji wa madini tuone kama inatekelezeka hii 1% kwanza mkileta asilimia mbili watu wataona ni kubwa na matokeo yake watu wataanza kupitisha madini kwenye njia za panya" - Mhe. Ndaisaba Ruhoro, Mbunge wa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali bora ni ile inayowajibika kwa wananchi wake

    JE, SERIKALI INAPASWA KUWAJIBIKA KWA WANANCHI WAKE? Ndiyo, serikali inapaswa kuwajibika kwa wananchi wake.Makala hii inaelezea namna ambavyo serikali inapaswa kuwajibika kwa wananchi wake. Utawala bora ni dhana inayohusu jinsi serikali inavyopaswa kuendesha shughuli zake kwa kuzingatia...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira kwa Vijana Zinasaidia Kuongeza Kodi kwa Serikali

    MHE. GEOFFREY MWAMBE ASEMA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA ZINASAIDIA KUONGEZA KODI KWA SERIKALI "Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi kinachoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutupigania watanzania na Jimbo la Masasi kuhakikisha changamoto za...
  9. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Utawala Bora kwa Kupunguza Ushirikiano wa Kisiasa katika Uteuzi wa Viongozi wa Serikali

    Mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali umekuwa na changamoto kubwa nchini kwetu. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya umma na kusababisha...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Iwasimamie Wasafirishaji wa Mizigo Kutoka Nje ya Nchi ili Ipate Kodi Halisi Kutoka kwa Wafanyabishara

    MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023-2024 na kutoa mapendekezo...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge Watoa Hoja Kuishauri Serikali Juu ya Wakulima Kuuza Mazao Nje ya Nchi

    WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na wafanyabiashara kutoa hoja ya kuishauri Serikali namna nzuri ya kuwasaidia wakulima wanaouza mazao...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili CHADEMA na Sukuma Gang wameunda umoja wa siri dhidi ya Serikali. Umoja wenu uwe na hoja za msingi zenye mashiko

    Friends and Enemies, Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa. Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Spika sio msemaji wa serikali. Kuhusu suala la mahindi spika Tulia acha kumsemea waziri Bashe na serikali, sio kazi yako!

    Mjadala wa mahindi inashika kasi bungeni namuona spika Tulia Ackson akiitetea serikali kuhusu sakata la kufungwa kwa mipaka kuzuia usafirishaji wa mahindi nje ya nchi. Kinachonishangaza ni spika kuzungumza na kutoa maelezo kuhusu msimamo wa sirikali na utaratibu unaopaswa kufanyika. Hivi hii...
  14. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya Sheria ya Ununuzi wa Bidhaa na Huduma za Serikali Yanavyochochea Uwajibikaji na Utawala Bora

    Sheria za ununuzi wa bidhaa na huduma za serikali zimekuwa na athari kubwa katika kuchochea uwajibikaji na utawala bora nchini Tanzania. Kabla ya Sheria ya Ununuzi ya Umma (2004) na Sheria ya Manunuzi ya Bidhaa na Huduma za Kampuni za Umma (2017), palikuwa na ukosefu wa uwazi na uwajibikaji wa...
  15. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuweka Wazi Mfumo wa Uteuzi wa Viongozi wa Serikali na Kuimarisha Utawala Bora

    Katika nyanja ya Uongozi, kumekuwa na changamoto kubwa katika mfumo wa uteuzi wa viongozi wa serikali. Mara nyingi, uteuzi hufanywa kwa misingi ya uhusiano wa kisiasa au urafiki badala ya uwezo na uzoefu wa mgombea. Hii imepelekea kuwepo kwa viongozi wasio na uwezo wa kusimamia vizuri masuala ya...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yashauriwa kuongeza bajeti kwenye tume ya taifa ya matumizi bora ya ardhi

    MHE. JAFARI WAMBURA AISHAURI SERIKALI KUTENGA FEDHA ZA KUTOSHA KWAAJILI YA TUME YA TAIFA YA MATUMIZI BORA YA ARDHI NCHINI Mbunge wa Jimbo la Rorya Mhe. Jafari Chege Wambura tarehe 22 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Serikali Kuu kwa mwaka 2023-2024 bungeni jijini Dodoma "Namshukuru...
  17. JamiiForums Tanzania Kuuza au kutouza nafaka nje: Serikali ichague kuumiza wengi au wachache

    Suala la kuuza au kutouza nafaka nje. Yaani niseme kwamba; kulingana na kiwango kidogo cha chakula tulichonacho, sikubaliani na wale wanaotaka tuuze chakula nje. Ndugu zangu msifikiri jambo hili ni rahisi kama mnavyoliona, mkaanza kuilaumu serikali kwa zuio lililopo. Mtu yeyote mwenye akili...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Vizazi vijavyo vikikuta rasilimali si zao vitaanzisha uasi na kuingia msituni kuipinga serikali

    Angalizo. Wajukuu na watoto wetu baadae wakija kupata akili wakaona rasilimali za ardhi yao kama bandari si yao tena, ardhi si yao tena, mbuga za wanyama hawana umili nazo tena lazima moto uwake. Katika kila uwekezaji lazima tuzingatie 50/50 yaani wakija kukuta wana asilimia 50 ya umiliki hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini mtumishi mpya wa umma ili afanikiwe kwenye ajira yake?

    Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa ataka Serikali kutoyumbishwa uboreshaji wa Bandari

    Mbunge wa Ukonga (CCM) Jerry Silaa ameishauri Serikali kutokubali kuyumbishwa na watu wanaotaka nchi isiendelee kiuchumi kwa kupinga utekelezaji wa makubaliano kati ya Serikali yaTanzania na Dubai juu ya uboreshaji wa bandari nchini. Bunge liliridhia azimio makubaliano kati ya Serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…