serikali

  1. Maafisa Serikali wa juu huenda wakazuia kutumia TikTok kwenye vifaa vya Serikali

    Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki amesema suala hilo bado linajadiliwa kikamilifu katika Baraza la Usalama...
  2. KERO Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani (Tegeta A)

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  3. Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
  4. F

    Ukitaka usipoteze muda na uhudumiwe haraka kwenye ofisi za umma ni muhimu kujua unahudumiwa na mtu wa aina gani

    Kama hupendi mambo yako yaharibike unapokwenda kwenye ofisi za serikali kuomba huduma flani basi uwe na akili ya haraka ya kutambua yule afisa ni mtu wa aina gani. Mara nyingi kama yeye ni mjinga basi fanya kila uwezalo ujifanye mjinga zaidi yake, wakati mwingine hata zuzu kabisa (hii ni ngumu...
  5. Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

    Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini. Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile. Sera hizi...
  6. Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  7. Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  8. T

    Hospitali za Serikali zimekuwa zikitumia vijana waliomaliza intern (post intern attachment) huku wakiwalipa hela kidogo sana

    Habari. Kuna rafiki yangu mmoja amemaliza internship ya udaktari mwaka jana katika hospitali ya rufaa ya Morogoro na kabla ya wao kumaliza hospitali iliomba watu kumi waandike barua kwa ajili ya kujitolea na wakaiita (post intern attachment). Kwa kawaida watu wanapochaguliwa kujitolea huwa...
  9. Kampuni za kuuza viwanja zinaumiza wananchi, Serikali iingilie kati

    Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
  10. Wasanii wa Tanzania wanapaswa kujifunza kitu kwa Eric Omondi, sio lazima kujipendekeza kwa Serikali ili maisha yako yaende

    Msanii wa Comedy kutoka Kenya, amekuwa akifanya vitu ambavyo kikawaida tumezoea kuona vikifanywa na wanasiasa kwa lengo la kutafuta huruma za wananchi waje kumpigia kura wakati wa uchaguzi. Ingawa pia, inaweza kuwa ni pia mipango ya Erico, you never know. Lakini kitendo cha kufanya tu hivyo...
  11. Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

    Hii ni picha ya bango la mradi wa ujenzi na ukarabati wa kilomita mbili (2) Goba kwa Awadhi ambayo imesambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii. Mradi huu ni wa ukarabati na ujenzi wa mitaro ambapo unatokana na nguvu za wakazi wa eneo hilo. Inaelezwa wakazi hao wamekubaliana kujenga mitaro kwa...
  12. Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
  13. M

    Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

    Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza. Shule ni nzuri kwa miundombinu yote. Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni...
  14. Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

    Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo. Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza...
  15. Safari hii sijapata Tende za Msaada. Nani kanifinya? Serikali iangalie suala hili

    Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani? Serikali iingilie kati suala hili kwa kweli. Maana ni kama imetuacha wananchi wake. Tende ziingizwe nchini bure kwa wingi.
  16. Serikali kama imeshindwa Kuweka mishahara ya watumishi katika usawa ni vizuri ipunguze idadi ya watumishi

    Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri. Kuna mashirika ya umma Kuna taasisi za umma Kuna wakala wa serikali. Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi. Kuna bodi mbalimbali Kuna tume mbalimbali...
  17. Nani anahusika na mfumo wa malipo wa serikali - GEPG?

    Habari wakuu, Kwa wanafanya malipo ya serikali watakubaliana nami kuwa, mfumo wa kulipia na kuhakiki malipo wa serikali " government e payment gateway" (GEPG), haufanyi kazi vizuri kwa takriban mwezi sasa! Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa kufanya na kuhakiki malipo ya serikali. Ni...
  18. Serikali imdhibiti huyu nabii kabla hayajatokea yale ya Shakahola

    Anaitwa Boniface Victor au nabii Musa. Huyu ambaye anapotosha umma. Nimefuatilia Channel yake YouTube ni kama mtu aliyepagawa. Anaongea vitu ambavyo havipo kabisa. Hawa vijana waliokosa ajira na kulowea makanisani wanaanzisha Imani za hovyo ambazo si za Kikristo lakini kwakuwa wafuasi ni...
  19. R

    Je, serikali itaruhusu mafuta ya Alizeti kutoka Marekani yaingizwe nchini na kupelekwa Dodoma wakati Singida wauzaji wanakosa soko?

    Waziri Bashe ameongea kuhusu msaada wa mchele na mafuta kama vile yeye siyo waziri mwenye dhamana. Anaonyesha kushtushwa na mchele huo na mafuta kuingizwa nchni. Je, kama sovereign state tutaruhusu kuletewa mafuta ya alizeti ambayo hata Dodoma na Singida yapo? Hii misaada nani huwa anakwenda...
  20. Je huu ni utapeli kwa hisani ya Serikali?

    TCRA, BENKI KUU na idara zingine zinazohusika. Huu ni utapeli kwa hisani ya serikali kwasababu hawa watu wana vibali vya huduma hii toka BENKI KUU na idara zingine husika. Ukikopa wakati wa marejesho utaona pesa imekatwa VAT kama kawaida kuthibitisha kuwa serikali ndiyo iliyobariki uhuni huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…