serikali

  1. Serikali isilifumbie macho suala hili la Watanznia kuwa na Wagumba wengi

    Habari,
  2. Mchinjita: Serikali iwalipe fidia waathirika wa Mafuriko Rufiji

    Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe. Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg. Dotto Biteko kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji wake waliosababisha mafuriko Rufiji na Kibiti na...
  3. Esther Bulaya: Serikali iwekeze katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya

    Ester Bulaya ameshauri Serikali kuwekeza katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya, aliongelea kuwa multi clinic Nchini zipo 11 na wanaohitaji matibabu ni maelfu, asilimia ya dawa za kulevya kuzalishwa duniani imeongezeka na siyo dawa zote huwa zinakamatwa Nchini. Sober House zipo 40 nchini...
  4. Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea na makala zangu elimishi, kutoa elimu ya katiba, sheria, haki na wajibu, ili kutoa darasa kwa Watanzania kuijua katiba yao ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya...
  5. Kumbe timu ya KMC inayogharamiwa na manispaa ya Kinondoni si ya serikali!

    "Huku akisema CCM haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu, ambayo ni KMC ya Kinondoni, kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya CCM". Haya yalisemwa na Bananga kwenye uzinduzi wa Ramadhan Cup iliyoanzishwa na CCM. Kutokana na pande zote mbili za nchi...
  6. Serikali: Walimu 52,551 kuneemeka na upandishaji madaraja kwa njia ya mserereko

    Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati anajibu maswali yaliyoulizwa na Mbunge wa Ngara Ndg. George Ruhuro Bungeni Dodoma. Akieleza Naibu Waziri Kikwete amesema kuwa baada ya uhakiki wa taarifa za walimu ilibainika kuwa Walimu...
  7. Irani ikishambulia ndani ya nchi ya Israel itakua mwisho wa serikali ya kiislam ya Iran

    Kumekua kunazagaa taarifa kwamba Iran inajiandaa kuishambulia Israel kama kujibu mashambulizi….. Basi huo ndio utakua mwisho wa Iran. Ikumbukwe kwamba Israel imekua ikimtamani Iran siku nyingi sana na ilishajipanga hata kupigana vita na iran bila hata ya US. Kwasababu israel haikuweza...
  8. B

    Mahakama Kuu yatupilia mbali Mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba ya Bandari

    HOJA ZA MAPINGAMIZI YA SERIKALI YA MUUNGANO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUHUSU KESI YA BANDARI YATUPITILIWA MBALI, KESI YA MSINGI YA KIKATIBA SASA KUPANGIWA TAREHE YA KUANZA KUSIKILIZWA https://m.youtube.com/watch?v=D5ZLtOJJ-nE Ndugu Odero Charles Odero amechukua hatua ya kuipeleka...
  9. Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  10. Baada ya 'Royal Tour', Serikali sasa yaja na filamu nyingine iitwayo 'Amazing Tanzania'

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Bungeni leo wakati akiwasilisha Hotuba ya kuhusu Makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi yake kwa mwaka 2024/25 amebainisha kuwa Serikali kutokana na mafanikio ya programu ya The Royal Tour, Serikali imetengeneza filamu nyingine yenye hadhi ya kimataifa ya...
  11. Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa. Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na...
  12. Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Binafsi nasikitika kuona Tamthilia hizi za Kituruki, kihindi, kikorea, kichina, kiarabu n.k zilizotafsiriwa kwa lugha yetu ya Taifa kiswahili zinazooneshwa sana muda mwingi katika chanel zetu maarufu nchini hasa Azam kila nikiingia nyumbani, saloon, bar, hotel n.k. Serikali hasa Wizara ya sanaa...
  13. Uchaguzi 2025: Waitara anataka kumkimbia Heche Tarime? Aibana serikali kuhusu kugawa majimbo kwa ajili ya uchaguzi ujao

    Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo. Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu hazijaingia uwanjani na refa hajapuliza kipyenga. Mang'ana ghasarikile!! Waitara ni moja kati ya...
  14. M

    Ni upi Msimamo wa Serikali kuhusu Vipimo vinavyopima mwili mzima kwa Tsh. 20,000?

    Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000. Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali juu ya jambo hili. Waziri Ummy, ikikupendeza tueleze.
  15. Tetesi: Ilikuaje Makontena 329 yakapotea bandari kavu ya Azam na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 12.6? Je, Nani alicheza huu mchezo?.

    UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015) To make a long story short, Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na kumuhoji Meneja wa TPA, (Abel Muhanga kwakipindi hiko), kuhusiana na tuhuma za ufisadi wa kupitisha...
  16. Serikali yataja sababu za kufuta leseni maduka ya fedha

    Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri...
  17. M

    Kwa hili la kuwasafirisha Yanga, natofautiana na Serikali

    Siku ya jana Jumatatu April01, 2024, baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti vikiwakariri baadhi ya viongozi wa serikali wakitoa taarifa ya kugharamia safari ya mashabiki wa club ya Yanga kwenda na kurudi nchini Afrika kusini ili kwenda kuishangilia timu hiyo itakapoumana na timu...
  18. Kukosekana kwa umeme Usiku wa kuamkia April 1, 2024 kumbe shida ni Maji kuwa mengi Bwawa la Kidatu

    TANESCO imesema kukatika kwa umeme kumesababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa kudhibiti kiwango cha maji kwenye mitambo ya Kidatu, na hivyo kushindwa kuzuia mtiririko mkubwa wa maji yanayoingia kwenye mitambo na kusababisha mitambo kujizima ghafla ili kujilinda. Hitilafu hiyo katika gridi ya...
  19. Serikali isiyotimiza wajibu wake wa Kikatiba tunaiwajibishaje? Hapo ni baada ya kuiba kura kama dhambi ya kuu ya kwanza

    Kila kinachofanywa na serikali yetu pendwa ni utekelezaji yakinifu wa ilani ya chama kilichopo madarakani. Wananchi ndiyo wanaoiweka serikali madarakani kwa kuchagua chama kitakachoiendesha. Lakini haki hiyo imepokwa kikatiba kwa sababu Katiba ya sasa inaelezea uwezo na utaratibu wa wananchi...
  20. Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…