serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali tunaomba itusaidie wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tuajiriwe

    Serikali tunaomba itusaidie MUHAS! Sisi wanafunzi wa shahada ya kwanza ya sayansi ya tiba kwa njia ya vitendo hapa MUHAS tunaomba serikali au wizara husika iajiri wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina wakufunzi walioajiriwa na wanaotufundisha wanajitolea kutoka Hospitali ya Taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Msinunue Vocha kwa bei tofauti na iliyoelekezwa na Serikali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi kutokubali kununua vocha kwa bei tofauti na iliyoandikwa kwenye vocha hizo ambayo zimeelekezwa na Serikali. Waziri Nape ametoa kauli hiyo tqrehe 18 Julai akiwa katika Kisiwa cha Lyakanyasi...
  3. JamiiForums Tanzania Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

    Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri. Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao. Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

    Salaam, Shalom!! Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imelitaka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) kuishauri vizuri Serikali

    TCRA CCC MKISHAURI VIZURI MTAISAIDIA SERIKALI- MHANDISI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam. Serikali imelitaka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) kuishauri vizuri Serikali ili kupunguza malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za mawasiliano. Kauli...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi: Serikali Imeleta Bilioni 1.8 ya Miradi ya Maendeleo Kata ya Kising'a, Iringa

    MBUNGE NANCY NYALUSI: SERIKALI IMELETA BILIONI 1.8 YA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA KISING'A, IRINGA Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi amezungumza katika Kata ya Kising'a Wilaya ya Iringa na amewataka wananchi kutembea kifua mbele na kujivunia uwepo wa Serikali sikivu...
  7. JamiiForums Tanzania Wasifu wanao weka wengi kwenye tovuti ya bunge na serikali hakuna ukweli

    Yani wasifu ungekuwa unafatiliwa kuhusu tovuti ya bunge unaweza kushika mdomo wazi yani unakuta mtu anaweka ana PHD ambayo ujui kaipata kichochoro gani na mda gani. mmoja mbunge X kuna chuo kaweka alichosoma ukitafuta sehemu zote unaona ni kiwanda cha kutengeneza dawa za mifugo. Hii nchi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi, Polisi na Serikali fanyeni wajibu wenu

    Ninafahamu Uchaguzi unapofanyika wenye wajibu wa kutenda haki ni Tume Serikali na vyombo vya dola na wala siyo CCM yakulaumiwa. Ebu safari hii fuateni maelekezo ya Amir Jeshi Mkuu wenu Samia Hassan aliyoyatoa na yamejificha kwenye 4R. Pia zingatieni maoni ya Kikwete kwenye Hotuba yake Ya...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

    Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nimekataa kulipa Pesa ya Taka na ulinzi kama hawatanipa risiti za EFD. Nimepewa barua ya wito serikali za mitaa

    Kwema Wakuu Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa. Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/= Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iajiri Wakufunzi MUHAS, Kitengo cha Sayansi ya Tiba kuna changamoto kubwa

    Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa kutufundisha maana idara yetu haina Wakufunzi walioajiriwa. Wanaotufundisha wanajitolea kutoka...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

    Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi. Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024...
  14. JamiiForums Tanzania Nimependa wazo la kijiji cha Mundindi kununua hati fungani, wameweza ndoto iliyowashinda Simba SC

    Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila mwaka. Kijiji kilipata fedha hizo baada ya kupewa fidia ya ardhi kutoka Serikalini baada ya kupisha...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi TBC ni ya Serikali au ya chama tawala, Mbona habari za vyama pinzani hazisikiki?

    Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
  16. JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Mnaelewa mnataka Urais wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na Mawakili?

    Fatuma KArume: Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza: *Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili? *TLS haiwezi kutunga regulations bila ya idhni ya AG. *Hamuoni AG anaingilia “Freedom of Association”? Sidhani nimeeleweka.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itoboe barabara ya Ifakara Mahenge hadi Liwale Lindi ili kufungua uchumi

    Wasalamu, Ukitaka kwenda mikoa ya kusini kutokea Ifakara option ni mbili lazima uje Dar au upite Makambako Songea ambapo itakuchukua siku mbili. Tofauti na kama ikipatikana barabara ya kupita mbuga ya Selous utatumia masaa sita kufika Lindi na mikoa ya Kusini. Ipo njia ya miguu wanatumia siku...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kupitia Balozi wake USA watoe tamko la kulaani jaribio la kutaka kumuua Trump

    Hatuwezu kaa Kimya huku Democrasia ikiwa kwenye majaribu makubwa sana, tunaitaka Serikali kupitia Balozi wake au kupitia waziri wa mambo ya nje watoe tamko rasimi la kulaani Jaribio la kutaka kumuua Trump na kuitaka Serikali ya Marekani kuheshimu misingi ya Democrasia. Ni kwa bahati mbaya hawa...
  19. JamiiForums Tanzania Kupaka rangi za bendera inaweza kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya magari ya serikali

    Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isiwe na kodi moja kwenye makato yake?

    Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa. Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…