serikali

  1. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

    "Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza." "Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...
  2. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Unatarajia Mbunge wako leo atapiga Kura ya Ndio au Hapana kwenye Bajeti Kuu ya Serikali?

    Leo, Juni 26, 2024, Wabunge wa Tanzania wanatarajiwa kupiga kura ili kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha ujao. Hii ni hatua muhimu katika mchakato wa kupanga na kugawa rasilimali za taifa kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo na matumizi mengine ya serikali. Mchakato huu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kuboresha mifumo ya kielektroniki katika manunuzi ya serikali ili kuondoa rushwa na ubadhirifu

    Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya: Uwazi na Uwajibikaji Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Matinyi akabidhi Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikai kwa Makoba

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba (kushoto) akikabidhiwa nyaraka na Bw. Mobhare Matinyi (aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali) wakati wa makabidhiano ya ofisi ambayo yamefanyika Juni 26, 2024 katika...
  5. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Serikali imekaa kimya kuhusu matapeli wa mtandaoni

    SERIKALI YA ZANZIBAR IMEKAA KIMYA KUHUSU HAWA MATAPELI WA MTANDAONI HII NI HATARI KWA WATU WANAOTAKA KUFANYA BIASHARA ZANZIBAR KUONA MATAPELI @soknibike WEZI WANAKUMBATIWA NA SERIKALI SASA WANANCHI WOTE KUWENI MAKINI NA HAWA SOKONI BUKE TUNAOMBA JESHI LA POLISI ZANZIBAR LIWASHULIKIE...
  6. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

    Hali ni mbaya Sana kwa Majirani.. Jeshi limeingia Rasmi mzigoni..
  7. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yazuia mtandao wa X na TikTok, walazimika kutumia VPN ili kupata huduma kwenye mitandao hiyo

    Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok. Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wabunge walioshirikiana na Luhaga Mpina kuihujumu serikali wakiwa ESPIRANCEE ni kina nani?

    Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya kikao na kuandaa taarifa ile kwa Spika juu ya uongo wa Waziri Bashe. Wabunge hawa ni kina nani?
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, serikali inaenda kuruhusu Crypto-currency nchini?

    Kama mnavyojua katika Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2024/25 kuna kodi kadhaa zimependekezwa ikiwemo kodi ya kwenye Digital Assets. Bunge limeshatoa wito kwa wadau kupeleka mapendekezo yao kwenye marekebisho ya sheria ya fedha ambayo inaenda kuleta hiyo kodi ya Amali za Kidigitali...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwabembeleze wafanyabiashara Kariakoo waacheni watafungua wenyewe

    Sawa nakubali Kariakoo ndio kitovu cha uchumi nchini, biashara zote nchini watu wanafungashia Kariakoo, mapato ya nchi kwa kiasi kikubwa yako kariakoo, nafahamu pia athari za kiuchumi endapo biashara zitafungwa pale kariakoo, lakini kwanini serikali iendelee kulea wapuuzi wanaokwepa kulipa kodi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa wenye Ualbino asema "Je, Serikali inathamini Wananyama kuliko sisi wenye Ualbino?"

    Watu wenye ulemavu wa ngozi (Maalbino) wameitaka serikali kuweka sheria ya dharula itakayowalinda maalbino tofauti na kuendelea kutoa matamko ambayo hutolewa tu pale mauaji yanapotokea. Wakizungumza na waandishi leo juni kwa nyakati tofauti Juni 24, 2025 wamesema tangu Mwaka 2016 maalbino...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  14. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

    Mishahara imechelewa kutoka, June 2024,watumishi wa Umma wana maisha magumu sana Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. PIA SOMA - Kuanzia...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama Serikali inatuma vikosi kupigana Congo, inashindwa kuja kupigana Kariakoo?

    DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila amesema ikihitajika kuweka Vyombo vya Dola maeneo ya Kariakoo kwaajili ya kulinda biashara wakati mazungumzo ya Wafanyabiashara na Serikali yakiendelea atafanya hivyo Amesema “Nataka niwaambie ukweli, Serikali haishindwi jambo, kama Serikali inatuma...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Hakuna kitu ninachoogopa, Serikali haifanyi kazi kwa shinikizo

  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tutengeneze sheria ambazo zitaifanya mihimili mingine iwe na nguvu sawa na mhimili wa serikali

    Kama nchi tumekuwa na taratibu nyingi sana ambazo zinafanyika nje na taratibu hasa na mhimili mkuu wa serikali lakini mihimili mingine(bunge na mahakama) havina meno ya kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi ya kufanya vitu kulingana na makubaliano na muktadha wa sheria. Mfano tuwe na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Serikali hujifanya kiziwi haki ya wananchi ikidaiwa kwa taarifa za media au maandamano, sasa migomo ndio iwe lugha mpya kwa Serikali hadi kieleweke!

    Naunga mkono asilimia 100% mgomo wa wafanyabiashara. Tena ningependa kuona ukienea nchi nzima! Sababu ni kwamba uongozi wa Tanzania huwa unajifanya kiziwi pale Watanzania wanapoonyesha kutopendezwa na jambo fulani, na kutoa madai yao kwa njia ya vyombo vya habari au maandamano. Serikali...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
Back
Top Bottom