series

  1. Emilio Mzena

    Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

    Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break. Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River. Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield...
  2. Mad Max

    Samsung wamezindua simu tatu za Galaxy S25 series!

    Wapenzi na wadau wa Samsung. Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra. Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24 series. Samsung pia walituonesha Galaxy S25 Slim aka S25 Edge ambayo itazinduliwa hivi karibuni...
  3. FK21

    Aliyetunga Squid Game series ni mwehu kila alieshiriki iyo TV show amechezewa mchezo hadi ukiitazama tu ushachezwa mchezo

    Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata UKIITAZAMA TU umechezewa mchezo pia Ukimuhadisia mtu ndiyo kabisa utaona tu unahadisia ujinga kila tukio...
  4. Mad Max

    Maisha ni kuchagua: Ili kuagiza BMW 3 series cheap kabisa kutoka JP unatakiwa uwe na Mil 14, ila IST lazima uwe na angalau Mil 17!

    Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata. Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006. BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930...
  5. thegreat1510

    Nimemaliza kuangalia Series ya Breaking Bad na Game of Throne, naombeni nyingine kama hio

    Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute. Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series. Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad. Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni, Natanguliza shukrani
  6. Swahili AI

    Series: The Day of Jackal. Ni ya moto sana

    The Day of the Jackal 2024 ‧ Thriller ‧ 1 season Muhtasari Mshambulizi maarufu, Jackal, anapokuwa akitafuta kurudi kwa Nuria, anakuwa miongoni mwa wahalifu wanaotafutwa, huku Bianca akipewa fursa ya mwisho kumleta kwa haki. Katika mfululizo huu wa vipindi, Jackal anapambana na mafanikio ya kazi...
  7. pabro11

    MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

    Wakuu msaada izi simu za galaxy a series za fb ni OG kweli? Mbona bei zinafanana? Na ipi bora kwenye A series?
  8. Blessed Agent

    My Top 5 list ya Movie Series of All Time

    My Top 5 list ya Movies of All Time ambazo baadhi sio Common Zenye ; 1. Akili nyingi 2. Haziko Predictable 3. Zina Action Zenye quality nzuri (sio kama za kihindi😂) 4. Visa na matukio ya Kusisimua well planned scenes 5. Siasa pamoja na Visa vya Mapenzi kidogo (Hakuna Ushoga wala Usagaji) na...
  9. Azer Zepha

    Zipi ni historical series au historical single movie kwa mwaka 2023- 2024?

    Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies .. Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch nasisi tupate uhondo
  10. Mshana Jr

    Kasongo series

    Wanasayansi walipokuwa wakipanga sifa za wanyama mbalimbali , ngiri alikuwa kwenye mashimo yake kwa hiyo waliishia kuwapa mataji wanyama wasio na sifa. Ufalme wa msituni ulienda kwa simba Umahiri wa kasi zaidi ukaenda kwa duma ...lakini sifa zote mbili ni za ngiri... Sifa ya tatu ya ngiri...
  11. mossTV

    NAUZA ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACCOUNT YENYE CHANNEL ZOTE ZA DSTV MOVIES NA SERIES

    ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA MWISHO WA MWEZI.. channel zaid ya 9000+ PIA KUNA MOVIE ZOTE NA SERIES ZOTE FULL HD MPAKA 4K RESOLUTION...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    Series ya From inatamba kwasasa, Je umekwishatazama?

    Kama una muda na wewe ni mdau wa movie au series tazama hii series ya From ambayo kwasasa tupo Season 3. Ni moja ya tambala kali sana. Watu mbalimbali kwa nyakati tofauti wakiwa na magari yao wanapotea. Ukifika katika hilo eneo huwezi toka tena, Utazunguka na barabara mpaka umalize mafuta...
  13. Waufukweni

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo. Kampuni hiyo ya...
  14. Cecil J

    Msaada unahitajika: Jina la website ya movies na series inayotumia Mb chache.

    Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu. Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi...
  15. Mad Max

    Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future!

    Honda nao hawajachelewa party ya EV, tushaona Honda Prologue, N-VAN e na Ye Series EV, sasa wameleta all new 0 Series Saloon. Kwa sasa wameitangaza tu prototype, mass production haijaanza ila soon itaanza. Itakua na Level 3 ADAS, air suspension, na mazaga kibao. Kilichovutia wengi zaidi ni...
  16. Vincenzo Jr

    From series msimu wa 3 umetoka

    Naam wale wapenzi wa series ya from Leo season 3 imeshatoka online link kama uliipenda msimu wa kwanza na wapili huu ni msimu wa tatu je wale viumbe wataendelee kisumbua je Boyd Steven atafanikiwa kuwakomboa wenzie je Tabitha atafanya Nini ili kuwasaidia wenzie walio potea Cc rip faza_nelly Mr Q...
  17. Area 14

    Start up TV Series: Nimeangalia hii series ya wenzetu wa KOREA Nimegundua yafuatayo

    Nimeangalia hii series ya wenzetu wa KOREA Nimegundua yafuatayo 1. Wenzetu wana wekeza sana kwenye teknolojia na futuristic/ kutafuta solution ya maisha ya baadae na kugundua teknolojiaa mpya . 2. Wenzetu hawaamini sana kwenye DINI bali ethics (maadili) kwao kusema uongo, kuiba, kudanganya na...
  18. Mad Max

    Kwa wapenzi wa simu za Samsung Galaxy A series, ngoja leo tujuzane kitu kidogo

    Wakuu! Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series. Sasa ukiwa unataka kununua...
  19. Mad Max

    Apple kuzindua iPhone 16 series leo Tar 9 September 2024

    Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September! Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16. Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote...
  20. Gemini AI

    Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

    Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi? Kuna baadhi ya filamu na tamthilia ambazo, hata baada ya kuzitazama mara kadhaa, bado zina nguvu ya kutuvuta tena na tena. Zina uwezo wa kuamsha hisia, kutufurahisha, na kutufanya tuzihusudu kwa kila mara tunapozitazama...
Back
Top Bottom