series

  1. Series ya silo season 2 imetoka?

    Wakuu habar za jion Kwa wale wapenzi series Kuna series inaitwa silo, hii series mm nimefanikiwa kuiona season 1. Hii series ni nzuri sana, Sasa nataka kufahamu Kama season ya 2 imetoka au la.
  2. THE BOYS: Moja ya series zinazohitaji kujitoa akili na ufahamu ili kuiangalia. Bila hivyo haifai hata kidogo (18+)

    THE BOYS drama ya kimarekani inayohusisha masuperheros au (Mashujaa kwa waswahili). Drama hii inaelezea Superheroes wenye ushawishi kwa umma waliyejiwekeza katika (siasa) wanasiasa, na wakati mwingine hata kuheshimiwa kama miungu. Lakini hapohapo kuna kundi la ambao wanatumia nguvu zao kwa...
  3. Car4Sale BMW SERIES 3 ONSALE

    ON SALE🚘( EDY) BMW SERIES 3 KALI LOW MILEAGE 84000 YEAR 2OO6 ENGINE 1990 💺 🫧 CLEAN SEAT *Price (14.900.000) 0688591584 ✅Exchange allowed 📍Loc Dsm
  4. Best Hidden Gems | Underrated Series | TV Shows

    Dr King (M.L.King Jr) alishawahi nukuliwa akisema “ Not everyone can be FAMOUS , but everyone can be GREAT. Japo hotuba yake ilikuwa yenye mlengo wa kisiasa, lakini kupitia nukuu hii alikuwa anajaribu kutonesha kuwa kuna utofauti kati ya Umaarufu(Fame) na ubora(Greatness). Kwa lugha nyepesi...
  5. Msaada : Naomba sites zuri za kupakua torrents za movies za kawaida na series.

    Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza. Naomba kiwasilisha
  6. Tafuteni hii series Guillermo.del.Toros.Cabinet.of.Curiosities mtanishukuru bila kuboreka

    kuna series nyingi zinazo toka ila hii series inatisha ila ina ujumbe .
  7. Kwa mahitaji ya movie na series yoyote nipo kukuhudumia

    Habari mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa. Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia bando.Tujuze id yake ya IMDb au jina na mwaka eakutoka au poster yake. Huduma nikwa Telegram na Gdrive kupitia Whatsapp link...
  8. Mapigano hatari kwenye Series zote

    Bado sijawahi kuona mapigano hatari kw series zote zaidi ya hawa wawili.
  9. Try to challenge me..📺

    Tupe list yako ya movie/series ulizodownload recently
  10. Greatest Monologue | Hotuba | Risala Bora katika Filamu

    Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message n.k. Pamoja na hayo, ikitokea filamu imechagizwa na monologue bora au kwa lugha nyepesi speech...
  11. Ramani za nyumba za kwenye series maarufu kwenye tv

    Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo. Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo SEHEMU YA KWANZA 1.HOW I MET YOUR MOTHER Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily...
  12. Series, hadithi za mambo mbalimbali ya zama za uumbaji

    GALACTIC HISTORY Swerdlow anaandika kwamba kuna AINA SABA tofauti katika himaya ya DRACO. Aina moja ina ngozi nyeupe iliyogawanyika, macho kama ya paka, mbwa na Taya na meno yaliyotawanyika. The DRACO walitawala DUNIA maeneo ya Pacific HIVI leo ambapo kulikua na bara lililo potea au lililo...
  13. Band of Brothers: Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii

    Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.
  14. Series: Maisha na Muziki

    1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
  15. Best Action TV Series

    1. Reacher (2022–Till date) 2. Percy Jackson and the Olympians (2023–Till date) 3. What If...? (2021–Till date) 4. Game of Thrones (2011–2019) 5. Monarch: Legacy of Monsters (2023–Till date) 6. Berlin (2023–Till date) 7. Obliterated (2023) 8. Jujutsu Kaisen (2020–Till date) 9. The Boys...
  16. Adulting Series: A showmax series

    Series tamu sana, mapenzi, hustles, mahusiano. Marafiki wanne wa chuo kikuu, ambao uhusiano wao mkubwa umewaweka pamoja japo safari zao za maisha zimewapeleka katika njia tofauti sana. Follows four varsity friends, whose strong bond has held them together even as their journeys in life have...
  17. M

    Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

    Najua zipo series nyingi sana ambazo waandishi walituliza akili kuziandika kama vile vikings,lord of the rings etc,ila bado sijakutana na mzigo mkali kama Game of thrones, humu mwandishi alijua watazamaji ni nini tunataka na akatupatia. Natumai waandishi bongo muvi watafikia levo hizi 1 day.
  18. B

    Hage Geingob (Full interview) (Namibia Documentary Series)

    Hage Geingob (Full interview) (Namibia Documentary Series) https://m.youtube.com/watch?v=zfNQ1MqEBVc We had the pleasure to sit down with Namibian Prime Minister and former anti-apartheid activist Hage Geinbob in August 2012. He was kind enough to tell his story, focusing particularly on his...
  19. Pantheon Show: Moja ya series bora zaidi upande wa TECH

    Aisee Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI...
  20. Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

    ....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…