sensa

Sensa is an American brand of diet aid created by Alan Hirsch, an American neurologist and psychiatrist. The product lacks scientific evidence of effect and has been the subject of controversy and lawsuits. Following a $26 million fine by the U.S. Federal Trade Commission in 2014, the company ceased operations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

    Wanabodi Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!. Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa. Wana JF, let's share different experiences za sensa na...
  2. JamiiForums Tanzania Njombe Karani wa Sensa afutwa kazi baada ya kuibiwa Kishkwambi

    Mratibu wa zoezi la sensa mkoani Njombe Amewafuta kazi makarani wawili, baada ya mmoja kuibiwa Kishkwambi, akiwa na mwenzake kwenye ulevi ulipitiliza Pamoja na kuwafuta kazi hao, Mratibu amesema zoezi litakwenda vema japo hao wawili wameondolewa Mambo ya ngoswe yameanza mapema kujitokeza...
  3. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Serikali ilipie Gharama za internet na TV Siku ya Sensa 2022

    Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani. Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha. Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia taifa leo Agosti 22, 2022. Ametoa wito na kuwasihi Watanzania wote kujitokeza kuhesabiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022 ikiwa ni sensa ya Sita kufanyika katika Tanzania huru huku akieleza kuwa matokeo ya awali...
  5. JamiiForums Tanzania Iringa: Karani wa sensa afukuzwa kwa ulevi

    Makarani wawili wa sensa wilayani Iringa wameachishwa kazi kwa uzembe. Mmoja amefukuzwa kwa ulevi uliopindukia na mwingine kwa kupoteza tablet aliyopewa kuhesabia watu
  6. JamiiForums Tanzania Sensa: Leo ni leo, Kazi ni Moja tu!, Kuhesabiwa!

    Wanabodi
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Makarani wa Sensa wachunguzwa kwa Tuhuma za Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawachunguza Mtendaji wa Kata ya Sinde, Hawa Kajula na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani, Baita Sanga kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa watahiniwa wa usahili wa kazi ya sensa ya watu na makazi Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo, Maghela...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Sensa kwa maendeleo? Hapana

    Tumekuwa tukiaminishwa kuwa lengo la sensa ni kuisaidia serikali kupata takwimu zitakazosaidia kugawa keki ya taifa kulingana na idadi ya watu katika sehemu husika. Hiyo inabaki kuwa nadharia tu ila kiuhalisia sio hivyo. Tumeshuhudia wilaya kama Chato na sehemu nyingine wanakotoka viongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

    Kwanza maswali ni mengi bila sababu ya msingi halafu mengi ni ya kijinga na kipuuzi. Ingewezekana kabisa kuwa na dodoso lenye maswali machache na ya msingi. Baadhi ya maswali wangeachiwa watendaji wa mitaa/vijiji wakisaidiwa na wenyeviti wao kwani ni ya kifamilia zaidi na yanahitaji utulivu...
  10. JamiiForums Tanzania Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

    Kesho 23.8.2022 ni siku ya kuhesabiwa(sensa) kwa nchi yetu Tanzania, hili ni suala la kibiblia kabisa watu kuhesabiwa wala sio suala la kisiasa. Namaanisha usichanganye siasa na Sensa, utaratibu wa kuhesabiwa umetajwa kwenye biblia (LK 2:1-5). Wala hujapingwa au kukatazwa. Nakusihi uonyeshe...
  11. JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

    Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. Ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

    Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona. Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji. Tablet zinazo...
  13. JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwapa vijana wazo la ujasiliamali/biashara baada ya malipo ya kazi ya zoezi la sensa kuisha

    Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee. Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha. Si chini ya sh milioni...
  14. JamiiForums Tanzania CAG akague hesabu za zoezi zima la Sensa…

    Agosti 23, 2022 tunatarajia kuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Zoezi muhimu katika mipango ya sera na maendeleo ya Taifa. Hata hivyo mwaka huu tumeona matangazo yamekuwa mengi sana hadi inaleta maswali kama fedha za umma zimetukima ipasavyo. Uhamasishaji umekuwa mkubwa kama kuna mgomo...
  15. JamiiForums Tanzania Sensa kwa maendeleo, jiandae kuhesabiwa...

  16. JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Nipo tayari kuhesabiwa, je wewe?

  17. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu umuhimu wa SENSA Tanzania

    Hizi ni baadhi ya faida ya sensa kuisaidia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazo saidia mchakato wa utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025 Kuisaidia Serikali kujua ongezeko la idadi ya watu kwa mgawanyo wa viashiria vyengine ambavyo ni muhimu kwa Usimamizi wa mazingira Kigawio...
  18. JamiiForums Tanzania Hatujachelewa kwenye sensa kuwepo na kipengele cha uhitaji wa katiba mpya .

    Sensa ni data Kama ni data kuna uhitaji wa kuwepo kipengele cha kupata mawazo ya wananchi kuhusu katiba mpya na mgombea huru wa uchaguzi wa uraisi . Siasa zimezidi sana Raisi,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya ....kila mahali...siasa. au siyo ndungu zangu.
  19. JamiiForums Tanzania Waislamu kuiombea Sensa

    Mufti Mkuu amemuambia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa wao kama Waislam wapo tayari kuiombea sensa na kuhesabiwa. Wataiombea Sensa ifanyike vizuri kwa amani na ikamilike ili lengo la serikali liweze kutimia. Hivyo waislamu wote wapo tayari kuhesabiwa August 23.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Njia ya rahisi ya kuhamisha watu kushiriki zoezi la sensa ilikuwa ni kupitia ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga

    Serikali ikitaka isitumie resources nyingi katika kuhamasisha watu washiriki zoezi la sensa, njia rahisi ilikuwa ni kuchomekea swali: mtu anaehssabiwa aseme kama yeye ni Yanga au Simba. Japo hilo swali sio lengo la sensa, lakini kupitia swali hilo, lengo la sensa lingefanikiwa zaidi- the end...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…