sekta binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ukaacha ajira ya serikalini ukaingia sekta binafsi?

    Habari zenu ndugu zangu na wanajamvi letu pendwa la HHM. Nimekuja kwenu tena kama mwanajamvi kujifunza kitu kutoka kwenu. Kama utafuatilia hapo nyuma niliweka uzi wangu juu ya kukosa morali na mvuto na ajira yangu. Labda niweke hivi, Kabla sijaingia kwenye ajira nilikuwa na kibiashara changu...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Sekta binafsi kwenye uchumi wetu

    NAFASI YA SEKTA BINAFSI KWENYE UCHUMI WETU Andiko hili linaongelea nafasi na umuhimu wa sekta binafsi katika uchumi na maendeleo yetu tangu tulipoubwaga ujamaa wa Mwl Nyerere na kuingia kwenye mfumo wa kibepari. Kiufupi andiko hili linasema kwamba mchango wa sekta binafsi katika pato la taifa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika miradi ya serikali

    Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na mikakati ya kufikisha huduma bora kwa jamii. Tumeona treni ya SGR imekamilika na kuanza kazi...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwa na Tanzania bora kwa miaka 25 ijayo inahitaji juhudi na mchango wa jamii nzima

    Kuwa na Tanzania bora kwa miaka ishirini na tano zijazo inahitaji juhudi na mchango wa jamii nzima, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kijamii, na wananchi wenyewe. Hapa kuna mapendekezo kadhaa ya mambo ambayo serikali na jamii wanaweza kufanya kuboresha Tanzania: 1. Elimu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ni vyema Wananchi waelimishwe kuhusu ubia kati ya serekali na sekta binafsi katika miradi ya maendeleo

    Ubia kati ya Serikali na sekta binafsi katika miradi ya maendeleo ( public private partnership), katika kuleta maendeleo ya kuichumi ni muhimu, kwa Tanzania ubia kati ya serekali na sekta binafsi unaongozwa na kanuni na sheria na sera ya ubia yani (public private partnership regulations of...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Tanzania Inavyoweza Kushirikiana na Sekta Binafsi na Jamii Kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana

    Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili. Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utekelezaji wa miradi

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI. Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano

    DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesisitiza nia ya Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano. Waziri Nape ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya ujenzi wa minara ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna vita baridi kati ya taasisi za serikali na sekta binafsi?

    Amani iwe nanyi nyote. Kuna jambo moja naliona na si kuona tu Kila mwenye Biashara analalamika Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  11. JamiiForums Tanzania Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi ......

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi tukatwe kodi kidogo. Tusifananishwe na Watumishi wa Umma

    Wasaaalam wana jukwaa, leo katika pita pita zangu za mjini nilienda ofisi moja ya muhimu sana, nikakuta watumishi wako muda wa mapumziko, nilifanikiwa kuchangamana nao na kujadili mawili matatu. Nilimsikia mmoja akisema kwamba amemaliza kusoma na hataki tena (training) ya aina yoyote kwa maana...
  13. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

    Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF iingilie kuhakikisha Malipo kwa wafanyakazi sekta Binafsi yanafanywa

    Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote. Sijui Maafisa wanafanya kazi gani kama sio kufuatilia malipo ya Wafanyakazi, Je wanataka Watu wakihitaji mafao waanze...
  15. JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi Wakaribishwa Kuwekeza Katika Reli

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha reli ya TAZARA pamoja na reli ya kutoka Dar es Salaam ,Tanga mpaka Kilimanjaro ili reli hizo ziweze kufanya kazi kwa ufanisi Mkubwa. Kihenzile ameyasema hayo kwenye kongamano la Reli...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

    Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo. Je, kitu gani...
  17. JamiiForums Tanzania Huu Mgao wa umeme Ukiendelea hiví kuna watu watapoteza kazi huko sekta Binafsi

    Great Thinkers. Hali ya upatikanaji wa umeme nchini inatisha na bahati mbaya Serikali na Tanesco wanatuficha ukweli uliopo. Dotto Hakuna lolote la maana alilolifanya toka aingie Hapo. Kwa kweli shuguli za watu zinaathirika Sana. Tuna Zaidí miezi sita ni kata kata tu na sababu zisizoluwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kama hauna njaa acha kazi msinisumbue!

    Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku. Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yadai nusu ya walioenda COP28 wamejigharamia wengine wamegharamiwa na sekta binafsi

    Serikali imesema karibu nusu ya ujumbe wa Tanzania ulioshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), umegharamiwa na sekta binafsi. Ufafanuzi huo, umekuja baada ya juzi na jana kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu idadi kubwa ujumbe wa Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO ni adui Mkubwa wa uwekezaji sekta Binafsi

    Hi Great thinkers. Kati ya Tasisi amabazo zinaitesa sekta binasfi ni TANESCO. Mi nafikiri wanatia fora kwa sasa. Ule ukiritimba wa TRA na BRELA wakasome, kwa sasa sekta binafsi zinateseka sana na mgawo wa umeme. Kiasi amabcho inakatisha tamaa hata kumvutia mwekezaji mpya. Magufuli alipokuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…