sekta binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

    Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi. Katika Hali hii ya ushiriki wake...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nje ya kampuni za kizungu na kijapani, mazingira ya ajira katika kampuni nyingi Tanzania yamejaa mateso, figisu, ubaguzi, maumivu na manyanyaso

    Unakuta hakuna mikataba ya ajira, likizo haijulikani, na ukihoji unaambiwa ‘mlango upo wazi’.” Wanaajiri kwa kuahidi mishahara mikubwa, lakini wanakupa pesa nusu na matusi kamili. Wengine hufanyishwa kazi saa 12+ kwa siku bila malipo ya ziada overtime, muda mchache wa kupumzika au kula ubaguzi...
  3. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Sekta binafsi baadhi wamepoteza misingi ya uaminifu kwa wafanyakazi nimeona ili sehemu tujadili wenda ikapatikana ufumbuzi

    "Kila mtu anasema 'usimuamini mtu' – Je, jamii yetu na waajiri wa sekta binafsi wamepoteza misingi ya uaminifu?" Ni kawaida siku hizi kusikia msemo: Lakini hali imekuwa mbaya zaidi kwenye ajira, hasa sekta binafsi. Watu wanajituma kazini kwa miaka – kuna likizo kama ukiuza kuna malipo...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Serikali na sekta binafsi kuanzisha vituo vya kukodisha mitambo ya uchimbaji madini

    Serikali kwa ushirikiano na sekta binafsi imejipanga kuanzisha vituo vya ukodishaji mitambo ya uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo ili kuwawezesha kutumia teknolojia za kisasa kufanya shughuli zao kwa tija. Hayo yamesemwa leo tarehe 06 Juni, 2025 na Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde...
  5. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Kama una mahusiano na mwanamke aliyeajiriwa (iwe sekta binafsi au serikalini) na una nia ya kumuoa, tafadhali tafakari mara mbili

    aslaam, Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize mara mbili kabla hujachukua huo uamuzi. Nataka nikuambie kitu hapa, ukikutana na mwanamke mwenye...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kafulila awaita wananchi kushiriki kongamano kubwa la kujadili mchango wa sekta binafsi kwa Tanzania tuitakayo 2050

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia Sekta Binafsi na Sekta ya Umma (PPP CENTRE) na Mtaalamu wa Sera za Maendeleo, David Kafulila, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mjadala wa kihistoria kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) unaotarajiwa kufanyika...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais sekta binafsi ni sawa na watoto yatima nchi hii: mafao mkupuo wao 35%, sekta ya umma 40%, kima cha chini ht kikiongezwa hawatekelezi

    Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko walimu wa shule za msingi, nendeni vyuo km Chuo Kikuu cha Arusha, walimu tangia waajiriwe wana miaka...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi, Sekta binafsi bado ipo gizani Totoro

    Wakati wenzao wa Sekta ya umma wakifurahi na kurukaruka kwa nyongeza ya mshahara wenzao wa Sekta binafsi hawajui la kufanya. Bidhaa zimepanda kwa watumishi wote na wote wanaishi kwenye mitaa ileile na kukua kwenye maduka yaleyale; wanachekana. Bodi fanyeni hima kunusuru Sekta binafsi ambao ni...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vietnam kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara

    Tanzania na Vietnam zimekubaliana kuanzisha ushirikiano wa sekta binafsi ili kuchagiza kasi ya ukuaji wa biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa kwenye mazungumzo yaliyofanyika leo Aprili 29,2025 kati ujumbe wa Tanzania na Vietnam uliojumuisha wafanyabishara...
  11. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Enyi wawezeshaji wa mdahalo juu ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi muwaelimishe hao wachangiaji wenu vinginevyo hapo mnapoteza tu muda

    Ninachokiona ktk mdahalo ni wananchi kuwasilisha malalamiko yao serikalini kupitia huo mdahalo. Wanatumia huo mdahalo km medium tu, warudisheni wachangiaji kwenye mstari wengine hapo ni wale janja janja waliozoea kukwepa kodi ndio maana karibu kila mfanyabiashara analalamikia bandari kwasababu...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Prof Adolf Mkenda: Sekta binafsi inaalikwa kwenye Ujenzi wa Hosteli popote ila iwe tu karibu na chuo chenye upungufu wa Hosteli kwa sharti ya Ubia

    === Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Faustine Mkenda amezikaribisha Kampuni, Watu binafsi au Mashirika ya kiria kuchangamkia fursa za kujenga na kuendesha Nyumba kwaajili ya mabweni | Hosteli maeneo jirani na vilipo vyuo ambavyo vinaupungufu wa Hosteli kwaaji ya...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Aida Kenan: ATCL iliendeshwa kwa hasara, pamoja na kuongeza ndege, hazina umuhimu kwa wananchi, tufikiri kuwapa sekta binafsi

    Ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2023/2024, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, imeonesha kuwa mashirika kadhaa ya umma bado yanaendelea kupata hasara kubwa licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali. Kwa mfano, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ilipokea ruzuku ya serikali ya shilingi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Zaidi ya ajira milioni 8 zimezalishwa kupitia sekta ya umma na sekta binafsi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026 "Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini kupitia uwekezaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  17. Selwa

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati watanzania wafanyakazi wanaofilisi makampuni sekta binafsi

    Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Mitaji sekta binafsi inakuza uchumi, atoa elimu kuhusu deni la taifa

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi. Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kwahili la kodi bila kutishana na bado maendeleo yanaonekana, Rais Samia sekta binafsi tunakupongeza

    Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu. Tunakumbuka tulikotoka. TRA walikuwa miungu watu. Tena zilikuwepo TASK FORCE ambazo zilikuwa zina terrorize wafanya biashara. Akaunti hela zinachotwa bila kibali cha...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Sekta binafsi ni moja ya sekta muhimu sana kwenye uchumi wa nchi, sekta binafsi imekuwa ikigusa makundi ya watu wa kila aina

    Sekta binafsi ni moja ya sekta muhimu sana kwenye uchumi wa nchi, sekta binafsi imekuwa ikigusa makundi ya watu wa kila aina. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaipenda Sekta binafsi na ndio maana amefungua milango ya sekta binafsi kufanya kazi kwa karibu na serikali. Pakua Samia App kupitia Play...
Back
Top Bottom