Je, Israel inaweza kushambulia malengo gani ili kudhoofisha utawala wa Houthi?
Kufikia sasa, Israel imeshambulia bandari, mitambo ya saruji, mitambo ya kuzalisha umeme na viwanja vya ndege nchini Yemen.
Marekani, kwa upande wake, ilishambulia shabaha nyingi za kijeshi kwa kiwango kikubwa...