paul paschal
New Member
- Oct 21, 2014
- 2
- 1
Wakuu habari,
Dogo aliomba nafasi za tutor chuo cha sukari general agriculture sasa tumetwa oral na kwenye ajira portal inaonesha oral n kufanyie DODOMA kwenye ofisi za Sekratariat lakini tena Kuna tangazo linasema wasailiwa wa usaili wa mahojiano Wafanyie vituo walivyoainisha sasa sielewi tangazo lipi afuate msaada maana anapiga simu sekratariat inaita tu