sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Mliopanda SGR eti ni kweli kuwa sehemu ya 'Kuukweka' katika Mabehewa yake ni kama vile uko White House Marekani?

    Yaani unaweza 'Ukaukweka' huku ukiwa unakula Chakula chako Safi huku kwa nje ukiwakodolea tu Bundi na Ngedere.
  2. Yoda

    Kwanini makande hayapatikani sehemu za kuuza vyakula?

    Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa. Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni kwamba hakuna wateja au kimepuuzwa tu na wauza chakula??
  3. realMamy

    Ni sehemu ipi sahihi ya kuelezea siri au kitu kinachokusumbua kwa muda mfupi au muda mrefu?

    Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana. Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri. Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana. Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako? Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta...
  4. Empty container for sale

    Sehemu hatari kuishi ni uswahilini na kijijini.

    Kuishi kijijini - ukikaa kijijini kufanikiwa maisha kiasi cha kummiliki mali ni ngumu Sana hii ni kwasababu zifuatazo. -Uzinzi -Pombe -Ukosefu wa maarifa. -Kukaa na watu wenye mawazo duni -fixed mindset and conservative. Kijijini ndo sehemu ambayo unakuta mtu anayeitwa tajiri ni mchafu Sana...
  5. Annie X6

    Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  6. GoldDhahabu

    Msigwa kaenda CCM kuwa sehemu ya akili ndogo au kuifanya CCM akili kubwa?

    Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa? Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?
  7. GENTAMYCINE

    Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  8. EvilSpirit

    Utajuaje kama sehemu uliyopo ni Bush?

    1.Watu wengi wanajishughulisha na kilimo wanaamka saa 10 alfajiri kwenda mashambani.Pia ng'ombe zinatumika kulima 2.Ni kawaida kukutana na wazee mababu na mabibi 3.Watu wengi wanaongea lugha za makabila 4.Wanawake/wamama wengi wanavaa khanga 5.Ukipanda daladala kwenda Town mfano ahsubuhi...
  9. E-Maestro

    JamiiForums: Je, Tunahitaji Sehemu Inayozungumzia Afrika na Uafrika?

    Waafrika wenzangu, Tupo katika enzi ambapo, kama Waafrika, tunapaswa kufikiria Afrika kwa ujumla badala ya vipande vipande. Tunahitaji kushirikiana, kujadiliana, na kujenga mustakabali wetu kama bara moja. Katika kufanikisha hili, naona umuhimu wa kuwa na sehemu maalum kwenye JamiiForums...
  10. Pdidy

    Unataka kutoa michirizi nyeusi kwenye mapaja nna sehemu zinginezo fanya hivii unishukuru

    chukua ndizi 2 Penda pondaa Chukua dawa ya mswaki unayoiua colgate etc vijiji 2 chukua sukarii vijikooo 2 changanyaaaaaaaaaaaa paka asbh na jion nipe mrejesho
  11. Membe S K

    Sehemu ya kwanza: Nafasi ya wanalindi kwenye mradi wa gesi

    PART I: NAFASI YA WANALINDI KWENYE MRADI WA GESI LINDI. Mradi wa kuchimba na kuchakata gesi asilia (LNG) Lindi mjini ni mradi ambao wakazi wengi wa Lindi wanautegemea uje ubadirishe maisha yao. Hata hivyo Wanalindi wengi hawajui mradi huu unahusu nini haswa na utaanza lini au kwanini haujaanza...
  12. Kaka yake shetani

    Kungunduliwa sehemu zilizowekwa maiti nyingi huko kenya mukuru ni baada ndoto kumtokea dada yake aliyepoletewa na mdogo wake.

    kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka. Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na hakupatikana ila kuna siku ndoto aliota ikimuelekeza kuhusu yeye yupo wapi ambalo eneo la mukuru na kweli...
  13. Kaka yake shetani

    Tanzania japo kuwa na mito, maziwa na sehemu kubwa ya bahari lakini samaki wajawai kuwa kitoweo kikubwa

    Kuna mda inabidi ujiulize sana ili swali sababu ni nchi yangu imepewa kila kitu lakini na hakuna kitu kama tunavoona geita na dhahabu. Kuna nchi wale wasanii waliokwenda kule kutuletea ajenda yao wakitaka bima ya afya zao na mwenyekiti wao utazani samaki mkavu chuchungi. wajajifunza korea...
  14. FRANCIS DA DON

    Kuna sehemu inaitwa Kinyerezi Park, ni classic sana, ila kwanini haifahamiki?

    Nimepita hapo. Watu ni wasiri sana, Hivi ni mimi tu ndio nilikuwa sipafahamu hapo au?
  15. Poor Brain

    Sehemu ya field Bsc in Science in Information System

    Wakuu kijana wenu hapa... bado napuyanga tuu sehemu nilizoomba zote wamesema zimejaa sasa naimani hapa naweza pata connection.. Tena nipate huko dasalam wakuu 🙏 🙏 DR HAYA LAND BICHWA KOMWE - Mbaga Jr
  16. Bulelaa

    Nikiwa Rais, kila tukio la jaziba za wananchi kunihusu, Itakuwa sehemu yangu ya kujirudi na siyo kukimbilia kuhukumu, Kikwete kwenye hili namkumbuka

    There are things that happen in society involving any leader, they always have the appearance of bringing laughter to the heart and not being angry and condemning people to jail! Kuna mfano halisi wa maandamano ambayo yamewahi kutokea kipindi chq uongozi wa Mwalimu Nyerere, Wanawake...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Ali Kamwe Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu

    Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
  18. wilsonwizzy

    Kwa wale wenyeji wa Mwanza hivi kuna sehemu wanawafikia hawa jamaa kwa huduma za kwenye magari

    Hawa jamaa wanapatikana Igoma,bango,(SUPER BLUE SKY) Wanatoa huduma zote iwe kuweka mafuta, service kwenye gari yako, parking ya gari yako,kuosha gari yako,wana kila kitu mpaka mizani ya kupimia uzito wa mizigo kwenye magari ya mizigo na ni kwa njia za kisasa kabisa na ni b ei rahisi halafu...
  19. kavulata

    Dini zetu ni sehemu ya shida zetu za kiuchumi tulizonazo Afrika.

    Dini zetu hizi mbili zilikuja na wakoloni (watesi) wetu. Viongozi wa dini waliishi nyumba na mtaa mmoja na wakoloni (watesi) wetu, walisali pamoja, walikula na kunywa pamoja na wakoloni. Waliwabariki kwenye kazi zao za utesi na uporaji wa rasilimali zetu, kuwaombea mema na afya tele na kubatiza...
  20. matunduizi

    Kwa nini nyumba za watu wa imani hazina sehemu za ibada?

    Watu wa imani sala ndio kila kitu. Yaani wakati wasio na imani wanajisifia nyumba ni choo, wao wanatakiwa kusema nyumba ni chumba cha sala. Watu wengi wa kipato cha kati wakifikilia kujenga, ramani ni masterbedroom, chumba cha vijana wa kike, cha vijana wa kiume, choo cha ndani, sebule na...
Back
Top Bottom