Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe.
Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii.
Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
Hi everyone,
Mara nyingi nimejikuta nikitafakari kuhusu matukio mengi yanayoendelea duniani leo-migogoro ya mahusiano, maamuzi ya ghafla, na hata baadhi ya matokeo mabaya ya kijamii. Nikianza ku-relate na historia pamoja na mafundisho ya dini, kuna kitu kinajirudia mara kwa mara: nguvu ya hisia...
SEHEMU AMBAYO HAIKUPI UHURU SIO SEHEMU SAHIHI.
Maisha mazuri ni yale yanayokupa uhuru wa kuishi vile unavyotaka bila shinikizo kutoka upande wowote wa dunia.
Ikiwa katika mahusiano, kazi/ajira au katika maisha ya kila siku kama vile urafiki na familia unapoona hakuna uhuru using'ang'anie...
Hello.
Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha.
Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama.
Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kero
kero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Moja ya tofauti kubwa kati ya mwanamke na mwanaume ni umbo. Umbile la mwanamke hata kwa nyuma tu unajua hiki kitu....
Mimi ndo maana napendelea sana wanawake wenye MAKEBO MAKUBWA. Yaani Matako au Maumbile ya nyuma makubwa. Kisha laini. Yanaitwa makebo.
Halafu uje ukute ana kipapiro mnato...
SEHEMU AMBAZO MSTAAFU HASHAURIWI KUWEKEZA
Fikisha ujumbe kwa wahusika
🎯Volatile investments.
aina za wekezaji ambazo bei yake sokoni inaweza kupanda au kushuka its average price anytime. Kama cryptos
🎯High-risky investments. uwekezaji ambao hauna uhakika wa kulinda mtaji wako na faida yako...
Habari wana JF,
Naandika haya si kwa lengo la kudhalilisha mwanamke, bali kuweka wazi msimamo wangu kuhusu nafasi ya mwanaume katika jamii na familia.
Katika mpangilio wa asili na kimajukumu, mwanaume amepewa jukumu la kuwa kiongozi. Uongozi si ubabe, si dharau, si kumkandamiza mwanamke- bali...
Mamlaka nchini Kenya na Ghana zinaendelea na uchunguzi kufuatia ripoti nzito kuwa mwanaume mmoja, raia wa Urusi, aliwarekodi kwa siri wanawake wa mataifa hayo mawili wakati wakiwa faragha, na kisha kusambaza video hizo mtandaoni bila ridhaa yao.
Vyombo vya habari barani Afrika na nchini Urusi...
Wakuu habari,
Nahitaji sehemu kama workshop nikajifunza kutengeneza Furniture za kisasa.
Kama kuna sehemu ama mtu ana ofisi nitafurahi nikajitolea.
Ikiwa kuna malipo kidogo naweza kulipia nifikie lengo.
Asanteni.
Mawasiliano: 0759226857
Nipo Mbezi ya Kimara.
Kuna ID ya mwanachuo wa TUMAINI UNIVERSITY, nimekiona somewhere... Sijui namna za kumpata nimpe... ....au atakitengeneza kingine....
SAMIA ANATOSHA HADI 2040.
Mpaka sasa, bado vita vya mashariki mwa DRC, vinazidi kupamba moto.
Baada ya kundi la M23 kuachia mji wa uvira, kwa shinikizo la Marekani, serikali ya DRC kupitia jeshi lake na washilika wake, waliendelea kushambulia ng'ome za kundi hilo katika maeneo mbali mbali, Kivu kusini na kasikazini...
Habari za saiz wadau wa jf,
Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika mwez wa tatu kutokana na MZUNGUKO wa BIASHARA
KILEMBA NI MILLION MBILI
KODI NI LAKI MBILI KWA MWEZI...
NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA
je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU?
Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao?
Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia.
HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !!
Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
Habari wakuu
Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata
Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia nipate hata Ile sabbu Tu yakunitoa nyumbani
Elimu yangu NI diploma, Nina skills kadhaa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.