sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kutoza watu pesa kuingia viwanja vya Sabasaba na Nanenane haijakaa sawa

    Kwanini wakulima na wafanyabiashara watozwe pesa kuingia kuangalia mambo siku ya sikukuu zao? Mbona wafanyakazi hawatozwi pesa kuingia viwanjani siku ya Mei mosi? Waandaaji watafute namna ya kupata pesa lakini siyo kuchaji wakulima na wafanyabiashara. Ni utapeli.
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto za wanawake wanaoweka 'bleach' kichwani

    Nilikutana na mademu kama watatu ivi wenye breach kichwani nyakati tofauti tofauti na kufanikiwa kupata utamu wa asili kiraisi mno bila ata kutumia nguvu lakin sasa kimbembe hawa mademu ni shida Ving'ang'anizi adi walikuwq wananifanya nihame mitaa na kuwa chukia tena. Mwanamke wa kwanza Uyu...
  3. JamiiForums Tanzania UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

    Habari zenu wakuu, Hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu (wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet unawiana na Urefu wa uume wake in terms of inches ukiwa umepanda mtungi (umesimama). Nilifanya jaribio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

    Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana. Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali. Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
  5. JamiiForums Tanzania Yusta Msowoya: Wanawake kuweni na kauli nzuri kwa waume zenu, wanaume hawapendi kudharauliwa na wanawake

    Somo @yustamsowoya amewahasa wanawake kuwa na kauli na lugha nzuri pindi wazungumzapo na waume zao kwani hakuna mwanaume anayependa kudharauliwa na mwanamke. Chanzo: EastAfricaRadio Huu upuuzi Wao wakawafanyie tu Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakara na Wanyamwezi siyo Sisi.
  6. JamiiForums Tanzania Ni vyema mkiwa mnatoa 'Press Releases' kama hii pia mtuambie wenye Akili sababu ni nini au kumetokea nini sawa?

    Kocha wa Makipa, Tyron Damons atakuwa sio sehemu ya benchi letu la ufundi baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu. Tunamtakia kila la heri huko aendako. Chanzo: Simba Sports Club Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa Simba SC kuna matatizo huwa hamtuelewi ila nashukuru Mungu taratibu tu yale...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote, Juni 27, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022. Rais Samia ameanza kuzungumza, ameanza kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC (hasa Uongozi) hapa ndipo huwa 'mnanikera' hadi 'nawangangeni' Kutwa hapa 'JamiiForums' hebu muwe mnanielewa sawa?

    Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi. Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na...
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Ajali ya Treni ya Abiria - Malolo, Tabora

    TAARIFA KWA UMMA TRENI YA ABIRIA KUTOKA KIGOMA YAPATA AJALI TABORA Shirika la Reli Tanzania (TRC) linautaarifu umma kuwa Treni ya abiria namba Y14 yenye injini namba 9019, iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam, imepata ajali majira ya saa 5:00 asubuhi eneo la Malolo...
  10. JamiiForums Tanzania Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  11. JamiiForums Tanzania Makampuni yanayotoa mikopo kwenye App yaige mbinu hii inayotumika Nigeria kuwaweza Watanzania watukutu; SMS za vitisho kwao ni sawa na wimbo

    Ni nani ambae hakumbuki ule mtelezo wa app ya tala iliyokuwa ikitoa mkopo swafi kabisa wa elf 20 lakindi kwa mbongo ikawa ni kama zawadi. Wabongo walichukulia kama zawadi hawakua na muda wa marejesho, haya meseji za vitisho zilivyoanza kutumwa ndio kwanza mtu anaweza pozi la 4 huku akishushia...
  12. JamiiForums Tanzania Kabla ya vita USD 1 ilikuwa sawa na Rubles 77, sasa hivi ni sawa na Rubles 55. Tunajifunza nini kutokana na hali hii kama Taifa huru?

    Tarehe 1 January 2022 dola moja ya Marikani (USD) ilikuwa sawa na Rubles 77 za Russia. Baada ya vita kati ya Russia na Ukraine mwezi Februari 2022, Russia iliwekewa vikwazo (sanctions) lukuki za kiuchumi na dunia inayoongozwa na Amerika na nchi za Ulaya. Lakini leo nchi hizi zilizoweka vikwazo...
  13. JamiiForums Tanzania CRDB Bank hili suala halijakaa sawa

    Habari Wakuu! Leo katika harakati za kuweka mambo sawa nilienda Bank CRDB Bank main customer service desk pale nikakuta kuna mteja anataka kufanya account activation coz ilikuwa dormant sasa akawa hana kitambulisho ila ana copy tu ya kitambulisho cha Taifa. Ikabidi wale wadada wamwambie ni...
  14. JamiiForums Tanzania Tunaweka rekodi sawa, Hayati Magufuli alikuta ukusanyaji mapato upo chini akakusanya na kuyatumia vyema. Je sasa? Voyages

    Inasikitisha sana kwa nini watu wanakuwa na tafsiri tofauti juu ya mtu kuzungumzia ukweli wa suala husika. Lakini mtu anakuwa na povu ambalo halihusiki kabisa. Nani asiyejua kuwa hayati JPM ndio alianzisha mfumo kuwa mapato yote ya serikali yawe centralized na pesa zote ziingie hazina. Huko...
  15. JamiiForums Tanzania Si sawa kumpongeza Mtu kwa uzuri alionao, hana mchango wowote kwa yeye kuwa hivyo

    Sio tatizo kumpongeza Mtu alivyovaa na kupendeza, lakini ni vipi unampongeza Mtu kwa kuwa ni Mzuri au umbile lake zuri?...sio tatizo kumpongeza Mtu aliyefanya mazoezi na kutengeneza muonekano wa mwili (body building). Hivi kwa akili zetu hizi huyo tunayempongeza ana mchango gani kumfanya yeye...
  16. JamiiForums Tanzania Nimepitia Bajeti ya 2022-2023 naona kuna kitu hakiko sawa

    Wana JF Naamini sote tu wazima. Kwanza nianze na bajet ya mwaka jana. Mwaka jana kulikuwa na stofahamu nyingi sana hasa baada ya bunge kuisha. Ilibidi kuongezwa kwa baadhi ya kodi ju kwa juu bila hata bunge kujua kama hiyo kodi ndio walikubariana ama la. Mfano ni Tozo za Miamala ya Simu...
  17. JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa ukija Ghetto Kwangu kutizama Tv njoo na ama Tsh 1,000 yako au Tsh 3,000 huna kaangalie kwa Mama au Nchemba sawa?

    Nadhani tumeshaelewana sasa Wewe njoo Kwangu kwa Mazoea ya Kutizama Taarifa za Habari utaishia Mlangoni.
  18. JamiiForums Tanzania Jitahidini mkishafanikiwa Kimaisha muache Dharau, Kashfa na Dhihaka kwa 'Hustlers' tuliojazana Tanzania sawa?

    "Miaka ya sitini, miaka ya sabini na miaka ya themanini vijana walikuwa wanahudumia wazee na watoto. Hali haiko hivyo sasa. Kwa sasa, wazee ndio wanahudumia vijana na watoto wao" - @mwigulunchemba1 Chanzo: EastAfricaRadio Nijuavyo ni kwamba hakuna Kijana ambaye anapenda Kutowajali Wazazi au...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kupewa TIN ni sawa na kodi ya kichwa?

    Waziri wa Fedha na Mipango amependekeza kugawa TIN kwa watu wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, na taarifa hizi ziende sawa na NIDA ili kulipa kodi kwa usahihi. Baadhi ya watu wamehusianisha namna hii ya ukusanyaji kodi na Kodi ya kichwa, kitu ambacho naona ni kupotosha ukweli kuhusu kodi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tuweke Historia Sawa. Tuwajadili Marais wa Tanzania tukianzia na Nyerere

    Mwaka huu wa 2022 unatuingiza mwaka wa 61 toka Tanganyika tupate Uhuru. Kwanza na "declare interest", binafsi nimezaliwa Tanganyika, kwa maana nimezaliwa kabla ya Uhuru na kabla ya muungano. Namshukuru Mwenyezi Mungu nimezipitia awamu 7 za uongozi wa nchi yetu hii ambayo sasa inaitwa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…