sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimewaambia Gemini na ChatGPT wafanye projection ya bei za Mafuta mwezi huu May, wote wamekuja na uelekeo sawa!

    Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost): Gemini (Google) ChatGPT Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita. Vigezo vyao vimetoka kwenye: -Bei mpya soko la dunia. -Exchange rate ya dollar vs tsh. -Benchmark ya nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Kenya alikuwa sawa kwa sababu "HAKUPENDELEA"HIyo inatosha kuliko hawa wetu Wanaopendelea

    Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai. Simba huwa wamezubaa na kuziacha kelele hizi ambazo zinaweza kusababisha kughairishwa kwa utaratibu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Bro, kwahiyo mkeo umemruhusu kujipost mtandaoni na ana zaidi ya picha 30? Sawa Bro

    Hatupangiani namna ya kuishi kwenye ndoa zetu. Kwanza sihudumii ndoa yako na sina mchango wowote ule kwenye familia yako Bro. Lakini kijamii bado naiona sio sawa hii!... Mkeo kila kukicha anajipost mtandaoni kabinua matako yake nawewe pasina kuwa na haya una comment umedamsh,umewaka,umependeza...
  5. JamiiForums Tanzania Yohana Msita: Sasa tutumie tehama kuajiri | si sawa watahiniwa kubebelea vyeti na vitambulisho kwenye usaili

    Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kidigitali katika mchakato wa ajira kwa kutumia TEHAMA, ili kuondoa usumbufu wa waombaji kubeba vyeti na vitambulisho kila sehemu. Kauli hii ya Mhe. Yohana Msita bungeni inaonyesha mwelekeo wa mageuzi ya kiutawala na utumishi wa umma, ambapo...
  6. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu Wa Serikali Gerson Msigwa awaita walipa kodi 'Nguchiro'. Ni kiburi cha aina gani hiki?

    Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao? Kwenye websites za Halmashuri na taasisi nyingine za Serikali namba za viongozi zote ziko...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande, sawa maandamano yalikiuka sheria. Sasa, jibu swali hili

    You might be sahihi as per my heading, kwa hiyo serikali ilikuwa na uhalali wa kuwaua waandamanaji wasio na silaha? na kuwazika in mass graves?
  8. JamiiForums Tanzania Hapa ni sawa nimeshika Shilingi Milioni 8 na Laki 4 za Kitanzania

    Hii pesa ya Kuwait. Miongoni mwa pesa zenye thamani kubwa sana. Hii ni Dinar 1000 ya KUWAIT sawa na pesa ya madafu Milioni 8 na Laki 4. Au nasema uongo ndugu zangu?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Israel mguu sawa kukiwasha tena dhidi ya Magaidi wa IRGC

    https://www.instagram.com/p/DXSDIvmE9Pt/?igsh=MTdqcjVqY3UyMXpudg==
  10. U

    JamiiForums Tanzania Naona si sawa Kwa Wananchi kulalamika posho za watumishi na Viongozi Gavoo

    Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho. Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara , na wateja wengi wa biashara zetu ni watumishi, mkisema wasipewe posho hayo maduka , na biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Gari toka Japan linauzwa Mil 5.6 hadi Tanzania, halafu TRA wanataka Mil 9.8 cash!

    Kumiliki gari ni anasa. Kuna mtu anavipenda sana vi BMW MINI sasa tukawa tunacheki cha 2013 tumekielewa. Tukapata cheap kabisa Mil 5.6 Bila negotiations. Tukajua TRA itacheza kwenye Mil 5 hivi au 6. Aisee. Nadhani ataenda kununua pikipiki ya umeme uyu.
  12. JamiiForums Tanzania Je, na zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG Nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG ni Sawa na TZS 1550

    Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu. Kufuatia kuongezeka kwa bei za mafuta katika soko la kimataifa, hali hii mara nyingi husababisha ongezeko la...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yusuph Lupilia: Mafuta yamepanda tukiwa na stock ya miezi mitatu nchini, hapo tumepigwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
  14. JamiiForums Tanzania Unawezaje kununua/kuimport pikipiki used kutoka China?

    Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD. Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010. Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa ndugu zenu Waislamu Sawa Yesu hakufa msalabani , Je yule aliyekuwa msalaba badala yake hatima ya mwili wake ilikuwaje? Aliz Alifufuka?

    Wenye elimu kubwa na Wanazuoni naomba majibu
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tutangaze nchi sio viongozi ili kupata watalii. Late Dr Munroe yupo sawa

    https://youtu.be/klE6IkLD0aM?si=WEoMVcIw1XeaVjlM
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Books, 50 Students! Grade 10 learners wakipigania elimu CBC system iko sawa kweli?

    Wadau, mambo si mazuri ground. Grade 10 learners across the country wanapitia serious textbook crisis just after first term. Imagine class ya wanafunzi 50 wanashare vitabu 9 pekee learning inakuwa struggle kabisa. Teachers na principals wanakiri kuna shortage but wengi hawawezi speak openly juu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Corporation, Kum-block mteja Facebook kwa kuuliza swali si sawa

    Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi. Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi. Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Hii sio sawa yani jana tu mmemaliza

    Ndugu zangu eid mubarak Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo. Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…