sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa Maendeleo ya vitu ni maendeleo ya wananchi

    Barabara alizosimamia zinasaidia kila sekta ya uchumi hapa nchini. Hospital, Zahanati na Mashule aliyojenga yanawasaidia watanzania kujenga uchumi. Misingi ya kusimamia rasilimali za umma aliyoiweka inawasaidia Watanzania leo hii
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa vijijini, tunamshukuru Mungu watu wa mijini kukosa maji, acha tuwe sawa!

    Maeneo mengi sana ya vivijini, mvua zikikata tu, na maji ya kunywatayari yanakuwa ya taabu saana tokea Uhuru Katika jimbo la Chalinze Kwa mfano, yapo maeneo Kwa kiangazi hiki, hawaogi mwezi mzima, wana kunywa maji Kwa kupangiana, kwamba mtu anywe Mara moja tu Kwa siku zaidi ya hapo, hakuna maji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa mabinti wanaolewa na miaka 15, hii si sawa

    Nimeishi Musoma na sasa niko Geita, nilichokiona huku serikali na wazazi tuamke. Ukienda clinic ya wajawazito utashangaa kwenye foleni kuna vibinti vya muaka 15 vina ujauzito. Nilishangaa kata ya Mganza jirani kabisa na Chato binti ana miaka 20 anawatoto wawili, alishaolewa na kuachika. Unajua...
  4. JamiiForums Tanzania Mtumishi Serikalini kushiriki mashindano ya ku-rap ni sawa?

    Nina rafiki ambae ni mtumishi wa umma katika shirika mojawapo kubwa tu, hivi sasa kuna mashindano ya freestyle ya kurap yanaendelea na yeye ni mshiriki. Kuhusu kipaji anacho cha kuchana mistari na anavutia hadhara pale anaposhika kipaza akianza kurap , ubaya ni kwamba kwenye hizi freestyle...
  5. JamiiForums Tanzania Sio sawa kwa wazazi wenye pesa kuwaficha watoto wao upande mgumu wa maisha

    Maisha magumu hayanaga hodi, ni vema mtu uwe walau una maandalizi yake maana lolote laweza tokea. Kuna malezi haya ya dezo huwa naona ni hatari kwa watoto, ikitokea mara paap mzazi kafukuzwa kazi, biashara imeyumba, katoweka, n.k na hana ndugu wa kuendelea kumlea mtoto wake maisha ya dezo, basi...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa wazazi/walezi kuwabusu watoto wao mdomoni kama ishara ya kuonesha upendo?

    Salaam Wakuu, Leo nimekuja na huu mjadala ambao umechochewa na mambo kadhaa ninayoshuhudia au kukutana nayo mtaani. Binafsi ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye watu wengi hivyo nashuhudia mengi hasa malezi na mahusiano ya watu wengi katika familia mbalimbali. Natambua kuwa ni muhimu sana...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wasomi wetu, kuwa na akili bila udadisi ni sawa na kutokwenda shule kabisa

    Akili ya binadamu ni utajiri wenye nguvu zaidi kuliko tunavyoongozwa kuamini katika elimu rasmi ya kitaaluma tunapokuwa shuleni au chuoni. Nachukia sana watu wanapochanganya akili na elimu. Unaweza kuwa na shahada na bado ukawa mjinga kwa kuamini unajua kila kitu! Elimu inakuwa na manufaa...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

    Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita. Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili. Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi kufuatia usajili wa Kisinda. TFF ilihalalisha kucheza kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa mwanaume kumtafutia mke wake 'Bull' wa kumridhisha kama yeye hawezi?

    Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala. Mwanaume anajiona...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Msingi hadi kidato cha nne sawa ila...

    Tanzania ni moja ya mataifa masikini duniani ikiwa na asilimia kubwa ya watu wanaotegemea kilimo cha kujikimu na shughuli za uchuuzi wa bidhaa hususani chakavu ama zenye viwango duni kutoka nje kwa ajili ya kipato. Hali hii huwaweka katika hali tegemezi kiuchumi kutokana na njia zisizotabirika...
  11. JamiiForums Tanzania Haki sawa kwa jinsia ya kike kama ilivyo ya kiume haimaanishi kwamba tupo sawa kijinsia

    Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia. Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume, bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao. Tukibeba vibaya maana ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

    Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Imekaaje Rais Samia kwenda na kiti chake kwenye ibada leo tarehe 14.10.2022 mkoani Kagera?

    Leo katika maadhimisho ya baba wa taifa hayati Julius Kambarage Nyerere amefanyiwa ibada na viongozi mbalimbali mkoani Kagera akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN. Minongo'no mikubwa imekuja baada ya yeye kupewa kiti chake kwenye nyumba ya ibada. Hii naona kama...
  14. JamiiForums Tanzania Tukio la kumkatisha msoma report ya mwenge asiendelee kueleza madudu ya miradi si sawa na Raisi aliangalia tu

    Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ???? ...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga SC mkiambiwa kila kitu 'Mnawaiga' Simba SC na Simba SC ndiyo 'Baba lao' msiwe 'Mnabisha'!

    "Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda kuichapa Agosto huko Angola" Chanzo: Sports Arena Wasafi FM. Na msivyojua kufikiri wenzenu wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa acha kutufokea wanamichezo wa Tanzania

    Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania. Hiyo wizara wamepita watu (Mawaziri) wazuri kukuzidi na kufanikiwa kwa utendaji wao kiufanisi na hakuna hata siku moja waliwahi...
  17. JamiiForums Tanzania Simba hii ni sawa na Nigeria ya Kombe la Dunia 1998. Inashinda ila siuoni ufundi kabisa

    Niseme tu labda siwafahamu De Agosto vizuri. Lakini mpira wa Jumapili wa Simba sikuelewa, butu butu nyingi. Ubora wa timu niliouona kwa Mgunda ni ifuatayo; Uchaguzi mzuri wa wachezaji. 1. Niliona mapungufu ya Quatara yakifanyiwa kazi. Na Kanute anakuwa mzuiaji wa chini kabisa. Anazuia mipira...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu Hii Pc kwa hii bei ni sawa?

    Wakuu vipi, Nmeenda dukani kununua Pc used abroad. Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba. Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6 Kwa 550, 000/= Ni sawa au napigwa?
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

    Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi: 6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. 7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua. 8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu...
  20. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Ikulu siyo kwa Kukimbilia muwe mnaelewa sawa?

    Ruto niliyemuona akiwa na Mikogo yote Siku anaapishwa kuwa Rais wa Kenya na huyu Ruto ( Rais ) wa Kenya ninayemuona leo ni Watu wawili tofauti. Ruto ( Rais wa Kenya ) wa sasa ukimtizama hata tu Usoni utagundua kuwa ameshaanza kupaona Ikulu ni Pagumu, ana Sura ya Kutia Huruma na huenda hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…