Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, leo Septemba 23, 2022 ameweka wazi kuwa, kila mwaka takriban watoto 800 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani nchini Tanzania hivyo kuchangia ongezeko la vifo vinavyotokana na ugonjwa huo.
Waziri Ummy amesema hayo katika kikao na Taasisi ya Global HOPE iliyoko...