SoC02 Saratani ya Shingo ya Kizazi

Stories of Change - 2022 Competition
Sep 4, 2022
8
9
MAANA
Saratani ya shingo ya kizazi ni ile inayoanzia sehemu ya mwisho ya nyumba ya kizazi , pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya juu ya uke.

JE, NINI CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI?
Virusi vya papiloma ndio chanzo cha saratani ya shigo ya kizazi

inbound742036038774759092.jpg

Picha 01. Sehemu ya shingo ya kizazi iliyo athiriwa na seli za saratani wanao tokana na virusi vya papiloma.

ATHARI
Saratani ya shingo ya kizazi huathiri hasa jinsia ya kike.
Mabinti wapo katika hatari kubwa sana kupata saratani ya shingo ya kizazi.

TAKWIMU
Saratani ya shingo ya kizazi ndiyo chanzo cha vifo vingi vya wanawake kataika nchi zinazoendelea, inafikia makadilio ya asilimia themanini na tano (85%).

Tanzania,wanawake milioni kumi na sita nukta nne (16.4) umri miaka 15 na kuendelea wapo kwenye hatari ya kupata shingo ya kizazi .

Kila mwaka wastani wa wanawake kumi elfu mia mbili na arobaini na moja (10241) huugua saratani ya shingo ya kizazi,ambapo sita elfu mia tano ishirini na tano (6525) hupoteza Maisha. (Ripoti ya HPV and Related Cancers fact sheet 2021).

UFAFANUZI
Tafiti zinaonesha kuwa wanawake wengi huambukizwa virusi vya papiloma, ambavyo ndio chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi katika kipindi Fulani cha Maisha yao inakadiriwa (68.0%) ya wanawake wenye umri miaka 15 hadi 44 hupata virusi wa papiloma (Ripoti ya “HPV and Related Cancers fact sheet 2021”)
Maambukizi hayo hupona yenyewe, kwa baadhi ya wanawake maambukizi haya hudumu na kuanza kuleta mabadiliko kwenye seli za mfuko wa kizazi.
Mabadiliko hayo hugundulika kwa kuchukua vipimo vya mara kwa mara.

JE, UGONJWA HUU UNA CHANJO AMA TIBA!?
Saratani ya shingo ya kizazi ina chanjo na pia hutibika.

Je, VIRUSI VYA PAPILOMA HUENEZWAJE?
Virusi vya papiloma hunezwa kwa njia kuu mbili.

01. Njia ya ngono.

02. Kugusana kwa majimaji ya mwili na mgonjwa wa hatua ya mwisho ya saratani ya shingo ya kizazi.

JE, NI NJIA ZIPI CHOCHEZI ZA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA PAPILOMA?

01. Ngono katika umri mdogo (chini ya miaka kumi na sita 16)
Kitendo hiki kinafanya mwanamke kuwa na idadi kubwa ya virusi vya papiloma hivyo huchagia uharaka wa maambukizi.

02. Kuwa na mausiano ya kingono zaidi ya mwanaume mmoja.
Mwingiliano wa virusi wa papiloma huchangia katika ukuaji wao na kufanya wawe na nguvu zaidi.

03. Kuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
kama UKIMWI, Kaswende na pangusa kwa kuorodhesha machache.
Magonjwa ya zinaa udhoofisha kinga mwili hivyo virusi hushambulia kwa urahisi zaidi.

04. Uvutaji wa Sigara, tumbaku na shisha.
Utumiaji wa vitu hivi hudhoofisha afya ya mapafu.
Virusi vya papiloma huathiri mapafu hivyo watumiaji wa vitu hivi wapo katika hatari ya kupata saratani ya shingo ya kizazi.

05. Kupata mimba katika umri mdogo, kuzaa mara kwa mara na kua na idadi kubwa ya Watoto.
Hali hii hudhoofisha afya ya uzazi ya mwanamke na kufanya virusi vya papiloma kushambulia kwa urahisi.

06. Unene.
Hali ya mafuta katika mwili huwapa mazingira Rafiki kwa virusi vya papiloma na kufanya vikue na kushambulia mwili kwa urahisi.

07. Utumiaji wa mda mrefu wa dawa za uzazi wa mpango.
Vidonge huathili afya ya uzazi na kufanya virusi kushambulia kwa urahisi.

08. Kuzaliwa kwenye familia yenye historia ya saratani ya shingo ya uzazi.
Kinga ya mwili ya wanafamilia hawa haina nguvu dhidi ya virusi vya papiloma hivyo kuwafanya wawe katika hatari ya kupata ugonjwa

UFAFANUZI
Maambukizi ya virusi vya papiloma ni ya kawaida, hivyo mabinti na wanawake walio wengi huambukizwa virusi vya papiloma hawapati saratani ya shingo ya kizazi.

Kuna aina takribani mia moja (100) vya virusi vya papiloma, aina moja yenye hatari Zaidi ndio chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi.(Makala juu ya saratani ya shingo ya kizazi ya chuo kikuu cha dar es salaam.)

HATUA ZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.
Ni muhimu kujua hatua ili kuamua aina bora ya tiba ya kumpa mgonjwa.Hatua hizi huangalia kiwango cha uvimbe usambaaji wa saratani kwenye tezi na sehemu mbalimbali za mwili kama mapafu na figo kwa kuorodhesha machache.

HATUA YA KWANZA (I).
Saratani inayoshambulia.
seli za saratani ya shingo ya kizazi zipo kwenye ngozi ya juu ya shingo ya kizazi.

DALILI
Hatua hii haioneshi dalili zozote.

HATUA YA PILI (II).
Saratani inayosambaa.
Kiwango kidogo cha uvimbe ambao bado haujaanza kusambaa kwenye tezi au sehemu za mbali. Umefika kwenye uke sehemu ya juu kwa ukubwa wa theluthi mbili (23 )

DALILI
Hatua hii dalili haziko wazi na vigumu kuonekana.

HATUA YA TATU (III).
Saratani iliyosambaa.
Saratani imesambaa hadi nje ya shingo ya uzazi na mfuko wa uzazi. Bado hajashambulia nyonga, na imesambaa sehemu za chini ya uke kwa theluthi moja (13).

inbound4885496942682196525.jpg

Picha 02. Saratani katika hatua ya tatu (wadudu wa saratani wamesambaa)

DALILI
01.Maumivu wakati wa ngono.
02.kuhisi uchovu.
03.Kupungua hamu ya kula.
04.Huleta madhara kwenye figo.

HATUA YA NNE (IV).
Saratani inayokomaa.
Saratani imesambaa hadi nje ya uke hadi kwenye kuta za nyonga na maeneo chini ya uke. kiwango kikubwa cha uvimbe unaoweza ziba mfuko wa uzazi.
Saratani hii haijasambaa hadi kwenye mapafu na mifupa.

inbound5271640373112183609.jpg

Picha 03.Saratani katika hatua ya nne.(wadudu wa saratani wanaokomaa)

DALILI
01.Maumivu ya nyonga.
02.kupungua uzito.
03.Kutokwa na majimajiukeni kusiko 04.kawaida yenye harufu.
05.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.

HATUA YA TANO (V).
Saratani iliyokomaa.
Saratani imesambaa hadi kwenye kibofu cha mkojo, mkunduni na maeneo mengine ya mwili kama figo,mapafu na mifupa kwa kuorodhesha baadhi.

inbound8151915981805843149.jpg

Picha 04.Saratani katika hatua ya tano.(wadudu wa saratani waliokomaa)

DALILI
Kutokwa na mkojo bila kutarajia.
kuvunjika mifupa.
kutokwa na damu nyingi ukeni.
Maumivu ya miguu na mgongo.
Mguu mmoja kuvimba.

UFAFANUZI
Dalili hizi si za kipekee kwa saratani ya shingo ya kizazi, na kwamba matatizo mengine ya kiafya yanaweza kutoa dalili kama hizi.

TIBA
Hutengemea hasa hatua ya saratani ilipofikia.
Tiba hutolewa nji kuu nne ambazo ni

TIBA LENGWA
Ni matumizi ya dawa, zilizotengenezwa mahususi kwa ajili ya kusimamisha shughuli za seli zinazochangia ukuaji wa saratani ya shingo ya kizazi.
Hutumika hasa kutibu saratani ya hatua ya tano.
Madhara ya tiba lengwa.
Uchovu
Mabadiliko katika mfumo wa homoni
Vidonda vya tumbo.

TIBA MIONZI
iba hii hufanyika Kwa njia kuu mbili.

01.KUTUMIA KIFAA CHA NJE.
kifaa hiki hutumika kulengesha mionzi kwenye eneo athirika. mionzi huua seli za saratani ya shingo ya kizazi.

02.KUTUMIA KIFAA CHA NDANI.
Kifaa hiki huingizwa ukeni hadi eneo la uvimbe kwa muda fulani, na kulengesha mionzi ambayo huua seli za saratani ya shingo ya kizazi.

UFAFANUZI
Wakati mwingine njia zote mbili hutumika kwa Pamoja. Tiba hii hutumika kama tiba kuu ikisaidiwa na tiba kidini, katika hatua ya kwanza (I) hadi nne (IV)
Madhara ya tiba mionzi.
Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi.
Kukoma hedhi mapema kama ovari zimepada mionzi.
Mabadiliko na miwasho kwenye ngozi.

TIBA KIDINI
Tiba kidini hutumika na tiba mionzi katika hatua Kwanza (I) hadi nne (IV) ya saratani ya shingo ya kizazi.
Inaeza tumika kabla au baada ya tiba mionzi.

Madhara ya tiba kidini.
01.kichefuchefu.
02.Uchovu.
03.kutapika.
04.Kunyonyoka nywele.
05.Maumivu ya mdomo.

TIBA UPASUAJI
Tiba hii huondoa sehemu iliyoathiriwa na saratani hasa ikiwa hatua ya tano (v) ya saratani ya shingo ya kizazi. Tiba hii hufanyika katika njia kuu nne.

01.UPASUAJI WA KUONDOA NYUMBA YA UZAZI.
Hufanyika kwa wnawake kwanzia umri wa miaka (30) na kuendelea.

02.UPASUAJI WA KUONDOA SEHEMU YA JUU YA UKE NA SHINGO YA KIZAZI.

03.UPASUAJI WA KUONDOA SEHEMU YA JUU YA UKE NA SHINGO YA KIZAZI

Hufanywa kwa uvimbe mdogo na kwa lengo la kulinda kizazi.

04.UPASUAJI WA KUONDOA TUMBO LA UZAZI, TEZI ZA KARIBU NA SEHEMU YA UZAZI NA VIUNGO VINGINE VIZUNGUKAVYO ENEO LA UZAZI.
Hufanyika kwa saratani inayojirudia rudia baada ya matibabu.

Madhara ya tiba upasuaji
01.Huathiri mfumo wa hedhi
02.Huathiri mfumo wa utungaji mimba.

KINGA
Saratani hii inakingika kwa chanjo dhidi ya virusi vya papiloma. chanjo hii hutolewa kabla ya kuanza vitendo vya ngono.

JE, MAMBO GANI YANAWEZA SAIDIA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI.?

01.Kutovuta sigara, tumbaku na shisha.

Inasaidia mapafu kuwa na afya njema hivyo kuweza kukabiliana na virusi vya papiloma.

02.Kuwa na mpenzi mmoja.
Huzuia mwingiliano wa Virusi hawa hivyo hukosa nguvu ya mashambulizi.

03.Kula vyakula halisia.
Hii Hasaidia kupunguza matatizo ya unene na kuwa na afya njema.

04.Kunyonyesha.
Maziwa ya mama huvipa nguvu sana virusi vya papiloma hivyo kunyonyesha hapunguza hatari ya virusi hao kuzaliana.

05.Kuepuka sana kuchomwa na miale ya jua.
Matumizi ya mafuta yanayozuia miale ya jua kwenye ngozi ni muhimu. Pia watu wajitahidi kufanya kazi maeneo ya vivulini Virusi wa papiloma huchochewa sana kuzaliana endapo miale ya jua inapiga mwili kwa wingi.

06.Kuepuka matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
utumiaji wa dawa hizi hudhoofisha afya ya uzazi na kubadilisha mfumo wa homoni hivyo kavipa virusi uwanja wa kushambulia.

07.kufanya mazoezi.
Husaidia afya ya mwili kujengeka hivyo kupambana na virusi wa papiloma.

08.kupunguza unywaji wa Pombe.
Pombe ni chanzo cha matatizo mengi ya kiafya, na magonjwa kadhaa kwenye mwili hudhoofisha afya ya mwili kiujumla na Kuwapa nafasi virusi vya papiloma kushambulia.

09.kufanya vipimo mara kwa mara.
Vipimo husaidia kujua kama maradhi hayo yamekukumba na hivyo kuanza matibabu kwa haraka kabla Saratani haijafika hatua mbaya.

UCHUNGUZI
Seli za saratani ya shingo ya kizazi hukua taratibu na huchukua miaka kadhaa kwa seli za kawaida kubadilika kua seli za saratani. Hivyo hushauriwa kufanya vipimo mara kwa mara ili Kujua mapema. Kuna njia kuu mbili za kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi.

01.KIPIMO CHA SMEA YA PAPA
Hutumia sampuli ya tishu kutoka katika shingo ya kizazi.
Hutafuta mabadiliko katika chembechembe za shingo ya kizazi, ambazo zinaweza kuwa saratani endapo zitaachwa bila kutibiwa.

02. KIPIMO CHA VIRUSI VYA PAPILOMA YA BINADAMU
Hutumia sampuli ya tishu kutoka katika shingo ya kizazi. Hutafuta uwepo wa virusi vya papiloma kwenye shingo ya kizazi.

ZINGATIA
Umri ni kigezo kikuu cha vipimo vya uchanguzi

UMRI MIAKA 21-29.
Wanapaswa kupima saratani ya shingo ya kizazi kila baada ya miaka mitatu (3) Umri huu wapo katika kipindi cha uzazi hivyo ni rahisi kupata virusi hawa wa papiloma.

UMRI MIAKA 30-65.
Wanapaswa kupima saratani ya shingo ya kizazi kila baada ya miaka mitatu (3) hadi mitano (5) Umri huu hawapo katika kipindi cha uzazi pia wengi wao wapo katika ukomo wa uzazi hivyo virusi vya papiloma si rahisi kushambulia.

UMRI MIAKA 65 NA KUENDELEA.
Hawana haja ya kufanya vipimo. Umri huu shughuli za uzazi hazifanyiki kabisa na matokeo ya vipimo huwa hasi

UFAFANUZI.
UMRI MIAKA 1-20.
Taaluma ya afya haishauri kuwachukulia vipimo Katika Umri huu, kwani wengi wao hawajaanza shughuli za uzazi.
Njia za kuchukua sampuli kwa ajili ya vipimo vya uchunguzi si rafiki kwa umri huu.

USHAURI KWA SERIKALI

JE, SERIKALI IFANYE NINI KUHURU CHANJO!

Serikali itilie mkazo mpango wa chanjo mashuleni hasa Katika shule za msingi. Hii itapelekea hata wale ambao hawato endelea na elimu ya sekondari wawe wamepata kinga dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi.

JE, SERIKALI IFANYEJE JUU YA KUELIMISHA JAMII KUHUSU SARATANI YA SHIGO YA KIZAZI!?
01.Njia mbalimbali zitumike kuelimisha jamii juu ya saratani ya shingo ya kizazi kama matangazo kwenye vyombo vya habari, kuandaa matamasha mbali mbali ya elimu ya chanjo.

02.Ikifaa elimu juu ya saratani zote iongezwe kwenye mtaala wa elimu katika shule za sekondariili ili kujenga hali ya uelewa ya ugonjwa wa saratani kwa mabinti na vijana.

JE, JAMII YAPASWA KUITIKIAJE?

Mabinti na vijana wanapaswa kujilinda na kujiepusha na vitu vinavyochochea maambukizi ya virusi vya papiloma. Kwani madhara yake ni makubwa kama kupoteza kizazi na hata kifo.

JE, MWITIKO WA SERIKALI UPOJE?
Serikali ya Tanzania hutoa bure huduma za vipimo vya awali vya saratani ya shingo ya kizazi.Lakini mwamko wa wanawake ni mdogo sana.

Kwa ujumla serikali iongeze kasi ya utoaji chanjo dhidi ya virusi vya papiloma na kurahisisha gharama za matibabu ili kuwapa ahueni wanawake kuweza kupata tiba ya saratani ya shingo ya kizazi.

Saratani ya shingo ya kizazi ni kikatisha ndoto Kwa mabinti wengi nchini Tanzania hivyo wazazi,mabinti na jamii kwa ujumla iwajibike Kupambana na saratani ya shingo ya kizazi.
 
Attachments

  • inbound4442280780267343543.jpg
    inbound4442280780267343543.jpg
    11.9 KB · Views: 20
MAANA
Saratani ya shingo ya kizazi ni ile inayoanzia sehemu ya mwisho ya nyumba ya kizazi , pale sehemu hiyo inapoungana na sehemu ya juu ya uke.

JE, NINI CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI?
Virusi vya papiloma ndio chanzo cha saratani ya shigo ya kizazi

View attachment 2358049
Picha 01. Sehemu ya shingo ya kizazi iliyo athiriwa na seli za saratani wanao tokana na virusi vya papiloma.

ATHARI
Saratani ya shingo ya kizazi huathiri hasa jinsia ya kike.
Mabinti wapo katika hatari kubwa sana kupata saratani ya shingo ya kizazi.

TAKWIMU
Saratani ya shingo ya kizazi ndiyo chanzo cha vifo vingi vya wanawake kataika nchi zinazoendelea, inafikia makadilio ya asilimia themanini na tano (85%).

Tanzania,wanawake milioni kumi na sita nukta nne (16.4) umri miaka 15 na kuendelea wapo kwenye hatari ya kupata shingo ya kizazi .

Kila mwaka wastani wa wanawake kumi elfu mia mbili na arobaini na moja (10241) huugua saratani ya shingo ya kizazi,ambapo sita elfu mia tano ishirini na tano (6525) hupoteza Maisha. (Ripoti ya HPV and Related Cancers fact sheet 2021).

UFAFANUZI
Tafiti zinaonesha kuwa wanawake wengi huambukizwa virusi vya papiloma, ambavyo ndio chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi katika kipindi Fulani cha Maisha yao inakadiriwa (68.0%) ya wanawake wenye umri miaka 15 hadi 44 hupata virusi wa papiloma (Ripoti ya “HPV and Related Cancers fact sheet 2021”)
Maambukizi hayo hupona yenyewe, kwa baadhi ya wanawake maambukizi haya hudumu na kuanza kuleta mabadiliko kwenye seli za mfuko wa kizazi.
Mabadiliko hayo hugundulika kwa kuchukua vipimo vya mara kwa mara.

JE, UGONJWA HUU UNA CHANJO AMA TIBA!?
Saratani ya shingo ya kizazi ina chanjo na pia hutibika.

Je, VIRUSI VYA PAPILOMA HUENEZWAJE?
Virusi vya papiloma hunezwa kwa njia kuu mbili.

01. Njia ya ngono.

02. Kugusana kwa majimaji ya mwili na mgonjwa wa hatua ya mwisho ya saratani ya shingo ya kizazi.

JE, NI NJIA ZIPI CHOCHEZI ZA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA PAPILOMA?

01. Ngono katika umri mdogo (chini ya miaka kumi na sita 16)
Kitendo hiki kinafanya mwanamke kuwa na idadi kubwa ya virusi vya papiloma hivyo huchagia uharaka wa maambukizi.

02. Kuwa na mausiano ya kingono zaidi ya mwanaume mmoja.
Mwingiliano wa virusi wa papiloma huchangia katika ukuaji wao na kufanya wawe na nguvu zaidi.

03. Kuwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
kama UKIMWI, Kaswende na pangusa kwa kuorodhesha machache.
Magonjwa ya zinaa udhoofisha kinga mwili hivyo virusi hushambulia kwa urahisi zaidi.

04. Uvutaji wa Sigara, tumbaku na shisha.
Utumiaji wa vitu hivi hudhoofisha afya ya mapafu.
Virusi vya papiloma huathiri mapafu hivyo watumiaji wa vitu hivi wapo katika hatari ya kupata saratani ya shingo ya kizazi.

05. Kupata mimba katika umri mdogo, kuzaa mara kwa mara na kua na idadi kubwa ya Watoto.
Hali hii hudhoofisha afya ya uzazi ya mwanamke na kufanya virusi vya papiloma kushambulia kwa urahisi.

06. Unene.
Hali ya mafuta katika mwili huwapa mazingira Rafiki kwa virusi vya papiloma na kufanya vikue na kushambulia mwili kwa urahisi.

07. Utumiaji wa mda mrefu wa dawa za uzazi wa mpango.
Vidonge huathili afya ya uzazi na kufanya virusi kushambulia kwa urahisi.

08. Kuzaliwa kwenye familia yenye historia ya saratani ya shingo ya uzazi.
Kinga ya mwili ya wanafamilia hawa haina nguvu dhidi ya virusi vya papiloma hivyo kuwafanya wawe katika hatari ya kupata ugonjwa

UFAFANUZI
Maambukizi ya virusi vya papiloma ni ya kawaida, hivyo mabinti na wanawake walio wengi huambukizwa virusi vya papiloma hawapati saratani ya shingo ya kizazi.

Kuna aina takribani mia moja (100) vya virusi vya papiloma, aina moja yenye hatari Zaidi ndio chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi.(Makala juu ya saratani ya shingo ya kizazi ya chuo kikuu cha dar es salaam.)

HATUA ZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.
Ni muhimu kujua hatua ili kuamua aina bora ya tiba ya kumpa mgonjwa.Hatua hizi huangalia kiwango cha uvimbe usambaaji wa saratani kwenye tezi na sehemu mbalimbali za mwili kama mapafu na figo kwa kuorodhesha machache.

HATUA YA KWANZA (I).
Saratani inayoshambulia.
seli za saratani ya shingo ya kizazi zipo kwenye ngozi ya juu ya shingo ya kizazi.

DALILI
Hatua hii haioneshi dalili zozote.

HATUA YA PILI (II).
Saratani inayosambaa.
Kiwango kidogo cha uvimbe ambao bado haujaanza kusambaa kwenye tezi au sehemu za mbali. Umefika kwenye uke sehemu ya juu kwa ukubwa wa theluthi mbili (23 )

DALILI
Hatua hii dalili haziko wazi na vigumu kuonekana.

HATUA YA TATU (III).
Saratani iliyosambaa.
Saratani imesambaa hadi nje ya shingo ya uzazi na mfuko wa uzazi. Bado hajashambulia nyonga, na imesambaa sehemu za chini ya uke kwa theluthi moja (13).

View attachment 2358050
Picha 02. Saratani katika hatua ya tatu (wadudu wa saratani wamesambaa)

DALILI
01.Maumivu wakati wa ngono.
02.kuhisi uchovu.
03.Kupungua hamu ya kula.
04.Huleta madhara kwenye figo.

HATUA YA NNE (IV).
Saratani inayokomaa.
Saratani imesambaa hadi nje ya uke hadi kwenye kuta za nyonga na maeneo chini ya uke. kiwango kikubwa cha uvimbe unaoweza ziba mfuko wa uzazi.
Saratani hii haijasambaa hadi kwenye mapafu na mifupa.

View attachment 2358051
Picha 03.Saratani katika hatua ya nne.(wadudu wa saratani wanaokomaa)

DALILI
01.Maumivu ya nyonga.
02.kupungua uzito.
03.Kutokwa na majimajiukeni kusiko 04.kawaida yenye harufu.
05.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.

HATUA YA TANO (V).
Saratani iliyokomaa.
Saratani imesambaa hadi kwenye kibofu cha mkojo, mkunduni na maeneo mengine ya mwili kama figo,mapafu na mifupa kwa kuorodhesha baadhi.

View attachment 2358057
Picha 04.Saratani katika hatua ya tano.(wadudu wa saratani waliokomaa)

DALILI
Kutokwa na mkojo bila kutarajia.
kuvunjika mifupa.
kutokwa na damu nyingi ukeni.
Maumivu ya miguu na mgongo.
Mguu mmoja kuvimba.

UFAFANUZI
Dalili hizi si za kipekee kwa saratani ya shingo ya kizazi, na kwamba matatizo mengine ya kiafya yanaweza kutoa dalili kama hizi.

TIBA
Hutengemea hasa hatua ya saratani ilipofikia.
Tiba hutolewa nji kuu nne ambazo ni

TIBA LENGWA
Ni matumizi ya dawa, zilizotengenezwa mahususi kwa ajili ya kusimamisha shughuli za seli zinazochangia ukuaji wa saratani ya shingo ya kizazi.
Hutumika hasa kutibu saratani ya hatua ya tano.
Madhara ya tiba lengwa.
Uchovu
Mabadiliko katika mfumo wa homoni
Vidonda vya tumbo.

TIBA MIONZI
iba hii hufanyika Kwa njia kuu mbili.

01.KUTUMIA KIFAA CHA NJE.
kifaa hiki hutumika kulengesha mionzi kwenye eneo athirika. mionzi huua seli za saratani ya shingo ya kizazi.

02.KUTUMIA KIFAA CHA NDANI.
Kifaa hiki huingizwa ukeni hadi eneo la uvimbe kwa muda fulani, na kulengesha mionzi ambayo huua seli za saratani ya shingo ya kizazi.

UFAFANUZI
Wakati mwingine njia zote mbili hutumika kwa Pamoja. Tiba hii hutumika kama tiba kuu ikisaidiwa na tiba kidini, katika hatua ya kwanza (I) hadi nne (IV)
Madhara ya tiba mionzi.
Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi.
Kukoma hedhi mapema kama ovari zimepada mionzi.
Mabadiliko na miwasho kwenye ngozi.

TIBA KIDINI
Tiba kidini hutumika na tiba mionzi katika hatua Kwanza (I) hadi nne (IV) ya saratani ya shingo ya kizazi.
Inaeza tumika kabla au baada ya tiba mionzi.

Madhara ya tiba kidini.
01.kichefuchefu.
02.Uchovu.
03.kutapika.
04.Kunyonyoka nywele.
05.Maumivu ya mdomo.

TIBA UPASUAJI
Tiba hii huondoa sehemu iliyoathiriwa na saratani hasa ikiwa hatua ya tano (v) ya saratani ya shingo ya kizazi. Tiba hii hufanyika katika njia kuu nne.

01.UPASUAJI WA KUONDOA NYUMBA YA UZAZI.
Hufanyika kwa wnawake kwanzia umri wa miaka (30) na kuendelea.

02.UPASUAJI WA KUONDOA SEHEMU YA JUU YA UKE NA SHINGO YA KIZAZI.

03.UPASUAJI WA KUONDOA SEHEMU YA JUU YA UKE NA SHINGO YA KIZAZI

Hufanywa kwa uvimbe mdogo na kwa lengo la kulinda kizazi.

04.UPASUAJI WA KUONDOA TUMBO LA UZAZI, TEZI ZA KARIBU NA SEHEMU YA UZAZI NA VIUNGO VINGINE VIZUNGUKAVYO ENEO LA UZAZI.
Hufanyika kwa saratani inayojirudia rudia baada ya matibabu.

Madhara ya tiba upasuaji
01.Huathiri mfumo wa hedhi
02.Huathiri mfumo wa utungaji mimba.

KINGA
Saratani hii inakingika kwa chanjo dhidi ya virusi vya papiloma. chanjo hii hutolewa kabla ya kuanza vitendo vya ngono.

JE, MAMBO GANI YANAWEZA SAIDIA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI.?

01.Kutovuta sigara, tumbaku na shisha.

Inasaidia mapafu kuwa na afya njema hivyo kuweza kukabiliana na virusi vya papiloma.

02.Kuwa na mpenzi mmoja.
Huzuia mwingiliano wa Virusi hawa hivyo hukosa nguvu ya mashambulizi.

03.Kula vyakula halisia.
Hii Hasaidia kupunguza matatizo ya unene na kuwa na afya njema.

04.Kunyonyesha.
Maziwa ya mama huvipa nguvu sana virusi vya papiloma hivyo kunyonyesha hapunguza hatari ya virusi hao kuzaliana.

05.Kuepuka sana kuchomwa na miale ya jua.
Matumizi ya mafuta yanayozuia miale ya jua kwenye ngozi ni muhimu. Pia watu wajitahidi kufanya kazi maeneo ya vivulini Virusi wa papiloma huchochewa sana kuzaliana endapo miale ya jua inapiga mwili kwa wingi.

06.Kuepuka matumizi ya dawa za uzazi wa mpango.
utumiaji wa dawa hizi hudhoofisha afya ya uzazi na kubadilisha mfumo wa homoni hivyo kavipa virusi uwanja wa kushambulia.

07.kufanya mazoezi.
Husaidia afya ya mwili kujengeka hivyo kupambana na virusi wa papiloma.

08.kupunguza unywaji wa Pombe.
Pombe ni chanzo cha matatizo mengi ya kiafya, na magonjwa kadhaa kwenye mwili hudhoofisha afya ya mwili kiujumla na Kuwapa nafasi virusi vya papiloma kushambulia.

09.kufanya vipimo mara kwa mara.
Vipimo husaidia kujua kama maradhi hayo yamekukumba na hivyo kuanza matibabu kwa haraka kabla Saratani haijafika hatua mbaya.

UCHUNGUZI
Seli za saratani ya shingo ya kizazi hukua taratibu na huchukua miaka kadhaa kwa seli za kawaida kubadilika kua seli za saratani. Hivyo hushauriwa kufanya vipimo mara kwa mara ili Kujua mapema. Kuna njia kuu mbili za kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi.

01.KIPIMO CHA SMEA YA PAPA
Hutumia sampuli ya tishu kutoka katika shingo ya kizazi.
Hutafuta mabadiliko katika chembechembe za shingo ya kizazi, ambazo zinaweza kuwa saratani endapo zitaachwa bila kutibiwa.

02. KIPIMO CHA VIRUSI VYA PAPILOMA YA BINADAMU
Hutumia sampuli ya tishu kutoka katika shingo ya kizazi. Hutafuta uwepo wa virusi vya papiloma kwenye shingo ya kizazi.

ZINGATIA
Umri ni kigezo kikuu cha vipimo vya uchanguzi

UMRI MIAKA 21-29.
Wanapaswa kupima saratani ya shingo ya kizazi kila baada ya miaka mitatu (3) Umri huu wapo katika kipindi cha uzazi hivyo ni rahisi kupata virusi hawa wa papiloma.

UMRI MIAKA 30-65.
Wanapaswa kupima saratani ya shingo ya kizazi kila baada ya miaka mitatu (3) hadi mitano (5) Umri huu hawapo katika kipindi cha uzazi pia wengi wao wapo katika ukomo wa uzazi hivyo virusi vya papiloma si rahisi kushambulia.

UMRI MIAKA 65 NA KUENDELEA.
Hawana haja ya kufanya vipimo. Umri huu shughuli za uzazi hazifanyiki kabisa na matokeo ya vipimo huwa hasi

UFAFANUZI.
UMRI MIAKA 1-20.
Taaluma ya afya haishauri kuwachukulia vipimo Katika Umri huu, kwani wengi wao hawajaanza shughuli za uzazi.
Njia za kuchukua sampuli kwa ajili ya vipimo vya uchunguzi si rafiki kwa umri huu.

USHAURI KWA SERIKALI

JE, SERIKALI IFANYE NINI KUHURU CHANJO!

Serikali itilie mkazo mpango wa chanjo mashuleni hasa Katika shule za msingi. Hii itapelekea hata wale ambao hawato endelea na elimu ya sekondari wawe wamepata kinga dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi.

JE, SERIKALI IFANYEJE JUU YA KUELIMISHA JAMII KUHUSU SARATANI YA SHIGO YA KIZAZI!?
01.Njia mbalimbali zitumike kuelimisha jamii juu ya saratani ya shingo ya kizazi kama matangazo kwenye vyombo vya habari, kuandaa matamasha mbali mbali ya elimu ya chanjo.

02.Ikifaa elimu juu ya saratani zote iongezwe kwenye mtaala wa elimu katika shule za sekondariili ili kujenga hali ya uelewa ya ugonjwa wa saratani kwa mabinti na vijana.

JE, JAMII YAPASWA KUITIKIAJE?

Mabinti na vijana wanapaswa kujilinda na kujiepusha na vitu vinavyochochea maambukizi ya virusi vya papiloma. Kwani madhara yake ni makubwa kama kupoteza kizazi na hata kifo.

JE, MWITIKO WA SERIKALI UPOJE?
Serikali ya Tanzania hutoa bure huduma za vipimo vya awali vya saratani ya shingo ya kizazi.Lakini mwamko wa wanawake ni mdogo sana.

Kwa ujumla serikali iongeze kasi ya utoaji chanjo dhidi ya virusi vya papiloma na kurahisisha gharama za matibabu ili kuwapa ahueni wanawake kuweza kupata tiba ya saratani ya shingo ya kizazi.

Saratani ya shingo ya kizazi ni kikatisha ndoto Kwa mabinti wengi nchini Tanzania hivyo wazazi,mabinti na jamii kwa ujumla iwajibike Kupambana na saratani ya shingo ya kizazi.
Shukrani Mkuu kwa uzi wenye madini ya afya.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom